dah.....hii saa ikija dar hii itauzwaa saana lol
unataka? Nipe order
aiseeeeeeee babaangu hiyo saa ikija huku kwetu mkuu rombo nauwakika watu hawata angalia saa
kwa mujibu wa saa yetu, muda nnaoupenda ni dakika ya 15 na ya 45, hapo naomba muda usimame kabisa