RWANDA'S HUNTED: Inside the plots to kill Rwanda’s dissidents

You said it very well Mkuu Fugwe.....huyu jamaa anajiita eti Mtanzania na pia mwana - CCM...inawezekana ni kama wale akina ntukamazina, serukamba na wengine wa aina hiyo....ambao inaonekana kama ni wapambe wa kigali. Hivi karibuni kuna gazeti la PataHabari liliandika kuwa "Kagame ameunda mtandao wake kwenye bunge la jamhuri huko Dodoma".. wapo watutsi wengi (wanajiita wahangaza, waha nk) wamejipenyeza hadi kwenye Chama Tawala (CCM) kwa kazi ya kutafuta habari na kumpelekea "bwana" wao PaKa huko kigali.....mwisho wao unakaribia. Hivi karibuni kulitokea habari kuwa, "Kuna wanawake wapelelezi wa kitutsi walikamatwa Dodoma".. Sasa huyu ndugu Commanche anavyojidai "Mtanzania" na mwana CCM, wala sioni ajabu....

Hana lolote huyo Commanche. Anachoongea hakina ushaidi. Mwingine akiongea anamuomba ushaidi. Hiyo ni uwezo mdogo wa kufikiri na kuleta ushabiki husiokuwa wa maana. Hata kama ni CCM member. Huyo ni bad element who needs to be kicked out.
 
Fugwe kuita wanadamu wenzi wako ni kukosa heshima. Hata kama hukubaliani na kundi fulani la watu si ustaarabu kuwadhihaki na kuwafananisha na wanyama. Mimi hao ndugu zako wa FDLR siwakubali kutokana na misimamo yao lakini kamwe siwezi kuwaita mbwa au nyoka au chatu ingawa wengi wao wanaishi mwituni. Kumbuka being a genocidaire is a state of mind irrespective of physical manifestation or worldly presence. Wapo hapa JF genocidaire ambao ama kwa makusudi au kutoelewa au ushabiki wa ki-swahili wanaamua kumtusi Rais Kagame kila leo. Hizo hit squads mnazoziongelea ziko wapi? Hivi kuna nchi isiyokuwa na Directorate of Military Intelligence (or its' equivalent)? Je, ni dhambi kwa nchi kuwa makini hasa hasa ukiangalia historia ya nchi hiyo? Je, kuna ubaya kwa uongozi halali kulinda mipaka yake from real threats? Anachokosea Kagame ni kipi hasa? Kila tatizo mnammsingizia Rais Kagame? DRC has been having problems even before Kagame was born lakini leo mko busy mnashutumu eti ndio chanzo cha instability in Eastern DRC.

I ask you, when was the DRC ever stable?? Tanzania tuna matatizo kibao ila siku hizi watu wako busy kumshupalia Kagame. Kagame this, Kagame that? Sisi waelewa tunajua this is just a smoke-screen on a larger scheme of things. Tunajua kuna elements zina maslahi na waasi wa FDLR. Wengine wanaojiita watumishi wa Mungu wamekubali wazi wazi kuwahifadhi viongozi wa FDLR. In my humble opinion, Pres Kagame has every right to defend his country from threats real or perceived (yes I've said it) because history is not on Tutsis' or moderate Hutus' side. It's better to pre-empt than wait to be wiped out. Dr Condi Rice once said if you wait for a smoking gun you will get a mushroom cloud. And he is doing this by nation-building, economic empowerment and strong defense. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa anahusika na mauaji ya aina yeyote. Hata kama kuna agents ndani ya utawala wa Kagame unaowashughulikia wasaliti na wanaotaka kuiangusha serikali, so what? I ask again, what country would brook dissidence? Ili mradi tu kuwafurahisha majirani au international community? Where were you when a million Tutsis and some Hutus were butchered senselessly in 94? Where was your holier-than-thou conscience to avert that genocide? Today you have the audacity to point fingers at Kagame from the confines and comfort of your FDLR, RNC - backing ivory towers. Yet you expect any sane man or woman to vouch for you, yeah right!

Umeandika maneno mengi na kiingereza cha kuvutia. But man, only minor point. AS our president advised your President. Why don't he sit together with the FDLR and clear out their differences? huwezi kusema unajenga nchi wakati kuna jamaa wapo msituni raia wako hutaki hata kukutana nao. That is unfair game.
 
Life is unfair dude, get used to it. Anyway, back to the lecture at hand; ule ushauri wa Rais Kikwete haukuwa sahihi hasa hasa timing na venue. Ningemshauri Rais Kikwete angeenda kukutana kwa faragha na Rais Kagame na kumpa ule ushauri. Lakini jamani ushauri sio shurti. Rais Kagame hana ulazima wa kukubali ushauri wa mtu yeyote. Pili, hao jamaa zenu wa FDLR walioko msituni ni masalia ya FAR na interahamwe ambao hawataki kurudi nyumbani kwa kuwa wanajua wamehusika moja kwa moja na mauaji. Wapo walio wakimbizi wengi tu waliorudi Rwanda na kuendelea kuishi kwa amani na mali zao kurudishwa. Je, unajua kuwa ni marufuku kwa mtu yeyote nchini Rwanda kuhodhi mali ya mtu aliyemkimbizi? FDLR wanaua wale wote wanaotaka kurudi Rwanda kwa hiari. Wanawatisha wakimbizi who want to go back home. Aidha, FDLR wanahusika na vitendo vingi sana vya uporaji, ubakaji, udhalilishaji na uuaji wa wanavijiji wa DRC. And then these murderers have the gall to give Pres Kagame conditions for "talks" psshhhhh! This is the largest bowl of scat south of the equator. C'est la vie!
 
Watanzania wenye asili ya Tutsi wako hundreds of thousands na wengi wamejaa Western TZ,wewe mtu chuki zako kwa watutsi zitakumaliza,mnakuja na propaganda zenu za kibwege driven by hate thinking watu watakaa kimya,hao wabunge wamefanya nini mpaka uwape hizo ridiculous accusations?you are just an i-diot blood hutu who happen to be in Tanzania now you want to import Tutsi hating culture iliyosababisha genocide,it is dangerous and very stupid idea..huna tofauti na mchawi wewe na wale wenzako kina jmali
...hasira za nini? nahisi dawa imekuingia sawa sawa.. jibu hoja acha matusi. WaTanzania wote wanawajua mlivyo; najua kuwa you are in western Tanzania, am from there too; I live with you and I know you inside - out. So I am just sympathize with your evil reactions depicting who really you are. MNA MIPANGO MIOVU SANA NA TAIFA LETU HILI, LAKINI MSIDHANI WATANZANIA NI WAJINGA. Give me the answer to this question if at all your brain is functioning: WHY DO YOU THINK YOU ARE HATED? TANZANIA KUNA WAGENI WENGI, KWA NINI HAO WASICHUKIWE ISIPOKUWA NYIE WATUTSI? Kwa taarif yako mimi sio mhutu ni MHANGAZA!...
 
Hana lolote huyo Commanche. Anachoongea hakina ushaidi. Mwingine akiongea anamuomba ushaidi. Hiyo ni uwezo mdogo wa kufikiri na kuleta ushabiki husiokuwa wa maana. Hata kama ni CCM member. Huyo ni bad element who needs to be kicked out.

Ouch! that's below the belt dude. I feel pity myself! he he he yeah right. Wapi ilani au katiba ya CCM inasema lazima uwe genocidaire. Kama una ubavu nifukuze basi. Two, siko hapa kufurahisha mtu and I don't really need your approval on my intellect. Lakini siwezi kukaa na kuwaangalia genocidaire and other divisionists mkileta propaganda za kipuuzi hapa jamvini based on hatred for Pres Kagame and Tutsi and Moderate Hutus. Tanzania tuna matatizo ya kutosha, tumuache Rais Kagame aongoze nchi yake kwa maslahi ya watu wake.
 
Life is unfair dude, get used to it. Anyway, back to the lecture at hand; ule ushauri wa Rais Kikwete haukuwa sahihi hasa hasa timing na venue. Ningemshauri Rais Kikwete angeenda kukutana kwa faragha na Rais Kagame na kumpa ule ushauri. Lakini jamani ushauri sio shurti. Rais Kagame hana ulazima wa kukubali ushauri wa mtu yeyote. Pili, hao jamaa zenu wa FDLR walioko msituni ni masalia ya FAR na interahamwe ambao hawataki kurudi nyumbani kwa kuwa wanajua wamehusika moja kwa moja na mauaji. Wapo walio wakimbizi wengi tu waliorudi Rwanda na kuendelea kuishi kwa amani na mali zao kurudishwa. Je, unajua kuwa ni marufuku kwa mtu yeyote nchini Rwanda kuhodhi mali ya mtu aliyemkimbizi? FDLR wanaua wale wote wanaotaka kurudi Rwanda kwa hiari. Wanawatisha wakimbizi who want to go back home. Aidha, FDLR wanahusika na vitendo vingi sana vya uporaji, ubakaji, udhalilishaji na uuaji wa wanavijiji wa DRC. And then these murderers have the gall to give Pres Kagame conditions for "talks" psshhhhh! This is the largest bowl of scat south of the equator. C'est la vie!

Kweli wewe ni mtanzania? au ni mkimbizi. Kwenye maelezo yako unajitofautisha na watanzania alafu unajiita mwana CCM.
Pia unaonekana unaijua serikali ya kagame as if wewe ni mshauri wake. Habari zote hizo hujatuonyesha sources zake, na wewe ndo wa kwanza kuwaambia watu watoe ushaidi. GO TO SLEEP.
 
You are a liar!...hakuna mtu anayekatazwa kurudi rwanda kutoka DRC. Wahutu wengi labda hawataki kurudi rwanda kwa sababu ya ubaguzi uliopo na aina ya uongozi uliopo. I frequently visit rwanda, ni jirani na kwetu, so there is no way you can lie to me...I know the two countries (rwanda and Burundi which both have the hutu - tutsi problem) very well; I know how they live in hatred mainly because of the tutsis behaviors..isingekuwa tabia zenu za chuki na dharau haya yote yasingekuwepo. Sasa nyie watutsi mnaoishi huku Tanzania mnataka kutuletea huo ushetani wenu. HAMTAPENYA, Ushetani wenu mkafanyie huko kwenu. Mlimuua Rais Melchior Ndadaye kinyama sana eti kwa sababu ni muhutu na nyie hamtaki kuongozwa na muhutu / mhutu.....so kwa huu ushetani wenu unadhani wahutu watakuwa tu kimya muwanyanyase ndani ya nchi zao? NO WAY..
 
Ouch! that's below the belt dude. I feel pity myself! he he he yeah right. Wapi ilani au katiba ya CCM inasema lazima uwe genocidaire. Kama una ubavu nifukuze basi. Two, siko hapa kufurahisha mtu and I don't really need your approval on my intellect. Lakini siwezi kukaa na kuwaangalia genocidaire and other divisionists mkileta propaganda za kipuuzi hapa jamvini based on hatred for Pres Kagame and Tutsi and Moderate Hutus. Tanzania tuna matatizo ya kutosha, tumuache Rais Kagame aongoze nchi yake kwa maslahi ya watu wake.

Wewe ni myamulenge nini? te te te te. Mfagilie mkuu. anaweza kukupa cheo ukawa waziri wa rwanda nchini tanzania......LOL
 
1. pamoja na kuwa wachache overall, lakini watutsi ndio mnaongoza kwa idadi katika majeshi ya Rwanda, Burundi, na Uganda(banyankole), vile vile wakati wa kabila senior-DRC congo! Unaweza kuelezea hili?

2.Huko DRC watutsi hamkuanza chokochoko juzi with M23, mlianza toka enzi za Mobutu, rejea historia yako. So the unstability you are talking about guess what, you also had to something to do with that even back then!

3. we all know what RPA was a tutsi terrorists group (not even banyarwanda) supported by the US. You only hate the french because mabwana zenu US walikuwa wanacompete nao in DR congo (geo-political war), mmeondoa influence ya wafaransa (Mobutu) na kupachika kabila snr (US). That is why immediately after taking over Rwanda mkaingia kumpindua Mobutu, ni lini wacongo waliwaomba muwasaidie? DRC resources was the plan all along, so don't bullshit us about RPA.
Baada ya hapo kila siku mkajifanya eti mnaingia congo kuwatafuta waasi, miaka yooote hiyo? na bado hadi sasa mnadai bado wako, mliwezaje kupindua nchi nzima mpaka kinshasa halafu mkashindwa kuwapata waasi ambao supposedly wako Kivu tu hapo?

jMali,
1. Strike one! Idadi ya watutsi jeshini sio suala kabisa. Hivi kukiwa na wakurya wengi TDPF ina maana wakurya wanataka kutawala? So I reject your deposit.

2. Strike two! Mobutu was a bogus ineffective dictator who ruined an otherwise potential economic giant in the heart of Africa. to blame Kagame or Tutsis for his downfall is uncalled for. jMali una fikra za ki-genocidaire sana. Nakufananisha na wale wanaopinga uwepo wa Holocaust. They spew the same warped reasoning almost verbatim to what you post here. Yaani ukitoa "jew" na kuweka "Tutsi" na kutoa "Europe" na kuweka "Africa" tunapata statements zako hapa. Aibu!

3. Strike three! The RPA has always been a liberation army to free and protect all Rwandese regardless of ethnicities. There are many Hutus within RPA's ranks. In fact even during the liberation push in the 90's each unit had tutsi and hutus. It's a national force. Mobutu was overthrown due to his incompetence. Wa-Congo walimchoka dhalimu yule. Two, Mobutu had overstayed his use to the West post-Cold War. He was a spent shell. You can't blame Kagame au Kabarebe for Mobutu's ouster. He was overthrown by his own people.

Mobutu was in cahoots with Habyarimana in persecuting Tutsis so there was no love lost between he and Rwanda. Three, FDLR wamejificha DRC na wanalindwa na serikali ya DRC. Rwanda haiwezi kuingia DRC bila ridhaa ya serikali ya DRC. Zimeshafanyika operation za pamoja kati ya FARDC na RDF kwa mafanikio kiasi. Kumbuka FARDC ni ragtag indisciplined army kwa hiyo kazi inakuwa ngumu. America with all its sophisticated weaponry bado wanapigana na wavaa mataulo-kichwani Afghanistan ingawa wana bases ndani ya Afghanistan, cha kukushangaza kuhusu FDLR ni nini? Siku yao inakuja very soon, utaona tu (God Willing).So your argument holds no water.
 
Wewe ni myamulenge nini? te te te te. Mfagilie mkuu. anaweza kukupa cheo ukawa waziri wa rwanda nchini tanzania......LOL

Ha ha ha hapana mimi ni m-Tanzania. Sihitaji cheo chochote au kitu kingine chochote kutoka kwa Rais Kagame au mtu yeyote. Hapa naongea kama binadamu aaminiye katika ukweli.
 
Mkuu usijichoshe. Hawa authors 1. Geoffrey York na Judi Rever ni baadhi ya waandishi wa habari ambao wanajulikana kwa articles zao ambazo ni biased. Wewe wa google tu utaona articles zao zote ni about portraying our President and Country in a negative way. So, just read it with a pinch of salt.
Nyie jidanganyeni tu! Wachache kutawala wengi mwisho wake kuuana kwa mapanga. Ilitokea zanzibar 1964 na rwanda baada ya wengi kuona wachache wanataka kupora utawala. Hadi sasa kagame ameweza kuweka utawala wa wachache kubagua wengi akidai kuondoa utawala wa wengi kubagua wachache.
 
You are a liar!...hakuna mtu anayekatazwa kurudi rwanda kutoka DRC. Wahutu wengi labda hawataki kurudi rwanda kwa sababu ya ubaguzi uliopo na aina ya uongozi uliopo. I frequently visit rwanda, ni jirani na kwetu, so there is no way you can lie to me...I know the two countries (rwanda and Burundi which both have the hutu - tutsi problem) very well; I know how they live in hatred mainly because of the tutsis behaviors..isingekuwa tabia zenu za chuki na dharau haya yote yasingekuwepo. Sasa nyie watutsi mnaoishi huku Tanzania mnataka kutuletea huo ushetani wenu. HAMTAPENYA, Ushetani wenu mkafanyie huko kwenu. Mlimuua Rais Melchior Ndadaye kinyama sana eti kwa sababu ni muhutu na nyie hamtaki kuongozwa na muhutu / mhutu.....so kwa huu ushetani wenu unadhani wahutu watakuwa tu kimya muwanyanyase ndani ya nchi zao? NO WAY..

Punguza munkari mkuu, haya mambo hayataki msuli. Kama kweli umeenda Rwanda (Burundi is a bit different) ungejua kuwa Rais Kagame amefanya kazi kubwa sana kuwaunganisha watu. In fact you can't even ask someone what his or her tribe is, unafungwa. Ni kweli bado kuna watu wanahodhi chuki dhidi ya wenzi wao. Hili lipo siwezi kubisha. Lakini kwa kiasi kikubwa wanyarwanda ni wamoja kutokana na hatua madhubuti za Rais Kagame kuleta umoja katika nyanja zote za uongozi, utendaji, biashara na jamii kwa ujumla. Najua kuna baadhi ya watu mtahoji kwa nini inner circle yake is supposedly exclusively tutsi? Hili halina ushahidi ni propaganda tu. Ukweli ni kuwa Rais Kagame ana washauri wa aina mbali mbali Hutus, Tutsis and even foreigners. Huo ushetani unaouongelea ni upi? Mbona unaleta chuki za ki-Bagosora hapa? hivi bado kinawauma kupoteza madaraka mpaka leo? Rudini kwenu mkaijenga Rwanda.
 
Kweli wewe ni mtanzania? au ni mkimbizi. Kwenye maelezo yako unajitofautisha na watanzania alafu unajiita mwana CCM.
Pia unaonekana unaijua serikali ya kagame as if wewe ni mshauri wake. Habari zote hizo hujatuonyesha sources zake, na wewe ndo wa kwanza kuwaambia watu watoe ushaidi. GO TO SLEEP.

Wapi najitofautisha na Wa-Tanzania, onyesha mstari mmoja tu ambapo nimeukana u-Tanzania wangu. Msinitenge!
 
Punguza munkari mkuu, haya mambo hayataki msuli. Kama kweli umeenda Rwanda (Burundi is a bit different) ungejua kuwa Rais Kagame amefanya kazi kubwa sana kuwaunganisha watu. In fact you can't even ask someone what his or her tribe is, unafungwa. Ni kweli bado kuna watu wanahodhi chuki dhidi ya wenzi wao. Hili lipo siwezi kubisha. Lakini kwa kiasi kikubwa wanyarwanda ni wamoja kutokana na hatua madhubuti za Rais Kagame kuleta umoja katika nyanja zote za uongozi, utendaji, biashara na jamii kwa ujumla. Najua kuna baadhi ya watu mtahoji kwa nini inner circle yake is supposedly exclusively tutsi? Hili halina ushahidi ni propaganda tu. Ukweli ni kuwa Rais Kagame ana washauri wa aina mbali mbali Hutus, Tutsis and even foreigners. Huo ushetani unaouongelea ni upi? Mbona unaleta chuki za ki-Bagosora hapa? hivi bado kinawauma kupoteza madaraka mpaka leo? Rudini kwenu mkaijenga Rwanda.
Kama ulisoma comment yangu vizuri utajua naongelea ushetani gani!..can't go back there kwa sababu huwa mna tabia ya kukwepa points na kuongelea mnayoyataka nyie. MIMI NI MWENYEJI WA NGARA, I KNOW WHAT AM TALKING. Hakuna ukweli kama inner circle ya PaKa ina wahutu; hata kama wapo watakuwa ni "rubber stamps" tu; wamewekwa tu kuhadaa ulimwengu kuwa anashirikisha watu wote. Hayo ya kusema "rwanda ni wamoja" sio kweli hata kidogo; hiyo ni lugha tu inayotumiwa kuwahadaa watu; kuna ubaguzi wa kutisha rwanda even among the tutsis themselves. Ukawadanganye wasiojua how the situation is in rwanda BUT NOT ME!....nimepoteza madaraka gani? Mimi sio mnyarwanda na I have nothing to do with bagosora....
 
Ha ha ha hapana mimi ni m-Tanzania. Sihitaji cheo chochote au kitu kingine chochote kutoka kwa Rais Kagame au mtu yeyote. Hapa naongea kama binadamu aaminiye katika ukweli.
...then ukweli unaojidai kuuamini huujui otherwise unajitoa tu ufahamu.. Hivi do you think WaTanzania ni wapumbavu kiasi gani??? tutaendelea tu kuwaumbua... na msidhani Serikali yetu is unaware of your schemes; jidanganyeni tu, at the end of the day mtatuelewa.
 
Hana lolote huyo Commanche. Anachoongea hakina ushaidi. Mwingine akiongea anamuomba ushaidi. Hiyo ni uwezo mdogo wa kufikiri na kuleta ushabiki husiokuwa wa maana. Hata kama ni CCM member. Huyo ni bad element who needs to be kicked out.
Members wa Chama ambao wana evil intentions watashughulikiwa tu; kama Mkuu ulisoma gazeti moja la PataHabari lilitoka tarehe 24 ama 26 Aprili 2014 utaona headline inayosema "Kagame ametengeneza mtandao wake kwenye Bunge la Jamhuri"..kwa hiyo sasa hivi wanaanza kugundulika. Tanzania tumekuwa naive for a long time kuwaamini hawa watutsi lakini now they are showing their true colors...they will come out themselves, one after the other....
 
Ha ha ha hapana mimi ni m-Tanzania. Sihitaji cheo chochote au kitu kingine chochote kutoka kwa Rais Kagame au mtu yeyote. Hapa naongea kama binadamu aaminiye katika ukweli.
Sometimes it takes a while to understand things lakini the more you listen and reason based on presented arguments things become more clearer.

Kagame is no saint either you people like it or not it is a fact that Rwanda and Uganda are involved in Goma conflict something which i can not condone. On the other hand zikija siasa za ndani ya Rwanda one can understand why PK is entitled to be defensive on his politics and governance.

Sijui kama sababu ni za ufinyu wangu wa uelewa wa mambo lakini kwa sasa before we start blaming PK we need to make sure first FDLR seizes to exist. So long as hawa jamaa watakuwepo the tutsi community will never be at ease in Rwanda. One major reason being FDLR is not formed as a group representing the interest of all Rwandese but Hutu majority.

Kwa maana hiyo this group will always pose that danger of repetitions of 1954 or the Kimbari killings in the future should they return with the same ideologue (not certain but the risk is real) with those facts kagame to me becomes the devil you know and FDLR you dont. Kwa hali ya sasa ya Rwanda Kagame and the tutsi community have valid fear with the existence of FDLR.

Tatizo la EAC community kwa sasa ukitoa Tanzania all our neighbors have their own internal power struggles za makundi makundi be it some more severe than others. Lakini ilitakiwa the community kuhakikisha FDLR is out completely and then Kagame is pressured to make changes or step down maana the country is in peace for now. Hila kwa uwepo wa FDLR i can understand his fears due to their political stances and their ambitions hawa hawatajenge watabomoa upya na kurudia same thing. And who is to stop them wakati kila mtu ana matatizo yake huko makwao, Tanzania has to play a bigger role in the community by advising our neighbors to imitate our tolerance politics and stop supporting/encouraging groups such as FDLR because of their ideology.

We need to move forward mambo ya vita vita kila siku siasa za ukabila and undemocratic election yanapoteza muda ndani ya jumuiya wa kuja na mawazo ya maendeleo na uchumi wetu wa pamoja as neighbors.
 
Umeongea point sana Happy Feet. Kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe.
 
...then ukweli unaojidai kuuamini huujui otherwise unajitoa tu ufahamu.. Hivi do you think WaTanzania ni wapumbavu kiasi gani??? tutaendelea tu kuwaumbua... na msidhani Serikali yetu is unaware of your schemes; jidanganyeni tu, at the end of the day mtatuelewa.

Wapi imeandikwa kuwa ukiwa m-Tanzania uwe genocidaire? mimi narudia tena for the umpteenth time ni m-Tanzania asilimia 100. Hata chamani tunasisitizwa kuwa na mawazo huru na vikao ndio muamuzi mkuu. Sasa nini maana ya vikao kama mnataka kufikiria kama kondoo?
 
Kama ulisoma comment yangu vizuri utajua naongelea ushetani gani!..can't go back there kwa sababu huwa mna tabia ya kukwepa points na kuongelea mnayoyataka nyie. MIMI NI MWENYEJI WA NGARA, I KNOW WHAT AM TALKING. Hakuna ukweli kama inner circle ya PaKa ina wahutu; hata kama wapo watakuwa ni "rubber stamps" tu; wamewekwa tu kuhadaa ulimwengu kuwa anashirikisha watu wote. Hayo ya kusema "rwanda ni wamoja" sio kweli hata kidogo; hiyo ni lugha tu inayotumiwa kuwahadaa watu; kuna ubaguzi wa kutisha rwanda even among the tutsis themselves. Ukawadanganye wasiojua how the situation is in rwanda BUT NOT ME!....nimepoteza madaraka gani? Mimi sio mnyarwanda na I have nothing to do with bagosora....

Ah haa safi sana kwa hiyo umekubaliana na mimi kuwa suala la uongozi Rwanda ni kubwa kuliko tofauti za makundi (nasita kuita "makabila"). Haijalishi kama wewe ni Hutu, Tutsi, Twa or "mixed". Unajua katika utawala wowote lazima uwe na loyal followers. There are layers to every rule. Rulers tend to surround themselves with people they see as loyal and trusting. Hii ni nchi zote hata hapa kwetu Tanzania. I keep saying here that things in Rwanda are more complex than the superficial hutu vs tutsi vs twa divide. It's about stability and state security. Mbona wakina Nyamwasa, Rudasingwa,Karegeya and many other dissidents are Tutsi tena mtu kama Nyamwasa was a war hero na mtu wa karibu wa Rais Kagame. Suala hapa si kundi bali dhana nzima ya utawala wa ki-demokrasia na usalama wa nchi. Technically, Rwanda is still at war with FDLR. Until they put down arms, I see no change to this stance. I commend the good President Kagame for not negotiating with bloodthirsty, terrorist murderers in the FDLR. As for the RNC, I weep for all those who support this band of hardline traitors.
 
Back
Top Bottom