RWANDA'S HUNTED: Inside the plots to kill Rwanda’s dissidents

Wapi najitofautisha na Wa-Tanzania, onyesha mstari mmoja tu ambapo nimeukana u-Tanzania wangu. Msinitenge!

Hufai kuwa mtanzania. huna uzalendo na nchi yako. Unasifia serikali ya nchi nyingine as if wenyewe ndo wamekukuza? Mwana CCM gani husiyekubaliana na viongozi wako? wewe ni muhasi, na mnafiki. Unacheza ngoma tofauti na wenzio. Great betrayer!
 
Nitake radhi. Sikubaliani na shutuma zako. Mimi ni mwanachama hai wa CCM na m-Tanzania halisi. Ungalinijua uzalendo wangu kwa nchi yangu, ungalikaa kimya. Na ni mapenzi yaliyotukuka kwa nchi yangu ndiyo yananifanya niongee haya. Rais na Mwenyekiti wa Chama amesema juzi tu kuwa hatuna ugomvi na Rwanda, sasa nyinyi ni nani kumpinga kiongozi mkuu wa nchi? Au ni viongozi gani hao nisiyokubaliana na wao? Betrayal is blindly supporting a murderous clique of armed criminals like the FDLR just out of hatred for an innocent ethnic group and the leader of a free country (Rwanda). Unafiki kwangu mwiko!
 
Kim K Kagame sio Nyerere. Wanyarwanda wanampenda kwa dhati kwa kazi nzuri anayoifanya kwao na nchi yao. Wanaenda kumsikiliza kwa hiari na upendo kwa kiongozi wao na si uoga.

akili iliyopofuka. hata wajerumani walimwona adolf kuwa mtu aliyetumwa na Mungu wakadhani bila yeye there is no german. think of chinese and mao. walidhani bila mao hakuna china.....na sasa hali ikoje china?

Ninachomsifu kagame ni kuwa amewapofusha wanyarwanda mnamwona yeye ni alfa na omega. Siku rwanda ikiwa nchi ya kidemokrasia ndipo mtaujua ujinga wenu.

Watu wanajaa kumsikiliza kwa kuogopa tu kuwa wasipokwenda kumsikiliza wataitwa genociders, enemy of the state, wahaini wanaotaka kumpindua kagame. Maana rwanda hata ukibishana na polisi hata mkiwa bar utaweza kuitwa intarhamwe,je usipokwenda kumsikiliza kagame, utaitwaje?.
 
Ah haa safi sana kwa hiyo umekubaliana na mimi kuwa suala la uongozi Rwanda ni kubwa kuliko tofauti za makundi (nasita kuita "makabila"). Haijalishi kama wewe ni Hutu, Tutsi, Twa or "mixed". Unajua katika utawala wowote lazima uwe na loyal followers. There are layers to every rule. Rulers tend to surround themselves with people they see as loyal and trusting. Hii ni nchi zote hata hapa kwetu Tanzania. I keep saying here that things in Rwanda are more complex than the superficial hutu vs tutsi vs twa divide. It's about stability and state security. Mbona wakina Nyamwasa, Rudasingwa,Karegeya and many other dissidents are Tutsi tena mtu kama Nyamwasa was a war hero na mtu wa karibu wa Rais Kagame. Suala hapa si kundi bali dhana nzima ya utawala wa ki-demokrasia na usalama wa nchi. Technically, Rwanda is still at war with FDLR. Until they put down arms, I see no change to this stance. I commend the good President Kagame for not negotiating with bloodthirsty, terrorist murderers in the FDLR. As for the RNC, I weep for all those who support this band of hardline traitors.
..."bloody thirsty, terrorist murderers and the like" those are names fitting not only FDRL but Paul Kagame and his closest allies....the problem with PaKa is that, he seems to be not confident (if you can undertake a thorough analysis of the ways he behaves)...just a small question, what is RNC or rather who are they? nahisi siwajui...
 
akili iliyopofuka. hata wajerumani walimwona adolf kuwa mtu aliyetumwa na Mungu wakadhani bila yeye there is no german. think of chinese and mao. walidhani bila mao hakuna china.....na sasa hali ikoje china?

Ninachomsifu kagame ni kuwa amewapofusha wanyarwanda mnamwona yeye ni alfa na omega. Siku rwanda ikiwa nchi ya kidemokrasia ndipo mtaujua ujinga wenu.

Watu wanajaa kumsikiliza kwa kuogopa tu kuwa wasipokwenda kumsikiliza wataitwa genociders, enemy of the state, wahaini wanaotaka kumpindua kagame. Maana rwanda hata ukibishana na polisi hata mkiwa bar utaweza kuitwa intarhamwe,je usipokwend akumsikiliza kagame, utaitwaje?.
....the NAIL rightly or rather precisely hit.....thank you Mkuu
 
..."bloody thirsty, terrorist murderers and the like" those are names fitting not only FDRL but Paul Kagame and his closest allies....the problem with PaKa is that, he seems to be not confident (if you can undertake a thorough analysis of the ways he behaves)...just a small question, what is RNC or rather who are they? nahisi siwajui...

Kama maneno yangekuwa yanaua Raisi wangu angekuwa ameshakufa zamaani! Nyie endeleeni tu mpaka mtakapochoka sisi tunasonga mbele. Subirini miaka kumi hivi, mtakuwa mnakimbilia huku kutuomba kazi.
 
akili iliyopofuka. hata wajerumani walimwona adolf kuwa mtu aliyetumwa na Mungu wakadhani bila yeye there is no german. think of chinese and mao. walidhani bila mao hakuna china.....na sasa hali ikoje china?

Ninachomsifu kagame ni kuwa amewapofusha wanyarwanda mnamwona yeye ni alfa na omega. Siku rwanda ikiwa nchi ya kidemokrasia ndipo mtaujua ujinga wenu.

Watu wanajaa kumsikiliza kwa kuogopa tu kuwa wasipokwenda kumsikiliza wataitwa genociders, enemy of the state, wahaini wanaotaka kumpindua kagame. Maana rwanda hata ukibishana na polisi hata mkiwa bar utaweza kuitwa intarhamwe,je usipokwend akumsikiliza kagame, utaitwaje?.

Wewe ndugu yangu unaongea kwa hisia tu. Wapi kuna mtu amelazimishwa kushiriki mikutano ya Kagame? Hawakulazimishwa kwibuka20 ndio iwe mikutano ya wananchi? La hasha. Na si kweli kuwa wanyarwanda hawajui nini vile serikali inafanya kwa wananchi. Umeenda Rwanda lakini au unaongea kwa ushabiki? Utawalazimisha watu milioni 11 kuja kwenye mikutano yako? Utawafunga watu wangapi kwa staili hiyo? Acheni kuwa wahanga wa propaganda nyepesi nyepesi. Ukweli utabaki kuwa watu wengi hufurika kwenye mikutano ya Rais Kagame kwa kuwa yule kiongozi ni makini sana. Akiongea anaongea nondo tu za kujenga taifa. Ni demokrasia ya kweli. Sasa hiyo demokrasia unayoisema wewe ni ipi sijui? Au una maana jamaa zenu wa FDLR waende kuchukua serikali kwa misingi ya makundi (hutu vs tutsi vs twa). Kwenu ninyi inaonekana hamtafurahi mpaka Hutu extremists washike madaraka tena.

Guess what hata hao wa-hutu siasa kali si wamoja. Hata huyo Habyarimana aliuawa na wa-hutu wenzi wake. Rwanda ina mambo mengi na si huu ubabaishaji wa juu juu dhidi ya rais anayetaka kuleta umoja wa kweli. Kwanza haya maendeleo yanawafaidisha zaidi walio wengi ambao kundi lao linajulikana. Pia ni marufuku kuongelea makundi nchini Rwanda. Watu wanajenga nchi kwa pamoja. Inapendeza kwa kweli.
 
Nitake radhi. Sikubaliani na shutuma zako. Mimi ni mwanachama hai wa CCM na m-Tanzania halisi. Ungalinijua uzalendo wangu kwa nchi yangu, ungalikaa kimya. Na ni mapenzi yaliyotukuka kwa nchi yangu ndiyo yananifanya niongee haya. Rais na Mwenyekiti wa Chama amesema juzi tu kuwa hatuna ugomvi na Rwanda, sasa nyinyi ni nani kumpinga kiongozi mkuu wa nchi? Au ni viongozi gani hao nisiyokubaliana na wao? Betrayal is blindly supporting a murderous clique of armed criminals like the FDLR just out of hatred for an innocent ethnic group and the leader of a free country (Rwanda). Unafiki kwangu mwiko!
....what is that "innocent ethnic group" you are talking about? leader of a free country? tukubaliane tu, kama wewe ni "mtanzania" kweli na mwanachama wa CCM, then wewe ni type ya akina ntukamazina, serukamba na wengine..ambao mmejiingiza kwenye Serikali ya JMT na Chama Tawala ili muwe mnampelekea PaKa habari za nchi yetu anazozitaka.. it has been a concern of many people here in JF of the tutsis who hold or have previously held important positions in this country that they are information conduit to the government of kigali....you may be one of them..
 
Wewe ndugu yangu unaongea kwa hisia tu. Wapi kuna mtu amelazimishwa kushiriki mikutano ya Kagame? Hawakulazimishwa kwibuka20 ndio iwe mikutano ya wananchi? La hasha. Na si kweli kuwa wanyarwanda hawajui nini vile serikali inafanya kwa wananchi. Umeenda Rwanda lakini au unaongea kwa ushabiki? Utawalazimisha watu milioni 11 kuja kwenye mikutano yako? Utawafunga watu wangapi kwa staili hiyo? Acheni kuwa wahanga wa propaganda nyepesi nyepesi. Ukweli utabaki kuwa watu wengi hufurika kwenye mikutano ya Rais Kagame kwa kuwa yule kiongozi ni makini sana. Akiongea anaongea nondo tu za kujenga taifa. Ni demokrasia ya kweli. Sasa hiyo demokrasia unayoisema wewe ni ipi sijui? Au una maana jamaa zenu wa FDLR waende kuchukua serikali kwa misingi ya makundi (hutu vs tutsi vs twa). Kwenu ninyi inaonekana hamtafurahi mpaka Hutu extremists washike madaraka tena.

Guess what hata hao wa-hutu siasa kali si wamoja. Hata huyo Habyarimana aliuawa na wa-hutu wenzi wake. Rwanda ina mambo mengi na si huu ubabaishaji wa juu juu dhidi ya rais anayetaka kuleta umoja wa kweli. Kwanza haya maendeleo yanawafaidisha zaidi walio wengi ambao kundi lao linajulikana. Pia ni marufuku kuongelea makundi nchini Rwanda. Watu wanajenga nchi kwa pamoja. Inapendeza kwa kweli.
Wewe mbona muongo sana? Habyarimana aliuliwa na RPA wakiongozwa au kwa maelekezo ya PaKa na Mu7!....hizo stories mnazo fabricate kuwa aliuliwa na wahutu ni za kwenu ili ku-justify malengo yenu. the truth will always prevail..
 
Nitake radhi. Sikubaliani na shutuma zako. Mimi ni mwanachama hai wa CCM na m-Tanzania halisi. Ungalinijua uzalendo wangu kwa nchi yangu, ungalikaa kimya. Na ni mapenzi yaliyotukuka kwa nchi yangu ndiyo yananifanya niongee haya. Rais na Mwenyekiti wa Chama amesema juzi tu kuwa hatuna ugomvi na Rwanda, sasa nyinyi ni nani kumpinga kiongozi mkuu wa nchi? Au ni viongozi gani hao nisiyokubaliana na wao? Betrayal is blindly supporting a murderous clique of armed criminals like the FDLR just out of hatred for an innocent ethnic group and the leader of a free country (Rwanda). Unafiki kwangu mwiko!

Umemkosoa rais wetu kuwa hakupaswa kumwambia kagame akae chini na kuongea na hao jamaa. Pia na wewe kwa maelezo mara nyingi unasisitiza kuwa wale ni wauaji na hawapaswi kujadiliana nao. Sasa unampinga mwenyekiti wako wa chama. Yeye kamshauri PAKA aongee nao. No room for betrayal people like you in CCM. Mwisho wa siku utaumbuka tu.
 
Wewe mbona muongo sana? Habyarimana aliuliwa na RPA wakiongozwa au kwa maelekezo ya PaKa na Mu7!....hizo stories mnazo fabricate kuwa aliuliwa na wahutu ni za kwenu ili ku-justify malengo yenu. the truth will always prevail..

Ndege ya Rais Habyarimana ilitunguliwa kutoka kambi ya FAR kwa mizinga iliyotolewa kwa FAR na France.
 
Umemkosoa rais wetu kuwa hakupaswa kumwambia kagame akae chini na kuongea na hao jamaa. Pia na wewe kwa maelezo mara nyingi unasisitiza kuwa wale ni wauaji na hawapaswi kujadiliana nao. Sasa unampinga mwenyekiti wako wa chama. Yeye kamshauri PAKA aongee nao. No room for betrayal people like you in CCM. Mwisho wa siku utaumbuka tu.

Nyie mbona hamtaki kukaa na wapinzani msikilize mawazo yao kuhusu hiyo katiba. Sasa leo kagame akikutana na raisi wenu unadhani ni vizuri akimuuliza kwa nini CCM isikae na hivyo vyama vya upinzani mkayamaliza. Halafu badala ya kumuita faragha, anasimama mbele ya kipaza sauti kwenye mkutano wa kimataifa na kubwabwaja maneno kama hayo! Wewe kama una uzoefu na masuala ya kidiplomasia utajua kuwa hiyo sio protocol kabisa. Hata wamarekani japokuwa wanajua kuwa wapalestina wana haki ya kudai ardhi yao kutoka kwa waizraeli lakini bado huwezi kusikia hata siku moja Obama akitamka hadharani hayo. Watu hapa wenye diplomatic experience wanajua ninachosema.
 
Wewe mbona muongo sana? Habyarimana aliuliwa na RPA wakiongozwa au kwa maelekezo ya PaKa na Mu7!....hizo stories mnazo fabricate kuwa aliuliwa na wahutu ni za kwenu ili ku-justify malengo yenu. the truth will always prevail..

Source please. Au ni hisia zako tu?
 
Wewe ndugu yangu unaongea kwa hisia tu. Wapi kuna mtu amelazimishwa kushiriki mikutano ya Kagame? Hawakulazimishwa kwibuka20 ndio iwe mikutano ya wananchi? La hasha. Na si kweli kuwa wanyarwanda hawajui nini vile serikali inafanya kwa wananchi. Umeenda Rwanda lakini au unaongea kwa ushabiki? Utawalazimisha watu milioni 11 kuja kwenye mikutano yako? Utawafunga watu wangapi kwa staili hiyo? Acheni kuwa wahanga wa propaganda nyepesi nyepesi. Ukweli utabaki kuwa watu wengi hufurika kwenye mikutano ya Rais Kagame kwa kuwa yule kiongozi ni makini sana. Akiongea anaongea nondo tu za kujenga taifa. Ni demokrasia ya kweli. Sasa hiyo demokrasia unayoisema wewe ni ipi sijui? Au una maana jamaa zenu wa FDLR waende kuchukua serikali kwa misingi ya makundi (hutu vs tutsi vs twa). Kwenu ninyi inaonekana hamtafurahi mpaka Hutu extremists washike madaraka tena.

Guess what hata hao wa-hutu siasa kali si wamoja. Hata huyo Habyarimana aliuawa na wa-hutu wenzi wake. Rwanda ina mambo mengi na si huu ubabaishaji wa juu juu dhidi ya rais anayetaka kuleta umoja wa kweli. Kwanza haya maendeleo yanawafaidisha zaidi walio wengi ambao kundi lao linajulikana. Pia ni marufuku kuongelea makundi nchini Rwanda. Watu wanajenga nchi kwa pamoja. Inapendeza kwa kweli.

Duh! haya mwana CCM. Speech zote hizo kumtetea rais jirani si ungekuwa unatumia kutetea sera za CCM ya Nyerere? te tet te te! we ni noma. unaposema jamaa zenu wa FDLR una maanisha nini? sisi watanzania? au wana CCM wenzako? ungekuwa China ungenyongwa hadharani.
 
...nilikuelewa vizuri sana ndio maana nimekuambia kuwa "source au chanzo cha hiyo habari ni PaKa (Paul Kagame) na Mu7 (Museven)...

Kweli! Utakuwa uko karibu nao sana. Eeeeh tuambia mamba gani mengine waliokuambia. Tupe habari mkubwa.
 
Kaburungu nimekuwa wa ajabu kwani nina mkia? Te he he. Sikia ndugu yangu, hakuna ushahidi wowote kuwa Rais Kagame ameamuru mpinzani yeyote auawe. Kama kuna ushahidi huo leta hapa. Tatizo lenu mnataka mtu mnafiki mnafiki aseme mnayotaka kusikia. Kagame hamumunyi maneno for he is a straight talker. Aidha mnataka waasi na wasaliti waachwe wakivuruga amani na utulivu nchini Rwanda na wachekewe tu. The price for treason the world over is DEATH.

amakuru nyayo yirwanda: LETTER FROM THE NORTH: LATEST NEWS AROUND VILLAGE URUGWIRO.
LETTER FROM THE NORTH: STATE SECRETS. | IKAZE IWACU
LETTER FROM THE NORTH: CRIMINALS WITHOUT SWAGGER. (PART 1) | IKAZE IWACU

pitia hapo may be ni propaganda
 
Another piece of baseless hearsay propaganda. Pres Kagame is a straight talker, he does not hide behind fancy rhetoric. Had he ordered to eliminate Kayumba or Karegeya, he would have said so openly. Besides, they're traitors bent on overthrowing a popular democratically elected government in Kigali. jMali mtaongea sana na kujaza headlines and front pages of genocidaire-sponsored news print mpaka mtachoka. Nimesoma This Day today nikasikitishwa sana na upuuzi ule. Gazeti kumuandika kwa uzushi mkuu wa nchi jirani bila hata kupata upande wa pili wa habari ni ukosefu wa weledi. Ndugu yangu waambie jamaa zako wa FDLR waache propaganda za kitoto.

"Pres Kagame is a straight talker, he does not hide behind fancy rhetoric".

But he has never talked straight about his role in the genocide, the assaination of Fred Rwigyema; the shooting down of the presidential plane; his role in the formation of M23 and the pillaging of DRC's natural resources.

I think you are misrepresenting the Paul Kagame we know! you are a poor spokesperson. go hang in the lake!
 
Back
Top Bottom