Sa huyu demu nimwiite jina gani

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,698
kuna demu nampenda, basi bila hiana nikamtokea, jibu alilonipa ni kwamba ana mtu lakini mimi sikuamin kama kweli ana mtu nikaendelea kumsumbua lakini msimamo wake ni huo huo.
ajabu uwa natoka naye beach, club na sehemu nying sometime anakuja home yani ukinikuta naye unaweza fikiri ni demu wangu. sijawahi kusikia ananiambia anaenda kwa boyfriend wake au kumwongelea kabisa.
lakini pamoja na kudai ana bf aliniambia kama niko tayari tufanye mapenz halafu tupotezeane kuanzia siku hiyo. mimi sikumjibu ila mpaka leo bado najiuliza huyu demu vipi?
 
mwite galffrend wako

au unamashaka kwamba kicheche?
kwa msichana wa kawaida ukimchapa mara moja atataka kustik na si kusema tuchapane then tuachane..UO NI MTEGO ANATAKA MUANZE RASMI SASA.. mki duu ndo mnakuwa mmezindua album...USIWAZE SANA ...ndo lugha zetu izo mwaya...

.....apo pakwenda bich/club na wewe ni kwamba alikuwa anataka kujiridhisha km kweli upo serious?una tyme kuhang naye? hauna mtu?

mkapime mpeane mambo then umuWOWE ehh baba?
 
Aise anaona kuku mbele yalke halafu anauliza jirani eti huyu ni kuku au bata
 
Ndo kakubali we chapa tu...muulize tena kwa mara ya mwisho athibitishe kama ni kweli ana mshkaji,manake anaweza kupa mzigo then mwisho wa siku ukifall in love mshikaji wake atokee..hapo sasa.
 
kwa kumuita "demu" umesha mdharau tayari,...
so mtafutie jina la heshima basi,kama lile alilopewa na wazazi wake.
kama ni janeth muite hivo,...kama ni maria muite hivo sio demu
 
ndo kakubali we chapa tu...muulize tena kwa mara ya mwisho athibitishe kama ni kweli ana mshkaji,manake anaweza kupa mzigo then mwisho wa siku ukifall in love mshikaji wake atokee..hapo sasa.

amuulize tena mara ya pili_aaaah ya nini,...suala hapa ni kupiga mzigo,...na akiamua kupotezea ni fresh_mbona kawaida sana,....ningekua mm nimepewa nafasi hiyo ya kwenda club,...mara beach aaaaah!...kitambo nshaharibu
 
kuna demu nampenda, basi bila hiana nikamtokea, jibu alilonipa ni kwamba ana mtu lakini mimi sikuamin kama kweli ana mtu nikaendelea kumsumbua lakini msimamo wake ni huo huo.
ajabu uwa natoka naye beach, club na sehemu nying sometime anakuja home yani ukinikuta naye unaweza fikiri ni demu wangu. sijawahi kusikia ananiambia anaenda kwa boyfriend wake au kumwongelea kabisa.
lakini pamoja na kudai ana bf aliniambia kama niko tayari tufanye mapenz halafu tupotezeane kuanzia siku hiyo. mimi sikumjibu ila mpaka leo bado najiuliza huyu demu vipi?

Kuwa makini sana (SANA) huyo demu mjanja kuliko unavyofikiria ameshakusoma na anapima mambo. ukisha mfafa tuu na ukafall bila ya kumtimizia atakacho atakwambia anakutana na jamaa yake alafu akupotezee kidogo kidogo. Wewe chakufanya mpe njia panda. yani achague kwanza kati ya huyo jamaa wake hewa au wewe umesikia usilegee hapo.... akiendeleza huo upuuzi mbandue kisawasawa halafu mpige chini.
 
kuna demu nampenda, basi bila hiana nikamtokea, jibu alilonipa ni kwamba ana mtu lakini mimi sikuamin kama kweli ana mtu nikaendelea kumsumbua lakini msimamo wake ni huo huo.
ajabu uwa natoka naye beach, club na sehemu nying sometime anakuja home yani ukinikuta naye unaweza fikiri ni demu wangu. sijawahi kusikia ananiambia anaenda kwa boyfriend wake au kumwongelea kabisa.
lakini pamoja na kudai ana bf aliniambia kama niko tayari tufanye mapenz halafu tupotezeane kuanzia siku hiyo. mimi sikumjibu ila mpaka leo bado najiuliza huyu demu vipi?
Unajiuliza nini? Wewe una umri gani? Unataka akutamkie maneno gani ndiyo ufahamu kwamba alishakufa siku nyingi? Kalagabaho wewe!!
 
jambo la msingi ni kwenda ANGAZA mkitoka hapo majibu mtakuwa nayo na utajua kipi cha kufanya, lkin angalia usije muumiza mdada wa watu, na je ww unamchukuliaje? labada hapo awali ni kweli alikuwa nae bf sasa kawaweka ktk mizani na ww umekuwa na uzito mkubwa ndiyo maana kashoboka na hataki tena her X
 
Hivi wewe ni mwanaume au mwanaume jina?
Mtu keshakubali unategemea akwambie utakuwa wa permanent? Mkubalie akupe hiyo mara moja utaona mwenyewe kama hajaendelea kukutafuta.
 
sometimes unakuta anaringa hivyo, later you discover is a professional cunt! hebu pritend nawe uko busy ukate mawasiliano for few days uone!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom