Saba mbaroni kwa kutorosha Tanzanite ya thamani ya billion 7.2

Kwa hiyo Saitoti alikuwa ananunua nyumba cash?
Alinunua nyumba 2 mtaa wa majengo hapo stand kuu,inaonekana jamaa amefuatiliwa mda sana alikua akinunua nyumba asubuhi mjini mzima unajua...ndio shida ya kukosa elimu amekamatwa yeye,wapambe,mke wote wamepewa kesi moja
 
Hahaaa...kweli alikuwa bwege, Arusha navyoijua huwezi kununua kitu au mali ya thamani kubwa Watu wasijue. Hata ukipiga bia kreti kadhaa kila siku kwa muda wa siku tatu unaweza kushangaa taarifa zimefika baa za jirani.
 
Unaendaje kununua nyumba ya 1.5bn na wapambe,wewe uliona wapi?istoshe alipopata hela alidharua marafiki wote wa zamani akawa na wajinga wenzake ndio hao kadakwa nao
 
Kesi imekaa vibaya jamaa ni fala,unanunua nyumba mbili kwa mkupuo mitaa ya stendi kwa 2.5bn mwaka huu mwanzoni....bado apartment kajenga njiro na moshono...huku mzee mollel yeye mmiliki wa mgodi hana hata 1bn kwenye ac yake
yupo na Mazda yake na peugeot yake mzee wa watu kawaamini wanampiga tu
 
Mollel hana jipya,yeye miaka yote wadhamini ndio hutajirika kwake yeye anabaki na pesa za bia...mtoto wake alitoka na mawe ya kutosha akampelekea baba yake cha ajabu baba akamchenjia mtoto na kurudisha mawe kwa saitoti hana akili huyo mzee
ukoloni Joji alishatengezewa zengwe harusiwi mgodini inatakiwa asome,Saitoti was very smart player
 
Jamaa wamepiga sana ni jirani na mgodi nliopo,yani hao wote hakuna waliosingiziwa huyo leko,ezee wao ilikua ni dharau utafikiria anamiliki b moja kumbe hela mbuzi....sasa wametolewa kafara ya tajiri yao watauza nyumba zote kujinunua kwa DPP
upo kwa Kayombo?
 
Bado anasehemu za kupata mawe shida ni miundo mbinu,huo mgodi ni wakizamani huko chini kwahiyo kazi inafanyika kwa shida,mimi hizo njia nazijua kama sala miaka 13 niko opec.
Sema mgodi wa block D ndio uko kwenye njia nzuri na ndio ulimpa mawe ya maana saitoti
hapana block D haujatoa mawe ya maana enzi za Saitoti ila ndio mgodi mama uliompa mawe mengi mzee enzi za kina John Ferouz,Jango na enzi za Mullah ndipo alipata mawe ya kununua TAWICO na target ya Saitoti future plan ya mawe ya ushindi maana una njia ya Green Emerald ambayo alikuwa ameplan akimaliza Opec arudishe majeshi Block kupata mawe ya ushindi
 
Mwaka juzi walitoa crosslite ya kutosha na ndio walipiga hela,ukuta ulikua bado unajengwa.
Badae njia ikafunga ndio mwaka jana wakauziwa deal ya kupiga block baada ya kupewa ruhusa na wizara ya madini
 
Alinunua nyumba 2 mtaa wa majengo hapo stand kuu,inaonekana jamaa amefuatiliwa mda sana alikua akinunua nyumba asubuhi mjini mzima unajua...ndio shida ya kukosa elimu amekamatwa yeye,wapambe,mke wote wamepewa kesi moja
Umekosea kidogo mkuu ,nyumba kazinunua makao mapya
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawashikilia na kuwahoji watu saba wakiwemo wafanyabiashara maarufu wawili wa madini ya Tanzanite kwa tuhuma za utoroshaji wa vito vyenye thamani bilioni 7.2.

Akizungumza na vyombo vya habari leo, Septemba 25, 2020, jijini Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo, Brigedia Jenerali JohnMbungo amesema wafanyabiashara hao wanahojiwa na upelelezi utakapokamilika watafikishwa mahakamani kwa makosa ya ukwepaji kodi huku wakikiuka sheria, kanuni, taratibu pamoja na miongozo inayohusiana na biashara hiyo.

Mkurugenzi huyo amewataja wafanyabiashara wanaohusishwa na tuhuma hizo ni Joel Saitoti Mollel ambaye ni meneja mkuu wa migodi na mwanahisa wa kampuni ya Gem and Rock Ventures ya Jijini Arusha pamoja na mkewe, Caren Saitoti Mollel.Wengine ni Daudi Lairumbe ambaye ni Wakili wa kampuni ya Gem and Rock Ventures Ltd, Rakesh Kumar Gokhroo (Colour Clarity), George Kivuyo mchimbaji na mfanyabiashara wa madini na mshirika wa kibiashara wa Joel Saitoti, Naiman Mollel mchimbaji wa Tanzanite katika mgodi uliopo Mirerani unaomilikiwa na kampuni ya Gems & Rock Ventures pamoja na Ezekiel Laizzer mchimbaji na mshirika wa kibiashara wa Saitoti

.Brigedia Mbungo alisema uchunguzi wa awali umebaini kuwa mfanyabiashara huyo Joel Saitoti na Rakesh kwa kushirikiana na watuhumiwa hao wanadaiwa kufanya uchimbaji, ununuzi. usafirishaji wa madini bila kufuata sheria Ambapo watuhumiwa wote wamekuwa wakitumia rushwa kushawishi baadhi ya watendaji wa serikali ili kufanikisha azma yao ikiwemo kupunguza thamani ya Madini, ikiwemo kupewa thamani ndogo kwenye soko la madini ambapo watuhumiwa hao kwa pamoja wamepata mali kwa njia zisizo halali zinazofikia Sh bilioni 7.2.

Chanzo: habari Leo
Haya ndio maswahibu wanayoyapata waliogoma kuichangia CCM hela ya kampeni
 
Back
Top Bottom