Saa 10 Ni Saa za Mapenzi, Kama uamini huu ndio ushahidi

Saa 10 Ni Saa za Mapenzi, Kama uamini huu ndio ushahidi

DUU! MI NAKUSHAURI UFANYE DAY MWANANGU MANAKE UNAPIGA KITU HUKU UNAKIONA KINAVYOINJOI MCHEZO bila chenga. Usiku unaweza kuwa unacheza na Hadija lakini mawazo yako umeyaweka kwa mwanaisha!

Ok, ushauri mwanana mkuu mkupuo ...
 
Last edited by a moderator:
Yani hapo ni kuchagua tu yaani usiku mbu mchana inzi

Basi kuepuka bughdha yote hiyo , nitakuwa ndani ya et ya A-Z kwa hisaniya watu wa marekani (net za bush). au vip mkuu mgt ?
 
Last edited by a moderator:
Yani hapo ni kuchagua tu yaani usiku mbu mchana inzi

Basi kuepuka bughdha yote hiyo , nitakuwa ndani ya et ya A-Z kwa hisaniya watu wa marekani (net za bush). au vip mkuu mgt ?
 
Last edited by a moderator:
Basi kuepuka bughdha yote hiyo , nitakuwa ndani ya et ya A-Z kwa hisaniya watu wa marekani (net za bush). au vip mkuu mgt ?
Nndio manake, mchana michepuko inabom pesa mingi, utasikia nataka bavaria, savanah, henken wakati ndani ni castol au safari kwa kwenda mbele
 
Sasa ni saa kumi na dakika tano lakini sina time na ngono.
 
Kuna tofauti kubwa sana. Twaweza wanaweza kukueleza ukubwa wa "Sample" yao na distribution yake kwa maeneo, umri, jinsia nk. Huu utafiti wa MMU mara nyingi ni mawazo ya mtu - jinsi anavyoona au kuhisi. Hata hivyo si lazima ukubaliane na utafiti wa Twaweza au kwamba watakuwa sahihi kila wakati. Hali halisi inaweza kuja kuwa tofauti na utafiti wao.

Asante Mkuu ila kwa kuangalia ule utafafiti wa Twaweza hauna tofauti na huu wa huku MMU kilichobadilika pale ni mawazo ya mtu mmoja kutumwa taasisi kuyasema kama utafiti..
 
Wanaume wote tujicheki kesho, wakina mama weken alam muone mambo , mchukue mtoto wa miaka minne wa kiume mcheki ana alam ya maisha saa hiz akatiz alafu mlete jibu
 
Wana Jamvi,

Kuna ushahidi wa kutosha kuwa saa 10 ni saa za mapenzi, hii nikutokana
na hali halisi tuliyonalo hasa waafrika, utafiti huu nimeufanya kwa
kutumia viwango vifuatavyo:-

1. Wanaume wengi inafika saa kumi za usiku huwa wanakuta kitu kimesimama
balaa, kwa saa kama hizi wazazi kama wanataka kujua kama mtoto wao wa
kiume amekamilika huwa wanaeenda kumcheki kama kitu kimesimama, hata
hivyo wakikuta kimesimama baada ya kuridhika umwamusha kwenda kukojoa,
hapo ndipo utaona maajabu mtoto atarusha mkojo kwa kasi ya ajabu.

2. Kwa wanaume na wanawake waliowengi ifikapo saa kumi za jioni wenye
visimu vyao uanza kuchati sana na wapenzi wao wakutane sehemu
kuonyeshana kitu upendo, hizi saa naweza kuziita saa za shetani kwani
walio wengi huwa wanatoka na michepuko, saa hizi hizi ukiwa sehemu
yoyote ya mkusanyiko unakuta vijana wa makamo, visichana na midume huwa
wanaangaika wa kutoka naye. Saa kama hizi hata mwanamke ukipanda naye
basi umkamdate huwa mara chache kukataa.

Hii imejizihilisha kwamba saa kumi iwe usiku iwe mchana saa hizi
watanzania wanapenda sana mapenzi, saa kumi za usiku ni penzi la
nyumbani na saa 10 za mchana ni penzi la michepuko.

yababa weeeeeeeeeeeee!!!!
 
Back
Top Bottom