Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

Hawa marefa wa England na timu zao
Webb Man u
Clattenburg Man u na Liverpool
Martin Atkinson Chelsea
Mike Riley Man u
Mike Dean Chelsea na Man u
 
Man utd na liverpool fc ndo simba na yanga za uingereza!

Uingereza=England au mimi ndo sielewi?

1.westham vs milwall

2.everton vs liverpool fc

3.Southampton vs Pompy

4.shef wed vs shef utd

5.black cat vs newcastle

6.the gun runners vs toternham

Mwenye timu zingine aziweke mazee

Sijajua unashabikia chama gani lakini elewa kama timu yako inacheza 4- 4- 2 karne hii ujue umeumia co watakua watu wa kufungwa tu.

Anyway nilishaacha ushabiki wa mpira wa uingereza baada ya kugundua historia yake ya nyuma ni chafu sana.
Ubaguzi wa wao kwa wao kutokana na madhehebu ya kidini huko nyuma.

Ukitaka jua hilo jiulize why mashabiki wengi wa liverpool na celtic ni wa Irish toka dublin na rangers ni wa .....

Je ni kwanini scotland wamepiga marufuku kuvaa jezi za vilabu vya soka katika vilabu vya burudani na pub(bar)?
 
qpr,chelsea na fulham
blackburn roves na blackpool
notty count vs nottingham forest
 
Safi sana mkuu bila kuwasahau wazee midlands villa,west brom etc
aston vs birmingham
burnley vs blackpool na nyinginezo za uswahilini kwe2
ashanti vs boom
kawe ukwamani vs maskani fresh
sinza star vs abajalo
blackpool vingunguti vs ??????????????
 
vijana vs cosmo wote wa ilala

Super star vs kurugenzi zote za tukuyu miaka ya 90

Goms nature vs Stone city za Goms

Tingisha fc goms vs Blackpool vingunguti miaka ya 90

Wazee wa buguruni kule viwanja vya sukita vipi kuna timu kibao za uswazi pale
bila kuwasahau wazee wa temeke tupeni mambo huzi ndo huu
 
hii kurugenzi dodoma unanikumbusha kuna fowadi wao mohamed mbughuni aliwafunga simba basi akawa gumzo kila kona huko idodomia miaka hiyo,zamani ndovu ikicheza na kurugenzi wa2 wanajazana kwenye redio kusikiliza mpira yaani hata kama umetoka kazini kkoo/posta unaelekea nyumbani mapipa magomeni kwanza unasubiri mpira uishe au labda wakatishe kwa ajili ya bunge matokeo saa 2 kasoro robo,dah acha tu hapo zamani hapo zamani,mambo mengi sasa yamebadilika,zamani ligi ukishinda pointi 2,ligi ya bongo mkilingana pointi,kinafuata magoli mengi ya kufunga viongozi wetu wakati huo hawajui goal difference,mpk dtv ilipoanza kuonyesha ligi ya england na wao sasa wakabadilisha ukishinda point 3,haya wapinzani wengine ktk ligi ambayo mimi naita bora la liga ni
granada vs malaga
valencia vs levante,valencia vs hercules,hercules vs levante
deportivo coruna vs celta vigo
real sociadad vs atletico bilbao
real betis vs sevilla
barcelona fc vs espanyol
real madrid vs atletico madrid
hizo ndizo derby yaani zinatoka aidha jimbo 1 au mji 1,eg valencia vs levante ikichezwa hiyo mechi basi jimbo la jumuiya ya kujitegemea valencia(autonomous community of valenci) ni gumzo kila mtaa/kona si wanawake si wanaume,manolo baa yake kama wewe sio valencia fc hauruhusiwi kuingia humo.
 
Hawa marefa wa England na timu zao
Webb Man u
Clattenburg Man u na Liverpool
Martin Atkinson Chelsea
Mike Riley Man u
Mike Dean Chelsea na Man u
Babu ndio anaondoka, tuone itakuwaje sasa kama walikuwa wanabebwa kwa ajili yake au laa.!
 
Timu ilijengwa around him,hivyo aliinfluence FA na waamuzi kuipendelea Man U,yawezekana wataendelea kwa muda wapime upepo wa Moyes na nguvu ya bodi.
 
Hawa marefa wa England na timu zao
Webb Man u
Clattenburg Man u na Liverpool
Martin Atkinson Chelsea
Mike Riley Man u
Mike Dean Chelsea na Man u

Dah..wote hawa against Arsenal n Man City?
 
katika kipindi cha Miaka 20 , Man U NDIO TEAM PEKE ILIYOWEZA kupata makombe 2 ya Ulaya UEFA Champion League na Kombe Moja la Dunia ngazi ya club , huko nako anabebwa ?
Je Gunners ana makombe mangapi Ulaya, Je Chelsea ana makombe Mangapi Ulaya , Je Liver ana makombe mangapi ulaya kwa kipindi hiko ?
 
[QUOTmi_mdau;4923302]Kumekuwa na malalamiko kila
kukicha kuhusiana na matukio ya ‘wazi’ ya kubebwa yanayotoka kwa timu
pinzani za Manchester united ya uingereza. Pamoja na ubora wake, Man Utd
ni timu ambayo inapendelewa sana na waamuzi, wakiongozwa na howard web
ambaye katika historia yake ya kuchezesha soka, asilimia 18 ya penati
alizotoa ameipa Man utd (FACT).

DAVID GILL- Ni mtendaji mkuu wa Man utd. Anasifika kwa uhodari wake wa
kuongoza timu na kusimamia biashara ya club yake. Alipanda kuwa mtendaji
mkuu akitokea nafasi ya ukurugenzi wa fedha klabuni hapo. Aliingia
kwenye bodi ya FA (chama cha soka cha uingereza) mwaka 2006 kama mjumbe.
Kocha wa liverpool (Rafa Benitez) aliwahi kulalamika kuhusu uteuzi wake
lakini hakuwa na mtu wa kumsaidia. Mbaya zaidi kwa wapinzani wa Man u
ni kwamba October, 2012, David Gill amekuwa makamu mwenyekiti wa FA, na
hivyo kuwa na nguvu zaidi. Akishirikiana na uzoefu wa Ferguson, Gill
ametumia ushawishi wake (usio wa haki kimpira) kuisaidia timu yake
kushinda mechi kadhaa isivyo haki. Mfano refa aliyechezesha mechi yao ya
mwisho na Liverpool, alialikwa na Fergie kwenye tafrija (ya Charity),
takribani wiki moja kabla ya hiyo mechi. Refa Mike Hasley aliudhuria na
alifurahia tukio hilo.

UPINZANI NA LIVERPOOL- Vijana wengi walioanza kufuatilia mpira wa
uingereza katikati na mwishoni mwa miaka ya tisini wanaweza wasielewe
sana kama Man u na Liverpool ni Simba na Yanga za Uingereza. Sababu ni
kuwa Kipindi hiki Liverpool haijafanikiwa sana katika mpira wa Uingereza
(hasa ligi), tofauti na timu kama arsenal na chelsea, na sasa Man City.
David Gill kama kiongozi wa man u na Ferguson wanafanya kila njia
kuendelea kuisimamisha Liverpool ibaki na mataji yake 19 ya ligi ili Man
U yenye idadi hiyo pia kwa saa iipite na kutawala ligi hiyo. Si rahisi
kulielewa hili kama mtu si mfuatiliaji mzuri wa siasa za soka, ila
fuatilia maamuzi ya mechi za liverpool yanavyokuwa, inapopambana na timu
yoyote ile katika ligi ya uingereza. Wengine hushangaa kwa nini
liverpool na ubaya wake inafanya vizuri mashindano ambayo si ya ligi
(UEFA, EUROPA LEAGUE, FA, CARLING). Ni kwa sababu mkono wa marefa wa
ligi haufiki sana huko (FACT). Liverpool (ingawa kwa sasa inatengeneza
timu) italizwa sana na mtu huyu kama ilivyonyimwa goli la dakika za
mwishoni jana (28/10/2012) dhidi ya Everton.

UPINZANI WA MAN U NA CHELSEA, ARSENAL, MAN CITY, TOTENHAM.- Man U
wamekuwa wakibebwa sana wanapopambana na wapinzani wao kama Man City na
wengineo wanaogombania nao mataji. Man City ilipoanza kuja juu kuna
mechi yao ilikuwa na dk za nyongeza zisizopungua 5, cha ajabu zilienda
hadi 7 na Man u wakapata ushindi. Kwa kifupi ni udhibiti kwa wapinzani.
Mechi ya mwisho ya Chelsea na Man U, torres aliguswa, sisemi ni foul,
ila haikuwa sawa kumpa kadi kwa kuwa hakujirusha. Goli la 3 alilofunga
Chicharito lilikuwa
 
Kama kweli wababebwa tena kwa miaka yote hiyo na Waingereza wote wamekaa kimya pamoja na nyinyi wapiga debe wao, basi MANCHESTER UNITED itakuwa TIMU YA TAIFA kinyume na hapo tafsiri inayokuja hapo wote nyinyi mna wivu wa kijinga, kipumbavu, kipompo pompo, wivu wa kijicho baada ya matimu yenu kushindwa kufurukuta baada ya kutokuwa na jipya ambao hata wanaosema wivu wa kike wanakuwa hawawatendei hai wanawake duniani.
 
Taratibu mkuu!
 
mi_mdau ulikuwa unawalalamikia Ferguson na David Gill.

Wote wanaachia ngazi mzimu huu.

kwa hiyo wabaya wa Liverpool hawatakuwepo msimu.

Kwa hiyo sidhani kama msimu ujao utakuja tena na hoja kuwa Man Utd huwa wanabebwa kwa sababu tuu ya Fergie na Gill.

Misimu ujao, Liverpool hawatakuwa na kisingizio tena.
 
Last edited by a moderator:
mbona inajulikana kuwa manure ndo tim ya MALKIA WA NYUKI ELIZABETH!
 
Kumekuwa na malalamiko kila kukicha kuhusiana na matukio ya ‘wazi’ ya kubebwa yanayotoka kwa timu pinzani za Manchester united ya uingereza. Pamoja na ubora wake, Man Utd ni timu ambayo inapendelewa sana na waamuzi, wakiongozwa na howard web ambaye katika historia yake ya kuchezesha soka, asilimia 18 ya penati alizotoa ameipa Man utd (FACT).

DAVID GILL- Ni mtendaji mkuu wa Man utd. Anasifika kwa uhodari wake wa kuongoza timu na kusimamia biashara ya club yake. Alipanda kuwa mtendaji mkuu akitokea nafasi ya ukurugenzi wa fedha klabuni hapo. Aliingia kwenye bodi ya FA (chama cha soka cha uingereza) mwaka 2006 kama mjumbe. Kocha wa liverpool (Rafa Benitez) aliwahi kulalamika kuhusu uteuzi wake lakini hakuwa na mtu wa kumsaidia. Mbaya zaidi kwa wapinzani wa Man u ni kwamba October, 2012, David Gill amekuwa makamu mwenyekiti wa FA, na hivyo kuwa na nguvu zaidi. Akishirikiana na uzoefu wa Ferguson, Gill ametumia ushawishi wake (usio wa haki kimpira) kuisaidia timu yake kushinda mechi kadhaa isivyo haki. Mfano refa aliyechezesha mechi yao ya mwisho na Liverpool, alialikwa na Fergie kwenye tafrija (ya Charity), takribani wiki moja kabla ya hiyo mechi. Refa Mike Hasley aliudhuria na alifurahia tukio hilo.

UPINZANI NA LIVERPOOL- Vijana wengi walioanza kufuatilia mpira wa uingereza katikati na mwishoni mwa miaka ya tisini wanaweza wasielewe sana kama Man u na Liverpool ni Simba na Yanga za Uingereza. Sababu ni kuwa Kipindi hiki Liverpool haijafanikiwa sana katika mpira wa Uingereza (hasa ligi), tofauti na timu kama arsenal na chelsea, na sasa Man City. David Gill kama kiongozi wa man u na Ferguson wanafanya kila njia kuendelea kuisimamisha Liverpool ibaki na mataji yake 19 ya ligi ili Man U yenye idadi hiyo pia kwa saa iipite na kutawala ligi hiyo. Si rahisi kulielewa hili kama mtu si mfuatiliaji mzuri wa siasa za soka, ila fuatilia maamuzi ya mechi za liverpool yanavyokuwa, inapopambana na timu yoyote ile katika ligi ya uingereza. Wengine hushangaa kwa nini liverpool na ubaya wake inafanya vizuri mashindano ambayo si ya ligi (UEFA, EUROPA LEAGUE, FA, CARLING). Ni kwa sababu mkono wa marefa wa ligi haufiki sana huko (FACT). Liverpool (ingawa kwa sasa inatengeneza timu) italizwa sana na mtu huyu kama ilivyonyimwa goli la dakika za mwishoni jana (28/10/2012) dhidi ya Everton.

UPINZANI WA MAN U NA CHELSEA, ARSENAL, MAN CITY, TOTENHAM.- Man U wamekuwa wakibebwa sana wanapopambana na wapinzani wao kama Man City na wengineo wanaogombania nao mataji. Man City ilipoanza kuja juu kuna mechi yao ilikuwa na dk za nyongeza zisizopungua 5, cha ajabu zilienda hadi 7 na Man u wakapata ushindi. Kwa kifupi ni udhibiti kwa wapinzani. Mechi ya mwisho ya Chelsea na Man U, torres aliguswa, sisemi ni foul, ila haikuwa sawa kumpa kadi kwa kuwa hakujirusha. Goli la 3 alilofunga Chicharito lilikuwa ni la kuotea (wakati mpira unapigwa alikuwa ameotea tayari, anajaribu kujirudisha onside). Kuna mifano mingi sana, lakini tujiulize kwa nini Man U tu????
Jibu ni rahisi, kwa sababu ya Ushawishi wa David Gill na SIR AF

KIPANDE CHA DATA (Hivi ni coincedence au??)
Mike Riley, kiongozi wa marefa ligi kuu uingereza- alikuwa refa kipindi cha nyuma kidogo, aliyempa rooney penati ya kudive 2004 Man u ikiwapiga arsenal 2-0. Arsenal siku hiyo wakapoteza rekodi yao ya kutofungwa katika game 49. Mwaka 97/98-2004 amechezesha game za Man u 23, katika kipindi hicho amewapa utd penalty 12, ila 3 tu against them, ametoa kadi nyekundu 5 kwa wapinzani, at old trafford ametoa penat 10 katika game 14. Huyu ndo anaamua nani achezeshe game ipi kwa sasa

Ref wa jana Clattenburg hakuwa amechezesha game 38 za Man u katika michuano yoyote. Game yake ya mwisho kabla ya jana alitoa kadi nyekundu kwa evans na man u walilala 6-1 dhidi ya city. Aliporudi akatoa faida kwa Man u

Asilimia 18 ya penalt alizotoa Howard webb maishani mwake, ameipa Man U. Na huyu ndo refa aliyechezesha mechi nyingi za Manchester kuliko mwingine yoyote.

Unamkumbuka Mark Halsey (aliyechezesha last match Liverpool vs Manure)- aliwapa WBA penat walipodraw na Man u 1-1 at old trafford. (May 2005). Ilikuwa game yake ya 5 kuchezesha Man u hiyo season. Hakugusa mechi ya Man u mwaka mzima baada ya hapo. Alipozigusa 11 zilizofuata zote Man u alishinda, mojawapo ni ile ya Anfield ya mwisho, with 3 controversial decisions kwenda kwa Man U.

Michael Oliver took charge of Man u 2-1 loss at wolves feb 2011. Dec 2011 ndo akaja kugusa tena mechi ya Man u, mechi zote mbili Man u ikashinda, akiwanyima fulham penat kwenye mojawapo. Wiki chache zilizopita wakawapa penat ya kichekesho Man U baada ya welbeck kujirusha vs Wigan, unakumbuka?

Martin Atkinson ndo alishika mechi aliyopoteza Man u dhidi ya chelsea 2011. Akakaa mwaka mzima bila kupewa game ya Man u. Zaidi, akaadhibiwa kwa maamuzi yake ya siku hiyo. Hakugusa mechi yoyote ya ligi kuu kwa mwezi mzima, akapewa mechi tatu za ligi za chini msimu huo.

Man u alilala 3-1 kwa liverpool msimu wa 2010-11, refa akiwa Phil Dowd. Fergie akamuwakia kwa nini hakumtoa Carragher na Red. Game iliyofuata ya Man u (the very next game), Dowd akaishika, Man u wakapewa penat wakadraw 1-1dhidi ya Blackburn wakapata League title ya 19.

Chris Foy alichezesha mechi ya man utd ikilala 1-0 dhidi ya arsenal msimu uliopita. Mwaka mzima, Foy hajagusa mechi yoyote ya Man U. Game 2 za man u zilizofuata, alizochezesha, dhidi crystal palace, carling cup akawapa Man u penalty. Dhidi ya city, FA cup, akawapa penalty na red akala Kompany mapema tu.

Mike Jones, akachezesha Man u na Newcastle, ilikuwa draw ya 1-1, alimpa demba ba penat. Jones hakupewa mechi yoyote tena kwenye level yoyote kwa mwezi mzima. Game ya united aliyopewa baada ya hapo, Man u waliipiga. Stoke 2-0, penati 2 laini kwa Man U
Na Man U si alipigwa 3-2 na spurs? Si unajua Chris foy ndo alichezesha, si unajua hakuwapa penati? Hatachezesha game weekend ijayo, atachezesha mechi ya League 2 kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 4.

Mike Jones amefanywaje sasa maana hakutoa penalty ya wazi kwa Suarez dhidi ya norwich. Ye anachezesha game ya WBa vs QPR.
Na Howard Webb je?? Yeye alitoa kadi nyekundu kwa Jordi Gomez, ambayo imetenguliwa na FA, anashika game ya Newcastle na Man U, utampenda!! Kosa linamgharimu Foy lakini si hawa wengine, why???!!

Okay....
 
Ongezea maamuzi iliyofanya ya kumfungia Suarez mechi nyingi kwa kigezo cha kumbagua Evra. Siku Suarez anarejea Evra anashangilia kinaa mbele ya Suarez ili afanye kitu waendelee kumuadhibu.
 
mi_mdau ulikuwa unawalalamikia Ferguson na David Gill.

Wote wanaachia ngazi mzimu huu.

kwa hiyo wabaya wa Liverpool hawatakuwepo msimu.

Kwa hiyo sidhani kama msimu ujao utakuja tena na hoja kuwa Man Utd huwa wanabebwa kwa sababu tuu ya Fergie na Gill.

Misimu ujao, Liverpool hawatakuwa na kisingizio tena.

Mkuu unaweza ku- comment tena kuhusu hii post yako kwa kuangalia trend ya Man U ilivyoanguka msimu huu, na kupanda kwa kwa Liverpool.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom