jk(TANZANIA) ina support FDLR !!!! ? una ushahidi juu ya hili kaka?Hebu tiririka nao basi tuuone na kupima.
Una habari kuwa Tanzania allegedly offered to offer the late Seth Sendashonga and his 600+ army Hutu mutineers a rear base in the mid-90's?

Kim K naomba nirudie kwa mara nyingine tena; mimi ni m-Tanzania. Back to the lecture at hand; kulikuwa na inner circle ya Habyarimana ikiongozwa na mke wake akishirikiana na Col Bagosora na wa-hutu wengine wenye mrengo mkali ambao hawakupendezwa na makubaliano ya Arusha. Makubaliano haya yangepelekea serikali ya mpito yenye kuhusisha RPF na makundi mengine ya wanyanyaswaji nchini Rwanda. Hili genge la kina Bagosora likaamua kwa makusudi kutungua ndege ile wakijua dhahiri kuwa kwa kufanya hivyo kutakuwa na machafuko. Watu wengi wasichokijua ni kuwa kampeni ya chuki haikuanza Aprili 1994. Ilianza kitambo kwa kutumia maofisa wa serikali, vyombo vya redio, magazeti (Kangura) na njia nyingine kuhamasisha watu waue watutsi na wahutu moderates.
Yakaagizwa mapanga kutoka Uchina kwa ajili ya kazi hiyo. The downing of Habyarimana's plane was just the culmination of years of hateful indoctrination and preparation for the genocide against the Tutsi. FAR and the regime in power saw the RPF's inclusion in government as a threat to their power aggrandizing and saw Habyarimana as a traitor to the extremist Hutu cause. The RPF had no reason to kill Habyarimana because the RPA was already winning the war; I mean as the disciplined forces were venturing southward towards Kigali victory was certain. In towns and villages they met little resistance except for a few place where the presidential guard put up a fight, but even they eventually capitulated under the prowess of RPA liberation fighters. Kwa ufupi Habyarimana knew he had no choice but to negotiate for he was losing badly on the war front.
Victoire Ingabire yupo gerezani akitumikia kifungo kwa makosa mbali mbali likiwemo la kufanya mzaha na mauaji ya kimbari na kushirikiana na waasi wa FDLR ambao ni masalia ya FAR na interahamwe. Yule mama ni mkorofi sana, ameishi magharibi kwa miaka 17 (not a problem), kwanza wala hakuwapo wakati wa genocide against the tutsi. Akaomba passport akapewa kama raia. Siku anarudi tu Rwanda, katoka airport na kwenda moja kwa moja kwenye kumbukumbu ya mauaji ya kimbari na kutoa risala inayobeza idadi ya watu waliouawa (oh hutus this tutsi that blah blah blah). Kana kwamba haitoshi akaendeleza choko choko zake pamoja na kuonywa mara kadhaa. Sasa mtu kama huyu hawezi kuruhusiwa kugombea urais kwa kuwa ni mchochezi na ni mwanamakundi wa mrengo mkali ambaye siasa zake zimejikita kwenye kuwagawa wanyarwanda kwa mistari ya makundi na visasi. She is a revisionist, divisionist, genocide-denier. Mtu kama yule hafai!
Former President Pasteur Bizimungu is in Kigali just chilling. He was convicted on corruption charges, incitement and abuse of office but was pardoned unconditionally by President Kagame.
Rais Kagame si muoga rather the man is a realist. Any disciplinarian takes pre-emptive measures and sticks to his word. Si mbabaishaji kama wanasiasa wengine. Natumai nimekuelewesha ndugu yangu.
Another piece of baseless hearsay propaganda. Pres Kagame is a straight talker, he does not hide behind fancy rhetoric. Had he ordered to eliminate Kayumba or Karegeya, he would have said so openly. Besides, they're traitors bent on overthrowing a popular democratically elected government in Kigali. jMali mtaongea sana na kujaza headlines and front pages of genocidaire-sponsored news print mpaka mtachoka. Nimesoma This Day today nikasikitishwa sana na upuuzi ule. Gazeti kumuandika kwa uzushi mkuu wa nchi jirani bila hata kupata upande wa pili wa habari ni ukosefu wa weledi. Ndugu yangu waambie jamaa zako wa FDLR waache propaganda za kitoto.
Kim K naomba nirudie kwa mara nyingine tena; mimi ni m-Tanzania. Back to the lecture at hand; kulikuwa na inner circle ya Habyarimana ikiongozwa na mke wake akishirikiana na Col Bagosora na wa-hutu wengine wenye mrengo mkali ambao hawakupendezwa na makubaliano ya Arusha. Makubaliano haya yangepelekea serikali ya mpito yenye kuhusisha RPF na makundi mengine ya wanyanyaswaji nchini Rwanda. Hili genge la kina Bagosora likaamua kwa makusudi kutungua ndege ile wakijua dhahiri kuwa kwa kufanya hivyo kutakuwa na machafuko. Watu wengi wasichokijua ni kuwa kampeni ya chuki haikuanza Aprili 1994. Ilianza kitambo kwa kutumia maofisa wa serikali, vyombo vya redio, magazeti (Kangura) na njia nyingine kuhamasisha watu waue watutsi na wahutu moderates.
Yakaagizwa mapanga kutoka Uchina kwa ajili ya kazi hiyo. The downing of Habyarimana's plane was just the culmination of years of hateful indoctrination and preparation for the genocide against the Tutsi. FAR and the regime in power saw the RPF's inclusion in government as a threat to their power aggrandizing and saw Habyarimana as a traitor to the extremist Hutu cause. The RPF had no reason to kill Habyarimana because the RPA was already winning the war; I mean as the disciplined forces were venturing southward towards Kigali victory was certain. In towns and villages they met little resistance except for a few place where the presidential guard put up a fight, but even they eventually capitulated under the prowess of RPA liberation fighters. Kwa ufupi Habyarimana knew he had no choice but to negotiate for he was losing badly on the war front.
Victoire Ingabire yupo gerezani akitumikia kifungo kwa makosa mbali mbali likiwemo la kufanya mzaha na mauaji ya kimbari na kushirikiana na waasi wa FDLR ambao ni masalia ya FAR na interahamwe. Yule mama ni mkorofi sana, ameishi magharibi kwa miaka 17 (not a problem), kwanza wala hakuwapo wakati wa genocide against the tutsi. Akaomba passport akapewa kama raia. Siku anarudi tu Rwanda, katoka airport na kwenda moja kwa moja kwenye kumbukumbu ya mauaji ya kimbari na kutoa risala inayobeza idadi ya watu waliouawa (oh hutus this tutsi that blah blah blah). Kana kwamba haitoshi akaendeleza choko choko zake pamoja na kuonywa mara kadhaa. Sasa mtu kama huyu hawezi kuruhusiwa kugombea urais kwa kuwa ni mchochezi na ni mwanamakundi wa mrengo mkali ambaye siasa zake zimejikita kwenye kuwagawa wanyarwanda kwa mistari ya makundi na visasi. She is a revisionist, divisionist, genocide-denier. Mtu kama yule hafai!
Former President Pasteur Bizimungu is in Kigali just chilling. He was convicted on corruption charges, incitement and abuse of office but was pardoned unconditionally by President Kagame.
Rais Kagame si muoga rather the man is a realist. Any disciplinarian takes pre-emptive measures and sticks to his word. Si mbabaishaji kama wanasiasa wengine. Natumai nimekuelewesha ndugu yangu.
Kid. Stop being stupid! Kagame would never say this openly for it will go against him. However, it is true that he is the one arranging these malicious genocides to kill whoever he considers his enemy. Believe me, this fool will die in sorrow and you would be one of the witnesses. His day is shortcoming.
Wewe ni mnyamulenge. Unajitetea sana ili ukubalike kama mtanzania. Te te te te......... Tabia zako na maongezi yako hayafanani na watoto wa nyerere kabisa. Mweneji wa mkoa gani? mi mwenyeji wasingida
1. So kama inner circle (akazu) iliongozwa na mke wa habyarimana, na ndio hao unadai walitungua ndege, are you saying mke wa habyarimana alichukia watutsi kiasi cha kumtungua mumewe? Hivi hii inaingia akilini kweli?
The real story behind tulishaijadili hapa:https://www.jamiiforums.com/interna...and-will-continue-to-kill-if-not-stopped.html
2. Speech ya ingabire unayodai ina uchochezi ni hii hapa chini kila mtanzania anaweza kujionea mwenyewe: Which part of Victoire Ingabire's speech is evidence of divisionism? « Analysis « The Proxy Lake
3. Kuhusu genocide numbers, kila siku mnashindwa kuthibitisha kivipi watutsi 800-1mil waliuawa. Unasema eti census iliyofanya na UN kwa ufadhili wa US na Canada ilikuwa flawed, okay, mbona haikuwahi kuwa disputed then mpaka pale mnapotaka kufanya genocide iwe ya watutsi? for 3 years mbona RPA hawakusema chochote (they were also a political party no?). These are the facts:
Cc: JustDoItNow rushasha KIM KARDASH irankunda
- census of 1991 gives total number of Tutsis at 596,387 which is 8.4% of the entire population of Rwanda
- survivor group "Ibuka" counts 300,000 survivors. This number is agreed by the kagame's gov.
- Lakini la muhimu kabisa ni watutsi wenyewe waliofiwa. Ibuka hao hao walitafuta nyumba hadi nyumba watutsi wangapi wamepotea wakapata less than 500,000 verified genocide victims, hao marehemu wengine 600,000 to 1mil unadhani ni nani? Halafu hapo hapo wahutu wamekatazwa kusema kuwa na wao walichinjwa hivyo ingabire kuhoji "when will our dead be mourned" anawekwa jela miaka 8! wakati simple logic inaonyesha kuwa majority ya victims wa 94 ni wahutu! Hilo hata ufanyeje halibadilishiki, it doesn't matter how many times you prepare those festivities year after year, the number of Hutu "remembering" will always be greater than the number of tutsis.
- Lakini ili tumalize mgogoro, kwa nini wewe hauna methodology yoyote ile inayothibitisha kuwa watutsi ndio waliokufa, hata alternative census figures pia huna, why?
Who is not a straight talker? The late Mobutu or Hybyarimana?Another piece of baseless hearsay propaganda. Pres Kagame is a straight talker, he does not hide behind fancy rhetoric. Had he ordered to eliminate Kayumba or Karegeya, he would have said so openly. Besides, they're traitors bent on overthrowing a popular democratically elected government in Kigali. jMali mtaongea sana na kujaza headlines and front pages of genocidaire-sponsored news print mpaka mtachoka. Nimesoma This Day today nikasikitishwa sana na upuuzi ule. Gazeti kumuandika kwa uzushi mkuu wa nchi jirani bila hata kupata upande wa pili wa habari ni ukosefu wa weledi. Ndugu yangu waambie jamaa zako wa FDLR waache propaganda za kitoto.
Hawana maana hao akina mukamasimba. Tz tukiamua kuwavuruga unafikiri hapo Rwanda kuna nchi? Kagame ni kama Mti ulioota kwenye udongo mdogo ulio juu ya mwamba. upepo ukija unaung'oa kwa dakika
Kid. Stop being stupid! Kagame would never say this openly for it will go against him. However, it is true that he is the one arranging these malicious genocides to kill whoever he considers his enemy. Believe me, this fool will die in sorrow and you would be one of the witnesses. His day is shortcoming.
1. So kama inner circle (akazu) iliongozwa na mke wa habyarimana, na ndio hao unadai walitungua ndege, are you saying mke wa habyarimana alichukia watutsi kiasi cha kumtungua mumewe? Hivi hii inaingia akilini kweli?
The real story behind tulishaijadili hapa:https://www.jamiiforums.com/interna...and-will-continue-to-kill-if-not-stopped.html
2. Speech ya ingabire unayodai ina uchochezi ni hii hapa chini kila mtanzania anaweza kujionea mwenyewe: Which part of Victoire Ingabire's speech is evidence of divisionism? « Analysis « The Proxy Lake
3. Kuhusu genocide numbers, kila siku mnashindwa kuthibitisha kivipi watutsi 800-1mil waliuawa. Unasema eti census iliyofanya na UN kwa ufadhili wa US na Canada ilikuwa flawed, okay, mbona haikuwahi kuwa disputed then mpaka pale mnapotaka kufanya genocide iwe ya watutsi? for 3 years mbona RPA hawakusema chochote (they were also a political party no?). These are the facts:
Cc: JustDoItNow rushasha KIM KARDASH irankunda
- census of 1991 gives total number of Tutsis at 596,387 which is 8.4% of the entire population of Rwanda
- survivor group "Ibuka" counts 300,000 survivors. This number is agreed by the kagame's gov.
- Lakini la muhimu kabisa ni watutsi wenyewe waliofiwa. Ibuka hao hao walitafuta nyumba hadi nyumba watutsi wangapi wamepotea wakapata less than 500,000 verified genocide victims, hao marehemu wengine 600,000 to 1mil unadhani ni nani? Halafu hapo hapo wahutu wamekatazwa kusema kuwa na wao walichinjwa hivyo ingabire kuhoji "when will our dead be mourned" anawekwa jela miaka 8! wakati simple logic inaonyesha kuwa majority ya victims wa 94 ni wahutu! Hilo hata ufanyeje halibadilishiki, it doesn't matter how many times you prepare those festivities year after year, the number of Hutu "remembering" will always be greater than the number of tutsis.
- Lakini ili tumalize mgogoro, kwa nini wewe hauna methodology yoyote ile inayothibitisha kuwa watutsi ndio waliokufa, hata alternative census figures pia huna, why?
Nyerere was a big time supporter of Kagame/RPF,he was opposite of you unae support hao genociders,anyway hata Nyerere mlikuwa mnamwita mtutsi so hakuna cha ajabu ulichoandika
Kim K naomba nirudie kwa mara nyingine tena; mimi ni m-Tanzania. Back to the lecture at hand; kulikuwa na inner circle ya Habyarimana ikiongozwa na mke wake akishirikiana na Col Bagosora na wa-hutu wengine wenye mrengo mkali ambao hawakupendezwa na makubaliano ya Arusha. Makubaliano haya yangepelekea serikali ya mpito yenye kuhusisha RPF na makundi mengine ya wanyanyaswaji nchini Rwanda. Hili genge la kina Bagosora likaamua kwa makusudi kutungua ndege ile wakijua dhahiri kuwa kwa kufanya hivyo kutakuwa na machafuko. Watu wengi wasichokijua ni kuwa kampeni ya chuki haikuanza Aprili 1994. Ilianza kitambo kwa kutumia maofisa wa serikali, vyombo vya redio, magazeti (Kangura) na njia nyingine kuhamasisha watu waue watutsi na wahutu moderates.
Yakaagizwa mapanga kutoka Uchina kwa ajili ya kazi hiyo. The downing of Habyarimana's plane was just the culmination of years of hateful indoctrination and preparation for the genocide against the Tutsi. FAR and the regime in power saw the RPF's inclusion in government as a threat to their power aggrandizing and saw Habyarimana as a traitor to the extremist Hutu cause. The RPF had no reason to kill Habyarimana because the RPA was already winning the war; I mean as the disciplined forces were venturing southward towards Kigali victory was certain. In towns and villages they met little resistance except for a few place where the presidential guard put up a fight, but even they eventually capitulated under the prowess of RPA liberation fighters. Kwa ufupi Habyarimana knew he had no choice but to negotiate for he was losing badly on the war front.
Victoire Ingabire yupo gerezani akitumikia kifungo kwa makosa mbali mbali likiwemo la kufanya mzaha na mauaji ya kimbari na kushirikiana na waasi wa FDLR ambao ni masalia ya FAR na interahamwe. Yule mama ni mkorofi sana, ameishi magharibi kwa miaka 17 (not a problem), kwanza wala hakuwapo wakati wa genocide against the tutsi. Akaomba passport akapewa kama raia. Siku anarudi tu Rwanda, katoka airport na kwenda moja kwa moja kwenye kumbukumbu ya mauaji ya kimbari na kutoa risala inayobeza idadi ya watu waliouawa (oh hutus this tutsi that blah blah blah). Kana kwamba haitoshi akaendeleza choko choko zake pamoja na kuonywa mara kadhaa. Sasa mtu kama huyu hawezi kuruhusiwa kugombea urais kwa kuwa ni mchochezi na ni mwanamakundi wa mrengo mkali ambaye siasa zake zimejikita kwenye kuwagawa wanyarwanda kwa mistari ya makundi na visasi. She is a revisionist, divisionist, genocide-denier. Mtu kama yule hafai!
Former President Pasteur Bizimungu is in Kigali just chilling. He was convicted on corruption charges, incitement and abuse of office but was pardoned unconditionally by President Kagame.
Rais Kagame si muoga rather the man is a realist. Any disciplinarian takes pre-emptive measures and sticks to his word. Si mbabaishaji kama wanasiasa wengine. Natumai nimekuelewesha ndugu yangu.
1. So kama inner circle (akazu) iliongozwa na mke wa habyarimana, na ndio hao unadai walitungua ndege, are you saying mke wa habyarimana alichukia watutsi kiasi cha kumtungua mumewe? Hivi hii inaingia akilini kweli?
The real story behind tulishaijadili hapa:https://www.jamiiforums.com/interna...and-will-continue-to-kill-if-not-stopped.html
2. Speech ya ingabire unayodai ina uchochezi ni hii hapa chini kila mtanzania anaweza kujionea mwenyewe: Which part of Victoire Ingabire's speech is evidence of divisionism? « Analysis « The Proxy Lake
3. Kuhusu genocide numbers, kila siku mnashindwa kuthibitisha kivipi watutsi 800-1mil waliuawa. Unasema eti census iliyofanya na UN kwa ufadhili wa US na Canada ilikuwa flawed, okay, mbona haikuwahi kuwa disputed then mpaka pale mnapotaka kufanya genocide iwe ya watutsi? for 3 years mbona RPA hawakusema chochote (they were also a political party no?). These are the facts:
Cc: JustDoItNow rushasha KIM KARDASH irankunda
- census of 1991 gives total number of Tutsis at 596,387 which is 8.4% of the entire population of Rwanda
- survivor group "Ibuka" counts 300,000 survivors. This number is agreed by the kagame's gov.
- Lakini la muhimu kabisa ni watutsi wenyewe waliofiwa. Ibuka hao hao walitafuta nyumba hadi nyumba watutsi wangapi wamepotea wakapata less than 500,000 verified genocide victims, hao marehemu wengine 600,000 to 1mil unadhani ni nani? Halafu hapo hapo wahutu wamekatazwa kusema kuwa na wao walichinjwa hivyo ingabire kuhoji "when will our dead be mourned" anawekwa jela miaka 8! wakati simple logic inaonyesha kuwa majority ya victims wa 94 ni wahutu! Hilo hata ufanyeje halibadilishiki, it doesn't matter how many times you prepare those festivities year after year, the number of Hutu "remembering" will always be greater than the number of tutsis.
- Lakini ili tumalize mgogoro, kwa nini wewe hauna methodology yoyote ile inayothibitisha kuwa watutsi ndio waliokufa, hata alternative census figures pia huna, why?
Hivi kuna njia yeyote ya kuwafanya vijana wa kinyarwanda wale wa kule rwanda kwenyewe acha hawa waswahili wa Ngara,Geita,kibondo,kahama na sinza wayasome na kuelewa the other side of the story?maana dizaini kama wamekua brainwashed kimtindo!kuna haja ya kutafuta namna ya kuwasaidia maana uhuru wa kupata habari rwanda naskia nalo ni tatizo kidogo,kuna magazeti machache tu naskia yanayomilikiwa ama kudhibitiwa na serikali,waandishi wa aina ya kubenea wakijitokeza baada ya siku mbili utaskia amegongwa na piki piki ama kavamiwa na majambazi na kuuwawa!
Au amemwagiwa tindikali, au ameng'olewa kucha, au ametobolewa macho etc
Duh! somo limekuingia. na wewe ume support paka anavyowafanyia......LOL
Umesema vizuri,kazi imebaki kwangu kupima kama umesema yote ya kweli.Ila kuna mahali pale mwanzo kama sijakusoma vile,una maana mama Habyarimana alishiriki kupanga mauaji ya mumewe kwa kushirikiana na huyo Bugosora sijui?kwani huyo mama yeye ni wa kundi gani kati ya hayo makubwa mawili(hutu&tutsi)?na Habyarimana yeye alikua ni wa kundi lipi kati ya hayo?
Nimemwita PK muoga cuz anawaogopa FDLR ambao sidhani kama bado wana uwezo wa kijeshi tena,wangekua nao watutsi wenzake kina Nkunda na Ntaganda wasingetamba vile kiasi cha kumtishia Joseph kabila,that is the reason namuona kama ni muoga anaekiogopa kivuli chake mwenyewe kilichopo ndani ya congo