Tatizo wewe hueleweki. Mara unasema David Gill. Tukikubana huko unahama fasta na kuelezea sababu nyingine. Ukibabwa kwingine ghafla unarudi tena na argument ya David Gill. Kwanza Gill kaingia kwenye board ya FA mwaka 2006 baada ya kuanguka kwa Liverpool. Na success kubwa ya Man Utd ilikuwa kabla ya 2006. Baada ya hapo Chelsea ndiyo ilidominate, sasa Man City.
Argument yako ya Gill ku-interfere aliianzisha Benitez lakini hakuna kocha mwingine alieyemuunga mkono, because it was a very silly argument. In fact he was elected by the other chief executives of the Premier league clubs, including wanaotoka hizo club ambazo unadai wanalalamika Man Utd kupendelewa. Kama wanaona anapendelea kwa nini wasingemwondoa kwenye huo wadhifa then?
Au kwa vile juzi kawa vice-president ndiyo imekuwa shida? Fans have always raised suspicion on referee favouritism against united and Gills position in FA has contributed to many doubts. It has also been said that ferguson bribes referees and uses Gills influence to win matches.
The recent ban to John Terry has been attributed to Gill wanting Terry out of United clash with Chelsea which United ended up winning through some controversial decisions from the referee. These things are the one which makes you suspicion of Gill.
Kama vile unafanisha mipira ya kwetu na hii ya wenzetu. They dont work like us ambao viongozi wa soka wanajifungia ndani na kupiga kura mchezaji Fulani achezee timu gain. Wenzetu wanafanya maamuzi kulingana na sheria.
Kama nilivyosema tokea mwanzo upendeleo upo kwa timu zote kubwa hasa zinapocheza nyumbani including Man Utd, Chelsea, Arsenal, Man City, etc.
Halafu FA inahusikaje na Premier League?
Sieleweki vipi tena? Mambo yote ya Gill na mengineyo nayaongea kwa pamoja, sasa unataka niongee unachotaka wewe tu. Mambo ya Gill nishaongea, na mengine nimeongea pia. Nadhani there is an end to everything, I will to choose to stop here. Sijaona ulichonibana sana sana unazidi kujichanganya tu.
Kwanza kama unavyosema, itakuwa ni coincedence ya kufurahisha kidogo, kama unavyosema miaka ambayo Gill anaingia FA, Man U haifanyi vizuri sana, Liverpool inaamka, na Benitez anaanza kulalamika kufanyiwa vimbwanga.
Unasema hakuna alimsapoti Benitez. Fine, kwa wakati huo, labda. Lakini post uliyoijibu kuhusu Martinez sijui hujajua unajibu nini, na Moyes (rafiki mzuri tu wa Fergie) aliwaambia wachunguze uhusiano wa head of PGMOB, Riley na Man U. Hao nao???
Kuhusu kuondolewa kwa Gill, hilo suala siwezi kulijibu kwa sababu hujafikiria wakati unauliza.
Suala la Terry na Gill mimi wala silijui, we ndo unalisema.
Data hizi nilizoziweka sijazitunga, nimezitoa huko huko, sasa sijui nafananishaje mpira wa huku kwetu na wao. Unasema they dont work like us, una maanisha hamna conspiracy au corruption. Kabla Juventus hajashuswa daraja, na refa hajafungiwa ujerumani, watu wengi walifikiri hivyo pia, 'eti ni ulaya, hakuna hayo mambo'.
Suala kuwa FA inahusikaje na premier ligi ni kichekesho!!