Kusema kweli refa aliharibu mpira wa jana. Ile game ingekuwa one of the greatest matches in the premiership. Marefa wengi huwa wanaharibu box office matches. Wapo wanaosema kwenye mechi kubwa wanafanya kazi under pressure. Pia zipo conspiracy theories nyingi tuu za marefa kufanya vibaya.
Kwa mfano mechi ya Everton na Liverpool. Wakati Suarez alivyomchezea rafu Distin, hakustahili kupewa kadi nyekundu? Kulikuwa na intention moja tuu ya Suraez ambayo ni kufanya damage. Lakini alipewa kadi ya njano tuu. Hapa unaweza kusema refa ana double standards. Then, goli la Suarez lilipokataliwa eti alikuwa offside, wakati wala hakuwa offside. Wengine wanaweza kusema it was a sweet justice done to Suruez for not being sent off, lakini ulikuwa ni uamuzi mbaya wa refa which cost Liverpool three points.
Sasa tuje mechi ya Chelsea v Man Utd. Kabla ya mechi watu walikuwa wanatania kuwa it was great decision Ferguson kumchezesha Mark Clattenberg badala ya Howward Webb. Lakini kusema ukweli ile ilikuwa ni mechi kubwa sana kwa Clattenberg. Kwa wataalamu wa body language, ukiangalia replay kwa makini, utaona kuwa wakati refa anampa Torres yellow card ya pili kama vile alidhani anampa yellow card ya kwanza only to realise that tayari alishampa yellow. Lakini kumpa red Ivanovic red was a fair decision. No doubt he was the last man, na sheria inasema lazima apewe red.
Lakini refa alipompa red Torres kila mtu aliona something was not right. Everyone, including, the referee himself and Man Utd fans were surprised. Hivi karibuni marefa wamekuwa wakijaribu ku-stamp out diving. , It is pathetic that professional footballers have to dive to win themselves freekicks/penalties. Tuliona wiki hii kwa Gervinho, Neville, Suarez, Torres na Valencia. Hao ni wachezaji watano in three matches. Lakini marefa lazima wawe 100% certain kuwa mchezaji amedive.
Kwenye kesi ya Torres ilikuwa wazi kuwa Evans alimgusa, so it was appalling decision to send him off. This brought Chelsea to nine men, which then resulted in them conceding the winning goal (which was also offside yet not called) and losing three points. Hata hivyo Torres nae alianguka kilaini mno. Kama Sterling wa Liverpool alivyoguswa kwa numa jana na kuanguka kilaini. Chelsea wana nafasi ya ku-proof kesho kutwa kuwa it was the referee who cost them yesterday.
Kwa mara nyingine tena maamuzi ya marefa wanalalamikiwa kuipendelea Man Utd. Mechi ijayo Man Utd wanacheza na Arsenal na ukiangalia kelele nyingi zinatoka kwa watu wa Arsenal. Lakini goli la Arteta juzi, alikuwa kabisa offiside lakini likakubaliwa. So, it is a bit rich to start talking about referring decisions before a ball has been kicked. We know that Man Utd get favourable decisions but if Arsenal lose on Saturday it will be more to do with the fact that the team is simply not good enough.
Kitu ambacho kinafanya football to be the most exciting game in the world ni controversial decisions kama za jana. If wrong decision go against your team kweli inauma. But in the next game, a wrong decision will go in favour of your team. That's football. Mechi kama hizi huwa zinajirudia. Wapenzi wa Chelsea mnakumbuka ushindi wa mezani mliopewa na refa mwaka jana dhidi ya Wigan at Stanford Bridge? Kama kusingekuwa na controversial decisions jana wala usingeanzisha hii thread. Ndiyo maana napinga camera technology. Surely, you don't want another rugby.
Kitu ambacho nimekuwa shocked nacho though ni malalamiko kuwa Clattenburg is accused of racially abusing Mikel and calling another Chelsea player a 'Spanish twat. Kama kweli alisema haya, then does not deserve to be a referee again.
jamani hongereni mliofanikiwa kumaliza kusoma hiyo pumba mi nimeishia pale alipodanganya liver wamechua ubingwa mara 19 badala ya 18 afu jamaa tumeshakua tuache kudanganyana kwaiyo man u kuchukua uefa mara 3 nayo web au kocha yyt wa england? Mi kwa maoni yangu ukivimbiwa na makande kashute toi sio hapa mi nilidhani huu upuuzi upo fb kumbe hata huku bado man u ni janga?
Well said and u have excellently tried to be in a balanced position . however it is worthy to give some remarks in few inputs u have given....1."Kitu ambacho kinafanya football to be the most exciting game in the world ni controversial decisions kama za jana" kwa wengi wetu kitendo cha jana ni kinatia kinyaa kuangalia mechi za EPL hususani mechi za man united.
umejitahidi kunyesha controversial decisions kadhaa zilizotokea kwa timu nyingine kama goli la arsenal la mike arteta na timu nyingine pia. swali wanalojiuliza wengi ni kwanini majority of controversial decisons go in favour of man united? conspirancy? take recent match with liverpool...all 3 controversial decisions went in favour of man united...shelvey,van persie,man u penalty...
hatukatai kuwa timu nyingine pia zinapata favour ya controversial decisions...lakini suala hapa ni kiwango,sehemu kubwa ya maamuzi yenye utata yanaipendelea man united...anayebisha ni yule tu mwenye macho na hataki kuona,mwenye masikio hataki kusikia...
WEWE kweli uliangalia mechi? kati ya ,man na chelsea nani alikuwa amezidiwa? huna akili nini wewe... man u mnabebwa... hamna lolote ni sawa sawa na simba na yanga bongo... against azam inayojitahidi,Chelsea walishazidiwa within 20 minutes za mwanzo walipopigwa goli mbili za chap au hilo hukuliona ndugu? Au walikua pungufu? Man U walibebwa? Sidhani
So, what caused the decline from 1990? David Gill?
Do you think the move from former league system to the Premierleague contributed to the decline of Liverpool's dominance?
Because baada ya hapo ndo tuliona timu kama Blackburn, Newcastle Utd, Nottingham Forest zinakuja juu. Why was this?
Mzee kuwa realistic kidogo. Hamna aliyesema david Gill ndo aliyefanya Liverpool ididimie bila sababu nyingine, na huwezi kumuongelea Gill miaka ya 90. Hata Man Utd, huwezi kusema mafanikio yake yote ni ya kubebwa ila lazima ukubali wanabebeka sana tu kwa sababu ni timu nzuri. Nimekuonyesha uhusiano wa liverpool kushindwa kumaintain kurudi juu wakati wa banitez, na fuatilia ugomvi wake na Man U
Inawezekana mabadiliko ya ligi yaliathiri, sina hakika, ila nachokijua ni kuwa unapozungumzia decline ya liverpool si kama decline ya timu kama blackburn na forest ambazo unakuwa unamaanisha hata kushuka daraja, kuwa kwenye bottom 10. LFC decline hasa, ni kushindwa kuchukua ligi. Hadi miaka mitatu iliyopita ilikuwa ukizungumzia top 4, Liverpoo ni mojawapo.
Wakishinda man wamebebwa, wakishindwa peche mingi. Nina uhakika hata ikija hapa bongo kucheza na timu zetu, wakishinda tu utasikia wamebebwa. Inasikitisha, kama mna chuki na Man U andamaneni!
Kwa mantiki hiyo basi utakuwa unajichanganya. Umesema kwenye post yako ya mwanzo kabisa kuwa "Akishirikiana na uzoefu wa Ferguson, Gill ametumia ushawishi wake (usio wa haki kimpira) kuisaidia timu yake kushinda mechi kadhaa isivyo haki." Sasa unasema "huwezi kumuongelea Gill miaka ya 90". Lakini Liverpool ilianza ku-decline miaka ya 1990. Huwezi ukaongea decline ya Liverpool kwa kuanzia miaka ya 2000s tuu.
Kuna sababu nyingine ambazo zimesababisha its decline na mojawapo ni Liverpool yenyewe baada ya kuanza kusajili wachezaji wa ajabu ajabu. Siku hizi ni vigumu hata mshabiki wa Liverpool kukutajia first 11 ya timu yao. No one know the players anymore because they keep changing in every season. Most have not been successful before coming to Liverpool. Sometimes, huwa naiangalia Liverpool na kujiuliza how they managed to win 19 trophies? Maana hawana top class players na jinsi wanavyocheza wana-rely on Gerrad.
Liverpools astonishing success was based on blending continuity and evolution. Graeme Souness smashed the clubs traditions and left it in a tattered state from which it has never recovered. Wakati huo Ferguson ndio alikuwa anaunda timu which we saw the success of that team in the late 1990s. Hata kama ilikuwa inapendelewa that the team which won the treble was simply the best.
Next move Liverpool ilijitahidi kurudisha the traditional values kwa kumweka Roy Evans. His first season saw Liverpool finish in their lowest league position since Shankly. Under Evans, Liverpool were Robin without Batman, Garfunkel without Simon, Taylor without Clough, if you know what I mean.
After that Liverpool jumped on the foreign flair bandwagon kwa kumwajiri Gérard Houllier, a man whose main claim to fame was to take France from the brink of qualification for the 1994 World Cup to a last-second defeat!
It is through this disastrous series of decisions that the Liverpool board has been responsible for creating the conditions that led to the decline of the club. Liverpool have been the architects of their own downfall over the past two decades.
Wasome hata die hard Liverpool players kama akina Caragher na wengine wanakwambia waziwazi kuwa it was not Ferguson or whatever who lead to their downfall but themselves. "It was Graeme Souness who did that, it really was. United were competing with Norwich and Aston Villa for their first title they werent competing with Liverpool, were they! : Jaime Carragher says Graham Souness knocked Liverpool off their perch - not Sir Alex Ferguson - News - MirrorFootball.co.uk
No doubt Man Utd wanapendelewa. Lakini hata Chelsea na Arsenal wanapendelewa pia. Barcelona huwa wanapendelewa pia. Timu zote kubwa huwa zinapendelewa. Lakini usitake kabisa kutuambia kuwa kama board ya FA ikibadilishwa na kuwekwa watu ambao ni Liverpool tuu basi Liverpool ita-shoot na kutwaa ubingwa.
Hamna anayebisha diving imezidi, suarez irritates even liverpool fans smtyms. Ila mbona husemi kuwa Man U ana. Average ya kupata penalt kila game 4, which means bado yuko on top.Mkuu nita-extend argument yangu kwa kusema kuwa actually siyo tuu Man Utd wanapewa favour na marefa, bali all the top teams wanapewa favour na marefa dhidi ya timu ndogo. Lakini maamuzi mabaya dhidi ya timu ndogo hayapewi sana media coverage. Ni pale timu kubwa zinapokutana zenyewe kwa zenyewe kana jana, ndiyo unaanza kusikia malalamiko.
Watu wengi wanaamini kuwa famous football teams benefit from favourable refereeing decisions when playing at home. Na siyo kwenye Ligi ya Uingereza tuu. Ukienda, Spain, Italy ni hivyo hivyo.
Among the current Premier League teams ambazo zimecheza mechi 50 au zaidi nyumbani kuanzia mwaka 2006, statistics zinaonyesha kuwa on average, Man United have conceded one penalty in every 12 home games. Hii ni zaidi ya Fulham ambayo ime-concede roughly one penalty in every 14 games at home. Pia Chelsea ime-concede penalty moja kwa kila mechi 18 huku wakiwa wamepata penalty moja kila baada ya mechi tano.
Lakini kuna sababu nyingi zaidi ya marefa. Tuchukulie Chelsea au Man Utd kwa mfano zimekuwa among the most successful clubs recently you would have expected them to have given away the fewest penalties simply because the opposition are generally weaker and therefore will spend less time in Chelsea's or Man Utd penalty area, so there will be less opportunity for them to win penalties.
kitu kingine diving imezidi sana aisee. Siku hizi strikers wana-dive kuliko zamani. Mwanaume mzima anaguswa kidogo tuu anaanguka kama gunia vile. Unamkumbuka Drogba? Mpaka ilikuwa inaboa. Among the diving specialists, Ashely Young, Gareth Bale, Fernando Torres, Nani, Steven Gerrad, Sebastian Lassorn, Junior Hoillet, Eden Hazard, Antonia Valencia, Luis Suarez.
Mdau ulichoongea sasa ndio ambacho wadau wa soka wanatarajia kitoke kwa mtu anayejua uchambuzi. Hii ina maana kwamba hata marefa bado ni binadamu wanaweza kufanya makosa.Kwa mechi ya Liverpool na Everton, refa alitakiwa ampe suarez kadi ya njano kwa foul ya kwanza kabisa alimfanyia miralas. asingefanya ule ujinga wa pili. Goli lilitakiwa kusimama, huwezi kusawazisha kosa kwa kosa.
Refa Clattenburg mechi yake ya mwisho kuchezesha ya Man utd ilikuwa kati ya city na utd. Alitoa red card kwa evans na Man u walilala 6-1. Kama kawaida inavyowatokea marefa wengine, refa huyu hakupangwa kabisa kuchezesha mechi ya Man utd, mpaka hiyo jana. Aliyoyafanya yameonekana. Nikatae sio kwamba ni game kubwa kwake, si kisingizio.
Mdau ulichoongea sasa ndio ambacho wadau wa soka wanatarajia kitoke kwa mtu anayejua uchambuzi. Hii ina maana kwamba hata marefa bado ni binadamu wanaweza kufanya makosa.
Makosa yao ya kibinadamu ndiyo yaliyofanya goli la offside la Arsenal likakubaliwa, na hii haina maana eti viongozi wa Arsenal wanahusika kama uzi wako wa awali ulivyoshutumu viongozi wa Man U na FA kuhusika.
Makosa hayo hayo ndiyo yaliyofanya karibu kila mechi Torres ashutumiwe kwa kuwadanganya marefa kwa kujiangusha ndani ya box na timu yake kuzawadiwa penati, mbona hukuleta uzi hapa kulijadili hilo, au ndiyo KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA AMEHARISHA?
Kama nikulalamika hata Man U walikuwa na haki ya kunyimwa penati wakati mlinzi wa Chelsea kwa uwazi kabisa aliponawa mpira wa krosi uliopigwa na Valencia, au Man U hawama midomo ya kuchonga kama Chelsea?
Washabiki tuache kelele wakati Pumba na mchele zikianza kudhihiri, wenye uwezo tunawaona wanaanza kurudi kwenye viti vyao na wenye kubebwa tunawaona wanaanza kuondoka kutoka kwenye nafasi wasizostahili na kurudi kwenye kugombea nafasi ya nne na Totenham tena kwa maamuzi ya mezani kama msimu uliopita.
Hamna anayebisha diving imezidi, suarez irritates even liverpool fans smtyms. Ila mbona husemi kuwa Man U ana. Average ya kupata penalt kila game 4, which means bado yuko on top.
Fuatilia kizungumkuti cha uchaguzi wa marefa kipindi hiki ambacho Man Utd inapata upinzani mkubwa kutoka kwa timu zaidi ya moja.
Roberto Martinez fined £10,000 for claiming referees favour Manchester United. (huyu wala si wa timu kubwa)
Martinez said: "You know what he is trying to do. I have come to United three times before today and for whatever reason we don't seem to be measured in the same manner as the team at home.
Kama unanielewa, nasema huwezi kumuongelea Gill wakati hakuwepo, tunamuongelea wakati anaongoza Man Utd, by then Liverpool ilikuwa imeamka tena.
Kitu kingine ni kuwa sijasema Liverpool imeangushwa exclusively na Gill, na wala sijasema Man Utd ni timu mbaya. Ila Man U inabebeka, na Liverpool inakandamizika.
Ila toka kipindi cha Benitez na kwa sababu game za msimu huu ni chache fuatilia, utaona liverpool ina "bahati mbaya", labda utapenda kuiita hivyo. Na Man Utd wana "bahati nzuri".
David dein alishawahi kuwa pale kama GiLl, hakusemwa vibaya, je Gill anaonewa? Rick Parry aliwahi kuwa pale, hakusemwa vibaya, Gill anaonewa, Man U inaonewa. Facts speaks for themselves