Saba mbaroni kwa kutorosha Tanzanite ya thamani ya billion 7.2

Saba mbaroni kwa kutorosha Tanzanite ya thamani ya billion 7.2

Hawana njia nisikie vizuri,mimi niko mgodi wa jirani kabisa na tuko mbele yao kwenye manta...wanapiga nguzo walizoacha nyuma kwahiyo hakuna la maana.
Kingine hakuna miundo mbinu huko chini wanataamba kma panya
Mkuu lile trekta linatoaga udongo kutoka wapi? Miundo mbinu ipo waya nasikia hadi manta na hakuna kutambaa.
 
jambo kubwa kama hilo kudaka majizi ya madini yetu ni la kupongeza ila ikumbukwe balaa kama hilo likishafikia public na mkulu akasikia basi hakuna maigizo tena, hayo majizi yafungwe tu hakuna namna ila yabanwe yataje kwanza na majizi wenzao wote nayo majizi mengine yasakwe maana majizi kwenye sekta ya madini yako kwa mamilioni nchi nzima yameiba tangu uhuru hadi leo na yote yanajulikana wizara ya madini iandae list ya majizi yote apewe Rais. ukienda field unapata data zote!!

katika awamu hii ya tano ukifanya sifa ukaleta maigizo ya kutaja wezi na kuwaachia na baba akajua unaenda na maji, hapa kazi tu utani peleka ufipa street!

muwe mnatupatia update za majizi haya kwa maslahi ya taifa sio kuripoti tu msala kama huu na mkatokomea huko Mbauda!
 
Back
Top Bottom