Sa huyu demu nimwiite jina gani

Kwahiyo wewe hautaki kupiga mambo?. Ameshakubali huyo, tia kazi?. Naona kama kifaranga kinajisogeza. Tia kaz,
 
aise wewe jamaa vipi ama mashine imepata itilafu nafasi hizo adimu sana ww bado unajiuliza alaaaa ulitaka nn zaidi????//
 
Aina flani ya malaya sababu binti yoyote wa kiafrika aliyelelewa kwa maadili ya kibantu haswa hawezi kuthubutu ujinga huo. Sasa wewe tegeka halafu uje uone!
 
Back
Top Bottom