elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,704
kuna demu nampenda, basi bila hiana nikamtokea, jibu alilonipa ni kwamba ana mtu lakini mimi sikuamin kama kweli ana mtu nikaendelea kumsumbua lakini msimamo wake ni huo huo.
ajabu uwa natoka naye beach, club na sehemu nying sometime anakuja home yani ukinikuta naye unaweza fikiri ni demu wangu. sijawahi kusikia ananiambia anaenda kwa boyfriend wake au kumwongelea kabisa.
lakini pamoja na kudai ana bf aliniambia kama niko tayari tufanye mapenz halafu tupotezeane kuanzia siku hiyo. mimi sikumjibu ila mpaka leo bado najiuliza huyu demu vipi?