Saa Ngapi??

Hahahaha Boflo, Lol!nimewish kuwa na hii watch for myself!!
 
Wape wape vidonge vyao....Wakimeza wakitema shauri zaooo

walonuna ni kina Kaunga Preta mwaJ
AHAHAHAHHAHAAH! Boflo sasa unataka watu wanune sasa unanichonganisha na mchungaji mwenzangu Kaunga si atafanya nikose waumini ibadani halafu huyu mwaJ tupo wote ofisini kwa Madame B ataniwekea zengwe nifukuzwe kazi bana halafu Preta huwa tunakutana sana pale fasi ya mango garden kuyiandaa safari ya lumbumbashi kufata vikwembe na somba sasa akikuya akakuta vile ndyo nimefanya mambo sio bien atakuya kwa mahasila meeeengi,mi huwa namjuanga huyu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenikumbusha mbali yani mie nilikesha naangalia hamadi kumekucha aibuuu
Bofloooooooooooooooooooo!!!!!!!!

Hii inanikumbusha Hoteli za Ukraine. Ukilala humo, kila ukiwasha TV, unaona watu wako saa fulani. Hadi inatia kinaa......
 
Weweeeee, angalia tayari watu washaanza mazoezi ya hayo masaa, ila tatizo muda wa kula chakula haujawekwa,,,,,!!! Ohoo kizunguzungu kitafuat:bowl:
 
Back
Top Bottom