Saa Ngapi??

Hii saa imebadili lile tangazo la kampuni ya chai "wakati wote ni wakati wa chai". Sasa kwa hiyo saa tutasema "wakati wote ni wakati wa .......". Khaaaaa! Ukifuatisha hiyo saa unataua watoto kwa njaa!
 
Boflo Umesahau kuwaambia kuwa toleo hili ni la siku za mapumziko .
Utawaletea lile la siku za kawaida.
 
Back
Top Bottom