Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,605
- 96,617
Yani Tanzania mjinga ndio uwaona werevu ni wajinga, very interested.Toa ujinga wako hapa..How about torat ,zabur?
Yani Tanzania mjinga ndio uwaona werevu ni wajinga, very interested.Toa ujinga wako hapa..How about torat ,zabur?
Chafu imezaliwa huku inaongea asee ni kwere arifu 😂😂😂😂Mimi ni Muislamu LAKINI amini nakwambia achana kabisa na huyo mtu aitwae Yesu. He is something else.
Yesu atabaki kuwa Yesu.
Kuhusu Wayahudi kutokumkubali isikuchanganye SANA mkuu, hata Yesu mwenyewe alisha sema Nabii hakubaliki kwao.
Unamuongelea Mungu yupi ambae ukizaliwa tu tangu kichanga unakuwa unamjua?Swali namba tatu napingana nalo, nikimaanisha kuwa kristo alitimiza hilo.
Hata sasa watu wanazaliwa wanamjua Mungu, wala haihitaji kufundishwa ili umjue Mungu bali Mungu yupo kwenye dhamiri zetu wenyewe toka ukiwa kichanga.
Ila kweli ukifikiria vizuri mungu angekuwepo asingeruhusu mtoto azaliwe amekufa au kilemaHuyo Mungu mwenyewe hayupo, uwepo wake ni hadithi za watu tu.
Kwa nini watu hawalioni hili na wanalitafutia kila sababu kulikwepa wakati liko wazi?Ila kweli ukifikiria vizuri mungu angekuwepo asingeruhusu mtoto azaliwe amekufa au kilema
Unaelewa nini kuhusu kumjua Mungu?Unamuongelea Mungu yupi ambae ukizaliwa tu tangu kichanga unakuwa unamjua?
Hivi unajua kama kuna nchi hadi leo hii haziamini katika uwepo wa Mungu unaemuamini wewe? Hao watakuwa wanazaliwa na Mungu yupi?
ili twende sawa mkuu na nikupe majibu stahiki, inabidi nijue ni Mungu yupi Kwanza unamuongelea wewe...!Unaelewa nini kuhusu kumjua Mungu?
Ubaya umekuja kwenye kutofautisha aina za Mungu.ili twende sawa mkuu na nikupe majibu stahiki, inabidi nijue ni Mungu yupi Kwanza unamuongelea wewe...!
Nisije kujibu majibu ya kumuhusu Mungu Allah, au Yehova/Yahweh au Brahma, au Budha au Ganesh/Shiva na wengine wengi
Sasa basi ili nipate kujibu sawa sawa na swali lako inabidi nijue mwenzangu unamuongelea Mungu yupi?
Maana kama mwenzangu unamuongelea Allah majibu yanaweza kuwa tofauti na ungemuongelea Yehova vivo hivo ingekuwa tofauti na mtu anaemuongelea Budha
Ndomana mwanzo kabisa nikakuuliza unamuongelea Mungu yupi ambae unasema Yesu alikuja kumaliza hilo na kila anaezaliwa anakuwa anamjua Mungu
Unadhani mtu ambae amezaliwa China atazaliwa anamjua Mungu yupi? Yehova/Allah au Mungu wao Budha?
Kwahiyo msiwe mnafikilia vile Tanzania tunafikilia kuhusu Yesu na mtume S.W.S basi ni sawa na Nchi zingine, kuna Nchi haya majina hawayajui kabisaaaa na ata kama wakiyaskia hawayapi uzito sawa na sie maana nawao wana majina yao
kuzaliwa kwa Yesu kwako unaweza ukawa unaita ni ukombozi na inaweza ikawa Sawa kwako basi haina maana huo ukombozi ni kwa kila race's, itakuwa ukombozi kwa yule alieziskia hizo story zake na akazikubali
Sasa turudi kwenye swali lako la msingi kuhusu Mimi naelewa nini kuhusu kumjua Mungu...! Namie nauliza unamuongelea Mungu yupi?
Mkuu naomba nikumbushie comment yakoUbaya umekuja kwenye kutofautisha aina za Mungu.
Namaanisha Kumjua Mungu yeyote kati ya hao kulingana na wapi ulipo na imani yako... Yani awe Mungu mti, Budha, Allah ili mradi wewe ujue kuwa ni Mungu.
Kwahiyo namaanisha Mungu yeyote kulingana na eneo ama imani uliyopo
Long time no see.Ushakubali mbuzi ana kamba, hana uhuru.
Hizi nyingine mbwembwe tu za ligi kuu kutetea timu yako hata kama imefungwa.
Mkuu umeandika vizuri ila sijui kama huyo fasihi simulizi atakuelewa, kwanza sio mkristo, pili Hana haja ya kueleweshwa na tatu haupendi ukristo, na ukimsoma btn the lines utatambua kwamba ni wale wale wanaokunywa maji ya zam zam yaliochanganywa na zafarani na wanayanywea kwenye makombe ili kuamsha akili(ijaza).Usomaji na utafakariji wa maandiko matakatifu unahitaji hekima kubwa sana ya kininadamu. Kwa kuwa maandiko haya ni muunganiko wa nyaraka na aya zenye kuhitaji maarifa makubwa kuzielewa, na pia ili zipate kutafsirika kwa maana ileile iliyokusudiwa. Hii inatokana na aina ya lugha iliyotumika na ikapate kueleweka na kizazi kilicholengwa na ujumbe husika.
Ukitaka upate maana halisi, sahihi na iliyokusudiwa itapasa mtu apatanishe vyema maandiko yaliyotumika katika aya husika. Na ili mtu apatanishe vyema ujumbe uliopo ni lazima apate maana halisi iliyopo nyuma ya aina lugha iliyotumika, hii inatokana na sababu ya kwamba Kuna aina tofauti ya lugha zilizotumika, yaani,
- Lugha ya kawaida kueleweka
- Lugha ya mifano ama siri mafumbo ya kimbingu
- Lugha kupitia tafsiri za namba zilizotumika
- Lugha ya kiunabii
- Lugha mchanganyiko ya mbili ama zaidi ya hizo nyingine hapo juu.
Wayahudi wengi mpaka hii leo wanashindwa kutambua ukweli kuhusu Masihi Yesu Kristo, hii ni kwa kuwa wao ni waathirika wa mafundisho waliyorithishwa na wazee wao. Licha ya wengi wao kufungwa na sheria za Torati na manabii, ambazo hukazia juu ya utiifu sheria za kimwili, lakini ni ukweli ya kuwa misingi ya imani yao imechakachuliwa sana na tamaduni za kigeni.
Mpaka kipindi ambacho Yesu anakuja na kuishii nao, babu na bibi zao hawakuutambua isipokuwa wale 144,000 waliotajwa katika Ufunuo sura ya 7. Hawakuujua ujio wa Masihi wa kweli, kwa sababu hawakutambua kusudio la kuja kwake na kuishi nao kama binadamu yeyote yule wa kawaida. Ili unabii utimie walikuwa na macho wala hakumtambua, walikuwa na masikio wa hawamkusikiliza.
Wazee wao walifanya hivyo kwa kuwa walikuwa ni kizazi cha wahanga wa tamaduni za falme za Babeli, Umedi-Ujemi, Uyunani na Rumi pale walipoishi utumwani kwa nyakati tofauti. Athari hizo za kiutamaduni ziliwaathiri dhidi ya namna sahihi ya kumuabudu Mungu wao, kinyume na misingi ya kweli iliyowekwa kupitia Torati ya Musa na manabii.
Wakajikuta ni wahanga dhidi ya msisitizo kuhusu imani yao ya asili Kiyahudi, hivyo basi,
- Wakajikuta wanahimizwa kuishika dini badala ya imani ya asili Kiyahudi,
- Badala ya ibada hekaluni wakageukia masinagogi,
- Wakalazimika kugeukia mafundisho ya elimu ya dini, theolojia yake na hata falsafa juu ya asili ya Mungu na uwepo wake.
- Wakajiwekea mfumo wenye kutambua nafasi mamlaka ya juu ya kidini yenye kutambua cheo cha Kuhani Mkuu, muundo wa baraza kuu la sheria la kidini, madhehebu ya kidini ndani ya dini yao ya Kiyahudi.
Vitu hivyo havikuwepo wala kutajwa na Musa na manabii, ila wao waliviweka ili pia nao wafanane na kiendana na matakwa ya sheria za wakoloni waliowatawala kwa nyakati tofauti, na hatimaye walihalalisha kuwa ndiyo njia sahihi, mfumo sahihi wa kidini na wenye mafundisho sahihi ambayo watoto na wajukuu wao watapaswa kuyafuata na kuyatii. Pasipo kutambua ya kwamba kwa kufanya hivyo walizidi kukaa mbali na imani ya Mungu wao iliyoshikwa na babu zao Ibrahimu, Isaya na Yakobo.
Kila kitu kilitabiriwa na nabii Danieli kuhusu Kristo, kusudio la ujio wake na hata kukataliwa kwake na Wayahudi. Na pia ilitabiriwa kuwa watamtarajia masihi mwingine ambaye watakuja kumkubali badala yake. Hebu tutafakari juu ya andiko lifuatalo ili tupate ufahamu zaidi,
DANIELI 9
21 Naam, nilipokuwa nikinena katika kuomba, mtu yule, Gabrieli, niliyemwona katika njozi hapo kwanza, akirushwa upesi, alinigusa panapo wakati wa dhabihu ya jioni.
22 Akaniagiza, akaongea nami, akasema, Ee Danieli, nimetokea sasa, ili nikupe akili upate kufahamu.
23 Mwanzo wa maombi yako ilitolewa amri, nami nimekuja kukupasha habari; maana wewe unayependwa sana; basi itafakari habari hii, na kuyafahamu maono haya. 24 Muda wa majuma sabini umeamriwa
25 Basi ujue na kufahamu, ya kuwa tangu kuwekwa amri ya kutengeneza na kuujenga upya Yerusalemu hata zamani zake masihi aliye mkuu; kutakuwa na majuma saba; na katika majuma sitini na mawili utajengwa tena pamoja na njia kuu zake na handaki, naam, katika nyakati za taabu.
- juu ya watu wako,
- na juu ya mji wako mtakatifu,
- ili kukomesha makosa,
- na kumaliza dhambi,
- na kufanya upatanisho kwa ajili ya uovu,
- na kuleta haki ya milele,
- na kutia mhuri maono na unabii,
- na kumtia mafuta yeye aliye mtakatifu.
26 Na baada ya yale majuma sitini na mawili, masihi atakatiliwa mbali, naye atakuwa hana kitu; na watu wa mkuu atakayekuja watauangamiza mji, na patakatifu; na mwisho wake utakuwa pamoja na gharika, na hata mwisho ule vita vitakuwapo; ukiwa umekwisha kukusudiwa.
27 Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu
Kama nilivyogusia hapo awali, majuma hayo 70 yametajwa kwa lugha kupitia tafsiri ya namba, na pia imetumika lugha ya kiunabii kuhusu ujio Masiha wa kweli na madhumuni ya kuja kwake hapa duniani kama Myahudi. Lakini ukisoma aya zinazofuata utakuta zinahusu kukataliwa kwake, na kuhusu matarajio ya Wayahudi kuhusu ujio wa masiha mwingine ambaye wao humtarajia kuwa ndiye atakuja kuwakomboa.
Lakini matarajio ya ujio wa masihi huyo hakuondoi ukweli kuhusu uwepo Masihi wa kweli Yesu Kristo, ambaye sasa ndiye Kuhani Mkuu wa Agano Jipya, naye ndiye kichwa cha kanisa lake kweli ambao ni usharika wa watakatifu wake, ambao Yeye huwaita milki ya kifalme, na ndiyo maana anaitwa ndiye Mungu na MwanaKondoo.
You don't have freewill if you don't even choose to be born or not.Long time no see.
Ukizingatia huwa unasemaga kujibiwa na ww ni privelege😅. Yah it is in some way.
Kiranga you are articulate in most matters, factual stuff. I give you that.
But hey, I have interacted with this trendy AI, chatgpt today. And it got me wondering what difference does it have with us. Humans.
So I asked about Magufuli. It plainly stated the facts like infrastructure and his strange Covid stances. It concluded with his death.
So I commented 'I miss him, he was a good man'
Here is the thing that happened;, it did not agree with me about his goodness, nor did it state that he was bad. But it only stated the fact that some people loved him for reasons abc and some did not (hated him).
I thought maybe freewill is the thing that makes us humans human. The fact that we can have factors supporting both sides but still we choose one side. Not merely knowing stuff but deciding on those stuffs. Wisdom, sapiens. Not merely understanding causes and their effects but also deciding among them. Judging ghem essentially.
Strip yourself of freewill and and I wonder how will you still justify the difference between you and artificial AI. How are you different from the ChatGpt sir?? Or are you not any different?
You don't have to be able to choose everything ndio useme kwamba 'kweli niko na freewill'You don't have freewill if you don't even choose to be born or n
Nakwambia hivi, perfect freewill is an illusion. Anything less than perfect freewill is not freewill. It is provisional, contextual, arbitrary and necessarily a poor simulation of freewill.You don't have to be able to choose everything ndio useme kwamba 'kweli niko na freewill'
Some are consequence of previous choices, this enables to prevent impossible combinations of choices. Example (a 1800s woman) I choose to remain virgin. Then you know, I also want to also be able choose to have three kids of my very own.
I may say people in my country own cars. It doesnt have to be all of them but hey they own cars. It is one of their property, their right to be.
You are saying people in your country own cars.You don't have to be able to choose everything ndio useme kwamba 'kweli niko na freewill'
Some are consequence of previous choices, this enables to prevent impossible combinations of choices. Example (a 1800s woman) I choose to remain virgin. Then you know, I also want to also be able choose to have three kids of my very own.
I may say people in my country own cars. It doesnt have to be all of them but hey they own cars. It is one of their property, their right to be.
Tell this to those Yogis, and GurusWewe huna hata uhuru wa ku control wazo gani linakuja mawazoni mwako next