Saba mbaroni kwa kutorosha Tanzanite ya thamani ya billion 7.2

Saba mbaroni kwa kutorosha Tanzanite ya thamani ya billion 7.2

Akiruka hiyo kiunzi,Kuna nyingine ya wafanyakazi kumdai 10% yao kwa muda wote alotoa mawe.
Kesi imekaa vibaya jamaa ni fala,unanunua nyumba mbili kwa mkupuo mitaa ya stendi kwa 2.5bn mwaka huu mwanzoni....bado apartment kajenga njiro na moshono...huku mzee mollel yeye mmiliki wa mgodi hana hata 1bn kwenye ac yake
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawashikilia na kuwahoji watu saba wakiwemo wafanyabiashara maarufu wawili wa madini ya Tanzanite kwa tuhuma za utoroshaji wa vito vyenye thamani bilioni 7.2.

Akizungumza na vyombo vya habari leo, Septemba 25, 2020, jijini Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo, Brigedia Jenerali JohnMbungo amesema wafanyabiashara hao wanahojiwa na upelelezi utakapokamilika watafikishwa mahakamani kwa makosa ya ukwepaji kodi huku wakikiuka sheria, kanuni, taratibu pamoja na miongozo inayohusiana na biashara hiyo.

Mkurugenzi huyo amewataja wafanyabiashara wanaohusishwa na tuhuma hizo ni Joel Saitoti Mollel ambaye ni meneja mkuu wa migodi na mwanahisa wa kampuni ya Gem and Rock Ventures ya Jijini Arusha pamoja na mkewe, Caren Saitoti Mollel.Wengine ni Daudi Lairumbe ambaye ni Wakili wa kampuni ya Gem and Rock Ventures Ltd, Rakesh Kumar Gokhroo (Colour Clarity), George Kivuyo mchimbaji na mfanyabiashara wa madini na mshirika wa kibiashara wa Joel Saitoti, Naiman Mollel mchimbaji wa Tanzanite katika mgodi uliopo Mirerani unaomilikiwa na kampuni ya Gems & Rock Ventures pamoja na Ezekiel Laizzer mchimbaji na mshirika wa kibiashara wa Saitoti

.Brigedia Mbungo alisema uchunguzi wa awali umebaini kuwa mfanyabiashara huyo Joel Saitoti na Rakesh kwa kushirikiana na watuhumiwa hao wanadaiwa kufanya uchimbaji, ununuzi. usafirishaji wa madini bila kufuata sheria Ambapo watuhumiwa wote wamekuwa wakitumia rushwa kushawishi baadhi ya watendaji wa serikali ili kufanikisha azma yao ikiwemo kupunguza thamani ya Madini, ikiwemo kupewa thamani ndogo kwenye soko la madini ambapo watuhumiwa hao kwa pamoja wamepata mali kwa njia zisizo halali zinazofikia Sh bilioni 7.2.

Chanzo: habari Leo
Hakuna kitu hapo, wanataka wawanyan'ganye hela zao, maana utawala huu ni UNYAN'GANYI MTUPU
 
Kesi imekaa vibaya jamaa ni fala,unanunua nyumba mbili kwa mkupuo mitaa ya stendi kwa 2.5bn mwaka huu mwanzoni....bado apartment kajenga njiro na moshono...huku mzee mollel yeye mmiliki wa mgodi hana hata 1bn kwenye ac yake
Naskia Mollel anasubiri serikali imalizane nae na yy aanze nae maana kamzunguka sana mzee na bado wafanyakazi wanamsubiri wamsulubishe na 10%yao
 
Naskia Mollel anasubiri serikali imalizane nae na yy aanze nae maana kamzunguka sana mzee na bado wafanyakazi wanamsubiri wamsulubishe na 10%yao
Mollel hana jipya,yeye miaka yote wadhamini ndio hutajirika kwake yeye anabaki na pesa za bia...mtoto wake alitoka na mawe ya kutosha akampelekea baba yake cha ajabu baba akamchenjia mtoto na kurudisha mawe kwa saitoti hana akili huyo mzee
 
Ndio maana dogo kaona ni upuuzi kumpambania mzee amabe hajielewi kaachana na mgodi karudi zake shule.
 
Hakuna kitu hapo, wanataka wawanyan'ganye hela zao, maana utawala huu ni UNYAN'GANYI MTUPU
Jamaa wamepiga sana ni jirani na mgodi nliopo,yani hao wote hakuna waliosingiziwa huyo leko,ezee wao ilikua ni dharau utafikiria anamiliki b moja kumbe hela mbuzi....sasa wametolewa kafara ya tajiri yao watauza nyumba zote kujinunua kwa DPP
 
Ndio maana dogo kaona ni upuuzi kumpambania mzee amabe hajielewi kaachana na mgodi karudi zake shule.
Dogo yuko full usisikie story za watu,baada ya hilo sekeseke watu walimfuata mollel wakamuambia aache ujinga amrudishe mtoto mgodini...mana saitoti alikua hataki dogo awe anazama atajua siri ya mawe.
Na dogo alimuambia mzee unaibiwa sana na huyo unaemuamini
 
Huyo mzee Mollel angetakiwa awe tajiri sana kwa mawe yaliyotoka toka mwaka juzi Ila wajanja kina Saitoti wamempiga sana ,sasaivi ndio akisimama vizuri mgodi Kama utatoa mawe atatajirika sana Kama akiwapata wasiamizi wazuri.
 
Mzee ni jinga hilo hawezi kubadilika,istoshe hiyo njia imeshachukuliwa na mgodi wa california hawana chao tena
 
Wana njia zingine 2 naskia ziko vizuri so nazani watatoa tu mawe .
Hawana njia nisikie vizuri,mimi niko mgodi wa jirani kabisa na tuko mbele yao kwenye manta...wanapiga nguzo walizoacha nyuma kwahiyo hakuna la maana.
Kingine hakuna miundo mbinu huko chini wanataamba kma panya
 
Sheria za madini zisizo na kichwa wala miguu.CCM ni ya kuondoa madarakani haraka mno!
 
Hawana njia nisikie vizuri,mimi niko mgodi wa jirani kabisa na tuko mbele yao kwenye manta...wanapiga nguzo walizoacha nyuma kwahiyo hakuna la maana.
Kingine hakuna miundo mbinu huko chini wanataamba kma panya
Basi ndio imekula kwake huyo mzee kachezea bahati.
 
Safi kabisa...huyo Saitoti kawatumikisha na kawadhulumu sana wafanyakazi wake pasipo kuwapa 10%kama wanavyofanya wachimbaji wengine..kwa hapo naipongeza serikali kwa hilo.
Napenda kuona wadau wenyewe kwenye nyuzi kama hizi

Ova
 
Basi ndio imekula kwake huyo mzee kachezea bahati.
Bado anasehemu za kupata mawe shida ni miundo mbinu,huo mgodi ni wakizamani huko chini kwahiyo kazi inafanyika kwa shida,mimi hizo njia nazijua kama sala miaka 13 niko opec.
Sema mgodi wa block D ndio uko kwenye njia nzuri na ndio ulimpa mawe ya maana saitoti
 
Back
Top Bottom