elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,705
ndo kakubali we chapa tu...muulize tena kwa mara ya mwisho athibitishe kama ni kweli ana mshkaji,manake anaweza kupa mzigo then mwisho wa siku ukifall in love mshikaji wake atokee..hapo sasa.
kuna demu nampenda, basi bila hiana nikamtokea, jibu alilonipa ni kwamba ana mtu lakini mimi sikuamin kama kweli ana mtu nikaendelea kumsumbua lakini msimamo wake ni huo huo.
ajabu uwa natoka naye beach, club na sehemu nying sometime anakuja home yani ukinikuta naye unaweza fikiri ni demu wangu. sijawahi kusikia ananiambia anaenda kwa boyfriend wake au kumwongelea kabisa.
lakini pamoja na kudai ana bf aliniambia kama niko tayari tufanye mapenz halafu tupotezeane kuanzia siku hiyo. mimi sikumjibu ila mpaka leo bado najiuliza huyu demu vipi?
Unajiuliza nini? Wewe una umri gani? Unataka akutamkie maneno gani ndiyo ufahamu kwamba alishakufa siku nyingi? Kalagabaho wewe!!kuna demu nampenda, basi bila hiana nikamtokea, jibu alilonipa ni kwamba ana mtu lakini mimi sikuamin kama kweli ana mtu nikaendelea kumsumbua lakini msimamo wake ni huo huo.