Saa 10 Ni Saa za Mapenzi, Kama uamini huu ndio ushahidi

Saa 10 Ni Saa za Mapenzi, Kama uamini huu ndio ushahidi

Kwahiyo saa 10 alfajiri ni dushe za watanzania tu na watoto wao ndo zinasimama au ni ulimwenguni kote zinasimama?

Hiyo ni amsha popo ulimwengu wote na vidume vya mbegu wote ....kwani kipyenga/ firimbi kikipigwa hakuna mtu kubaki nyuma , ni mwendo wa kitu "angola" tu hata kama umefanyiwa operation ya ......dume jana usiku.
 
du ndoo maana nlijifungua. saa kumi eee

Kwa hiyo hata "phone mgegedo" haiusiki??
weka wazi mkuu mwaJ kwani usije kuwa una jilipua ndani kwa ndani kimya kimya maana mambo ya whatsap na instaglam ....kwa sana tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,
Umetoa ngoma ndroo na Twaweza katika masuala ya utafiti. Katika tafiti yako, umechukulia kihisia zaidi au ulikuwa unapiga chabo nyumba kadhaa ndiyo ukafanya conclusion?

Ikifika saa hizo uwa nawapigia rafiki zangu , nawauliza mbona unaonekana uko active sana mara hii umeishaamuka, anasema tulikuwa tunasumbuana kidogo na mamananiliiii
 
Kwahiyo saa 10 alfajiri ni dushe za watanzania tu na watoto wao ndo zinasimama au ni ulimwenguni kote zinasimama?

Nimewafanyia watanzania tu, kule ulaya kunategemea mazingira maana zao mpaka wapate vichocheo kama kupasha joto lakini kwa waafrica kwenye joto huwa tuko vile.
 
Duu hiyo tamu sana Ngoja mimi nijaribu leo nione utamu wa saa 10.....
sasa sijui nichague saa kumi ipi (day tm or night )? nisaidieni wadau.

DUU! MI NAKUSHAURI UFANYE DAY MWANANGU MANAKE UNAPIGA KITU HUKU UNAKIONA KINAVYOINJOI MCHEZO bila chenga. Usiku unaweza kuwa unacheza na Hadija lakini mawazo yako umeyaweka kwa mwanaisha!
 
Hivi we mkinga kweli au kuinjoiana tu? Nimeshangaa unasema hujawahi kuiona saa kumi...kivipi??

mkinga pure wa bulongwa makete
japo nimekwenda mara moja tu
bulongwa na ludewa
 
nadhani ungesema sakumi ni mida ya ngono, maana mapenzi ni dhana pana me sakumi huwa nafanya mapenzi ya Mungu, yaani kusali
 
Back
Top Bottom