Ryanair na picha za ngono!

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Kampuni ya ryanair ya huko Uk,ipo mbioni kuanzisha huduma ya kuangalia picha za ngono kwenye ndege zake!na hii ni kwa ajili ya kuvutia biashara,kutakuwa na vifaa maalum sio zile screen nyuma ya viti zitakavyo tumika kuangalia.utaweza tumia kama Ipads au smartphone ku ingia kwenye mtandao wao ndani ya ndege na kuona huduma mbalimbali za kingono.

images
 
Hiyo ndege lazima ianguke tu, nani anataka kufa, hapo hawavutii biashara ni wanapotosha biashara hawatapata wateja kamwe
 
Tusubiri tuone kama utafiti wao utazaa matunda,ila kwa wenzetu walivyo inaweza kulipa
 
kama umekaa na mdada mtamu pembeni unaweza muomba muingie faragha kidogo toilet unamaliza kiu yako huko...
 
Hivi hii dunia inaelekea wapi? Nafikiri siku za mwisho zimekaribia..tujiwekeni tayari tusije tukaukosa ule UFALME WA KIUKWELI..
 
Hiyo ndege lazima ianguke tu, nani anataka kufa, hapo hawavutii biashara ni wanapotosha biashara hawatapata wateja kamwe
mbona unawatisha wateja-kila mtu ana huduma zake anazopenda-mi naamini itapata wateja
 
Precission air nao wamepanga kuanza hiyo january wakichelewa wanwaweza kuta tanzania tuko na 50
 
Back
Top Bottom