Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

Liverpool...liverpool...liverpool..liverpool...
 
Mkuu unaweza ku- comment tena kuhusu hii post yako kwa kuangalia trend ya Man U ilivyoanguka msimu huu, na kupanda kwa kwa Liverpool.

Hahahaha. Inawezekana labda Fergie na Gill ndiyo walikuwa wanaiwekea Liverpool kauzibe?

On the other hand, inawezekana labda ni coincidence tuu?
 
Mkuu the Rise of LFC sio coincidence, jamaa hapo juu alikija na facts tu ingawa wengi walimpinga lakini ukweli wake ndo unajionyesha. LFC miaka yote alikuwa anatengeza team lakini top official wa FA wakiikandamiza. Nakumbuka msimu wa 2009/10 jamaa walikuwa vizuri sana wakaletewa jungu na walipitwa point 1 na Manure
Nakumbuka kuna game ya Arsenal na LFC tulidraw 4 4 Arshavin akipiga hat trick ya hatari, lv ilikuwa ipo vizuri sana.
Royalty ya SAF ndo ishaisha hivyo, let's hope good enjoyable football katika hili. BIG UP LIVERPOOL.
 
UPINZANI NA LIVERPOOL- Vijana wengi walioanza kufuatilia mpira wa uingereza katikati na mwishoni mwa miaka ya tisini wanaweza wasielewe sana kama Man u na Liverpool ni Simba na Yanga za Uingereza. Sababu ni kuwa Kipindi hiki Liverpool haijafanikiwa sana katika mpira wa Uingereza (hasa ligi), tofauti na timu kama arsenal na chelsea, na sasa Man City. David Gill kama kiongozi wa man u na Ferguson wanafanya kila njia kuendelea kuisimamisha Liverpool ibaki na mataji yake 19 ya ligi ili Man U yenye idadi hiyo pia kwa saa iipite na kutawala ligi hiyo. Si rahisi kulielewa hili kama mtu si mfuatiliaji mzuri wa siasa za soka, ila fuatilia maamuzi ya mechi za liverpool yanavyokuwa, inapopambana na timu yoyote ile katika ligi ya uingereza. Wengine hushangaa kwa nini liverpool na ubaya wake inafanya vizuri mashindano ambayo si ya ligi (UEFA, EUROPA LEAGUE, FA, CARLING). Ni kwa sababu mkono wa marefa wa ligi haufiki sana huko (FACT). Liverpool (ingawa kwa sasa inatengeneza timu) italizwa sana na mtu huyu kama ilivyonyimwa goli la dakika za mwishoni jana (28/10/2012) dhidi ya Everton.

Oh come back tuendelee na hii dabate please?

Msimu uliopita Liverpool walifanya vizuri sana kwenye ligi kidogo wabebe kombe. Coincidentally, Man Utd walifanya vibaya sana.

Wakati Liverpool ikifanya vizuri na Man Utd ikifanya vibaya, Faggie na Gill hawakuwepo tena.

Hapo baadhi ya watu waliweza kuikubali hoja yako kwa kigezo kuwa watu hao wawili ndo walikuwa chanzo cha Liverpool kutofanya vizuri.

Lakini naona ni bota tuka-revist tena hii thread kuona kama ulichokisema wakati ule ni sahihi.

Msimu huu Liverpool imefanya sana siyo tuu kwenye Champions League, bali kwenye ligi kiasi cha kocha wao kuwa roho juu.

Hapa kweli unaweza bado kudai kuwa Faggie na Gill ndo wamesababisha Liverpool kufanya vibaya msimu huu?

RRONDO, MosDef, Malafyale, alsaidy, Gwamahala, M-mbabe, SG8, Janjaweed, zumbemkuu, Kalumbesa, Amavubi, The Magnificent, Mkeshaji, Mphamvu, asakuta same, Ehud, Piere. Fm, LiverpoolFC, Ed n Edd nEddy, 'TF', norkim1991, Frajasa, neva, Amanizzle, Blac kid, John locke, Mr. Wise, Full Moon, Mwihadisa, Okhondima, Ulayas, kdc, fredericko, Mzee wa kuthubutu, mwakajanawetu, Shakazulu, Mawenzi, TUJITEGEMEE, shanature, Prisoner 46664, escober, Pazi, Jaguar, Ulimakafu, SIM, MTK, TIQO, kbosho, grafani11, Pianist, mtotowamjini, ngonjera zinatosha, piper, Belo
 
Mkuu the Rise of LFC sio coincidence, jamaa hapo juu alikija na facts tu ingawa wengi walimpinga lakini ukweli wake ndo unajionyesha. LFC miaka yote alikuwa anatengeza team lakini top official wa FA wakiikandamiza. Nakumbuka msimu wa 2009/10 jamaa walikuwa vizuri sana wakaletewa jungu na walipitwa point 1 na Manure
Nakumbuka kuna game ya Arsenal na LFC tulidraw 4 4 Arshavin akipiga hat trick ya hatari, lv ilikuwa ipo vizuri sana.
Royalty ya SAF ndo ishaisha hivyo, let's hope good enjoyable football katika hili. BIG UP LIVERPOOL.

Hahahahaaa. Nilijua tuu. Msimu sijui nani wa kulaumiwa.
 
EMT
Liverpol tunafanya vibaya sababu ya BR!Huyu kocha ni mediocre tu aliyebebwa na vipaji binafsi vya Suarez,Dan na SG!Yaliyomkuta Readings yananukia
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo siyo Faggie na Gill tena?
 
EMT hoja kama hizi huwa naziacha zipite.....DAVID DEAN ashashika hicho cheo alichokuwa nacho DAVID GILL....tatizo watu wanaleta mambo yao ya simba na yanga kwenye EPL.....Fergie kaondoka,David Gill kaondoka sasa Liverpool sijui watasikizia nini labda Gerrard alibambikiwa viatu akapewa skating shoes badala ya football shoes!!!! YNWA you will never win again!
 
Last edited by a moderator:
Oh come back tuendelee na hii dabate please?

Msimu uliopita Liverpool walifanya vizuri sana kwenye ligi kidogo wabebe kombe. Coincidentally, Man Utd walifanya vibaya sana.

Wakati Liverpool ikifanya vizuri na Man Utd ikifanya vibaya, Faggie na Gill hawakuwepo tena.

Hapo baadhi ya watu waliweza kuikubali hoja yako kwa kigezo kuwa watu hao wawili ndo walikuwa chanzo cha Liverpool kutofanya vizuri.

Lakini naona ni bota tuka-revist tena hii thread kuona kama ulichokisema wakati ule ni sahihi.

Msimu huu Liverpool imefanya sana siyo tuu kwenye Champions League, bali kwenye ligi kiasi cha kocha wao kuwa roho juu.

Hapa kweli unaweza bado kudai kuwa Faggie na Gill ndo wamesababisha Liverpool kufanya vibaya msimu huu?

RRONDO, MosDef, Malafyale, alsaidy, Gwamahala, M-mbabe, SG8, Janjaweed, zumbemkuu, Kalumbesa, Amavubi, The Magnificent, Mkeshaji, Mphamvu, asakuta same, Ehud, Piere. Fm, LiverpoolFC, Ed n Edd nEddy, 'TF', norkim1991, Frajasa, neva, Amanizzle, Blac kid, John locke, Mr. Wise, Full Moon, Mwihadisa, Okhondima, Ulayas, kdc, fredericko, Mzee wa kuthubutu, mwakajanawetu, Shakazulu, Mawenzi, TUJITEGEMEE, shanature, Prisoner 46664, escober, Pazi, Jaguar, Ulimakafu, SIM, MTK, TIQO, kbosho, grafani11, Pianist, mtotowamjini, ngonjera zinatosha, piper, Belo

Mkuu EMT kumbuka hizo hoja zilijengwa kwa kuzingatia mkusanyiko wa msimu zaidi ya mitano , hata msimu uliopita kwenye big match Liverpool walikandamizwa baadhi ya mechi kwa maamuzi mabovu ya marefu.
Napenda kukiri kuwa msimu huu Liverpool wameyumba sana na hilo limechangiwa na kocha aliyepo , usajili usio makini, kushuka kwa morali wa timu , bila kusahau kuondoka kwa wachezaji wenye vipaji binafsi vya kuibeba timu katika siku mbaya kimchezo ( mf suarez).
Hivyo hatuwezi kuizungumzia Liverpool kwa kutazama msimu huu mmoja , hebu tusubiri angalau misimu mitatu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
EMT
heshima kwako
Liverpool msimu uliopita naweza kusema walifamya vizuri kwa sababu ya suarez na msaada wa sturidge ambaye ameumia.
magoli 30 au 20 ya suarez yangekuwepo msimu bado liverpool wangekuwa nafasi nzuri.
Liverpool kufanya vibaya namlaumu sana rodgers kwa sababu ya usajili wake mbovu. hela aliyomuuzia suarez angenunua hata wachezaji watatu world class baadala yake akanunua wachezaji wengi wa mafungu wenye viwango vya kawaida ambao mpaka leo hawajawa na msaada wowote.
issue nyingine ni liverpol kumtegemea sana gerrald ambaye umri umeenda na kiwango kimepungua
 
Oh come back tuendelee na hii dabate please?

Msimu uliopita Liverpool walifanya vizuri sana kwenye ligi kidogo wabebe kombe. Coincidentally, Man Utd walifanya vibaya sana.

Wakati Liverpool ikifanya vizuri na Man Utd ikifanya vibaya, Faggie na Gill hawakuwepo tena.

Hapo baadhi ya watu waliweza kuikubali hoja yako kwa kigezo kuwa watu hao wawili ndo walikuwa chanzo cha Liverpool kutofanya vizuri.

Lakini naona ni bota tuka-revist tena hii thread kuona kama ulichokisema wakati ule ni sahihi.

Msimu huu Liverpool imefanya sana siyo tuu kwenye Champions League, bali kwenye ligi kiasi cha kocha wao kuwa roho juu.

Hapa kweli unaweza bado kudai kuwa Faggie na Gill ndo wamesababisha Liverpool kufanya vibaya msimu huu?

RRONDO, MosDef, Malafyale, alsaidy, Gwamahala, M-mbabe, SG8, Janjaweed, zumbemkuu, Kalumbesa, Amavubi, The Magnificent, Mkeshaji, Mphamvu, asakuta same, Ehud, Piere. Fm, LiverpoolFC, Ed n Edd nEddy, 'TF', norkim1991, Frajasa, neva, Amanizzle, Blac kid, John locke, Mr. Wise, Full Moon, Mwihadisa, Okhondima, Ulayas, kdc, fredericko, Mzee wa kuthubutu, mwakajanawetu, Shakazulu, Mawenzi, TUJITEGEMEE, shanature, Prisoner 46664, escober, Pazi, Jaguar, Ulimakafu, SIM, MTK, TIQO, kbosho, grafani11, Pianist, mtotowamjini, ngonjera zinatosha, piper, Belo

Watu wanajua kutafuta visingizio ,sababu za Man United kufanya vibaya ni kubadilisha kocha ambaye alikaa muda mrefu sana now amepatikana kocha mzuri kanunua wachezaji wazuri na amejitahidi kuondoa wachezaji walioshuka viwango (Nani,Cleverly,Rio,Vidic,Kagawa,Chicharito,Evra,) Hao wote waliondoka wengi hata walipokwenda wamekuwa mzigo ukiacha Nani & Evra .Liverpool defence yao ni mbovu tangu msimu uliopita lakini bado hawajatatua hilo tatizo, wamenunua wachezaji wabovu na kocha wao hana mbinu mbadala
 
EMT umefufua huu uzi marehemu, mtoa mada bado yuko hai kweli?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu EMT kumbuka hizo hoja zilijengwa kwa kuzingatia mkusanyiko wa msimu zaidi ya mitano , hata msimu uliopita kwenye big match Liverpool walikandamizwa baadhi ya mechi kwa maamuzi mabovu ya marefu.

Na hapo Faggie na Gill walihusika?

Napenda kukiri kuwa msimu huu Liverpool wameyumba sana na hilo limechangiwa na kocha aliyepo , usajili usio makini, kushuka kwa morali wa timu , bila kusahau kuondoka kwa wachezaji wenye vipaji binafsi vya kuibeba timu katika siku mbaya kimchezo ( mf suarez).
Hivyo hatuwezi kuizungumzia Liverpool kwa kutazama msimu huu mmoja , hebu tusubiri angalau misimu mitatu mkuu.

Sawa mkuu, nitahakikisha huu uzi haufi in the next three, unless mie nife kabla.
 
Last edited by a moderator:
EMT
heshima kwako
Liverpool msimu uliopita naweza kusema walifamya vizuri kwa sababu ya suarez na msaada wa sturidge ambaye ameumia.
magoli 30 au 20 ya suarez yangekuwepo msimu bado liverpool wangekuwa nafasi nzuri.

Kwa maana nyingine kufanya vizuri kwa Liverpool msimu uliopita hakukuwa uhusiano wowote wa kutokuwepo kwa Faggie na Gill?
 
Mkuu asakuta same naomba tuwekane sawa kidogo.

Hivi unajua mechi ya Looser na Manchester Van Gaal aliwatumia wachezaji wote waliokuwepo enzi za utawala wa Moyes.Manchester United msimu huu kasajili wachezaji sita hakuna hata mchezaji mmoja aliyeanza katika mchezo huo hii maana yake ni kwamba Moyes alikuwa tatizo kubwa kuliko tunavyofikiri.

Mkuu EMT kumbuka hizo hoja zilijengwa kwa kuzingatia mkusanyiko wa msimu zaidi ya mitano , hata msimu uliopita kwenye big match Liverpool walikandamizwa baadhi ya mechi kwa maamuzi mabovu ya marefu.
Napenda kukiri kuwa msimu huu Liverpool wameyumba sana na hilo limechangiwa na kocha aliyepo , usajili usio makini, kushuka kwa morali wa timu , bila kusahau kuondoka kwa wachezaji wenye vipaji binafsi vya kuibeba timu katika siku mbaya kimchezo ( mf suarez).
Hivyo hatuwezi kuizungumzia Liverpool kwa kutazama msimu huu mmoja , hebu tusubiri angalau misimu mitatu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
EMT umefufua huu uzi marehemu, mtoa mada bado yuko hai kweli?

Uzi ndo kwaanza unakuwa relevant.

Sijui kama mtoa mada bado yuko hai.

Who knows may be alistaafu na akina Faggie na Gill.
 
Last edited by a moderator:
mkuu EMT binafsi naamini msimu huu kosa walilolifanya liverpool ni sawa na lilelile walilolifanya Tots enzi za AVB kwamba waliuza mchezaji mmoja wa gharama kisha wakatumia pes ya kutosha kusajili wachezaji wengi wenye uwezo wa kawaida. binafsi naamini baada ya kumuuza suarezi wilipaswa kutumia hata £ 30 milion kusajili mshambuliaji mmoja wa maana kuziba pengo la suarez kuliko kuwasajili akina lambert watatu.
kwa upande wapili ni ukweli kuwa msimu uliopita man u walikuwa wabovu kupitiliza kutokana na kuondokewa na kocha ambaye wamekaa naye muda mrefu kisha kuja kocha ambaye alikuwa anaweweseka na jina Man U.
Yangu ni hayo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom