RWANDA'S HUNTED: Inside the plots to kill Rwanda’s dissidents

Tatizo huyu bwana jMali akiibua hoja hamjibu zaidi ya kumshambulia binafsi.....mngemfahamu hata risasi ingeshapenya kifuani kwake.....
MTAZAMO nakubaliana na wewe kbs, hawa kina MUKAMASIMBA hawana jipya zaid ya kumshambulia jMali, mi nadhan wajibu hoja sio kumshambulia.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa kama mwana CCM na m-Tanzania naamini Rais Kikwete aidha hakuelewa uzito wa ushauri wake au alipotezwa na washauri wake. Naamini alikuwa na nia nzuri ila hajui ni jinsi gani baadhi ya watanzania viongozi wanavyowahifadhi na kuwasaidia FDLR, RNC na wadhalimu wengine wanaotaka kuiangusha serikali ya Kigali. Kabla hujatoa ushauri ni lazima ufanye utafiti wa kina. Wale FDLR ni masalia ya ex-FAR na interahamwe wenye damu mikononi mwao. Wao nia yao ni moja tu; kumuangusha Kagame na utawala wake. Unaongea nao nini sasa watu ambao kwanza hawakubali kukiri kuhusika kwenye mauaji ya kimbari, pili wanataka kukuua na kuirudisha Rwanda kwenye machafuko. Haingii akili. Watanzania tuamke.

Kwa hiyo kama mtu hataki kuongea na ww ndo umuuwe? Kwa nini asikamatwe akafikishwa kwenye vyombo vya sheria?

Alafu unajinasibu eti mwana CCM kwani kuwa mwana CCM ndo utetee hayo yanayofanywa kwa wapinzani wa PK, we jamaa wa ajabu sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Fugwe kuita wanadamu wenzi wako ni kukosa heshima. Hata kama hukubaliani na kundi fulani la watu si ustaarabu kuwadhihaki na kuwafananisha na wanyama. Mimi hao ndugu zako wa FDLR siwakubali kutokana na misimamo yao lakini kamwe siwezi kuwaita mbwa au nyoka au chatu ingawa wengi wao wanaishi mwituni. Kumbuka being a genocidaire is a state of mind irrespective of physical manifestation or worldly presence. Wapo hapa JF genocidaire ambao ama kwa makusudi au kutoelewa au ushabiki wa ki-swahili wanaamua kumtusi Rais Kagame kila leo. Hizo hit squads mnazoziongelea ziko wapi? Hivi kuna nchi isiyokuwa na Directorate of Military Intelligence (or its' equivalent)? Je, ni dhambi kwa nchi kuwa makini hasa hasa ukiangalia historia ya nchi hiyo? Je, kuna ubaya kwa uongozi halali kulinda mipaka yake from real threats? Anachokosea Kagame ni kipi hasa? Kila tatizo mnammsingizia Rais Kagame? DRC has been having problems even before Kagame was born lakini leo mko busy mnashutumu eti ndio chanzo cha instability in Eastern DRC.

I ask you, when was the DRC ever stable?? Tanzania tuna matatizo kibao ila siku hizi watu wako busy kumshupalia Kagame. Kagame this, Kagame that? Sisi waelewa tunajua this is just a smoke-screen on a larger scheme of things. Tunajua kuna elements zina maslahi na waasi wa FDLR. Wengine wanaojiita watumishi wa Mungu wamekubali wazi wazi kuwahifadhi viongozi wa FDLR. In my humble opinion, Pres Kagame has every right to defend his country from threats real or perceived (yes I've said it) because history is not on Tutsis' or moderate Hutus' side. It's better to pre-empt than wait to be wiped out. Dr Condi Rice once said if you wait for a smoking gun you will get a mushroom cloud. And he is doing this by nation-building, economic empowerment and strong defense. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa anahusika na mauaji ya aina yeyote. Hata kama kuna agents ndani ya utawala wa Kagame unaowashughulikia wasaliti na wanaotaka kuiangusha serikali, so what? I ask again, what country would brook dissidence? Ili mradi tu kuwafurahisha majirani au international community? Where were you when a million Tutsis and some Hutus were butchered senselessly in 94? Where was your holier-than-thou conscience to avert that genocide? Today you have the audacity to point fingers at Kagame from the confines and comfort of your FDLR, RNC - backing ivory towers. Yet you expect any sane man or woman to vouch for you, yeah right!

Commanche, nikueleze ukweli na ulijue hilo ni kwamba kama TZ ingekuwa inawasaidia wapinzani wa PK kama hao unaosema FDLR na RNC, Am sure, utawala wa Kigali ungekuwa umeshaanguka siku nyingi. Pili, unajaua second genocide iliyoafanyika DRC dhidi ya wakimbizi wa kihutu 1994/95 nani alihusika kama sio PK na Kabarebe?? tena mauji yale yali-surpass fake genocide ya Rwanda. Tatu, watutsi mnafahamika kwa ukatili, niambie kuna nchi yoyote yenye watutsi wengi na nchi hiyo ikawa na amani???? You're very much concern about why neighbor countries failed to intervene during the genocide in Rwanda? the answer is clear, pk was the source, it was like let PK alone face the consequence, can you imagine even m7 remained mute? is like to clear the way for a Satan and his associates to pass. Kama mnampenda pk toeni ushauri kwake aache kuendeleza mauaji lakini kumbuka wote wanaomshauri kuhusu mwenendo wake wanatangaziwa kifo, kama na wewe utamshauri kwanza tafuta hifadhi pale ngara au south Africa au Belgium vinginevyo kichwa chako ni halali yake
 
Fugwe mimi sina haja ya kutafuta hifadhi mahala popote kwa kuwa mimi ni m-Tanzania nisiyevunja sheria. Sijaituhumu nchi yangu Tanzania kutaka kumpindua Rais Kagame lakini naamini kuna wa-Tanzania wenzi wangu wanataka hilo lifanyike kwa kushirikiana na FDLR. Na kama unafikiri RDF ni wepesi ki-hivyo kaulize jamaa zako wa DRC watakuambia habari yao. Pili, suala la kusema eti genocide ilikuwa ni fake ni nyimbo zenu genocidaires tushazoea. Hivi kweli mtu na akili yako unaweza kudai eti genocide ilikuwa ya kutunga? hukuona mamia ya maelfu ya watu waliouawa? You, your country, the UN did nothing to stop the genocide despite repeated calls to do so from your own peace keeping force under Lt. Gen. R. Dellaire.

Mkuu kama huna uhakika na unachoongea afadhali ukae kimya. Hiyo genocide ya wahutu DRC mbona hakuna documentation yoyote credible inayohusu? Kilichopo ni propaganda za remnants wa FAR na interahamwe to gain legitimacy kwa kusingizia uongo. Hizi conspiracy theories zenu zinawapotosha sana. Hivi mtu mmoja kama Kagame anawatingisha akili ma-nchi makubwa yote yanayomzunguka hamuoni aibu. Msimtumie Rais Kagame kama scapegoat. Tanzania, DRC, Burundi, Kenya, S. Sudan, Uganda kuna matatizo mengi sana. Tumuache Rais Kagame aongoze nchi yake bila kumuingilia. Satan ni hao jamaa zako wauaji wa FDLR wanaojificha msituni.
 
Kwa hiyo kama mtu hataki kuongea na ww ndo umuuwe? Kwa nini asikamatwe akafikishwa kwenye vyombo vya sheria?

Alafu unajinasibu eti mwana CCM kwani kuwa mwana CCM ndo utetee hayo yanayofanywa kwa wapinzani wa PK, we jamaa wa ajabu sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.

Kaburungu nimekuwa wa ajabu kwani nina mkia? Te he he. Sikia ndugu yangu, hakuna ushahidi wowote kuwa Rais Kagame ameamuru mpinzani yeyote auawe. Kama kuna ushahidi huo leta hapa. Tatizo lenu mnataka mtu mnafiki mnafiki aseme mnayotaka kusikia. Kagame hamumunyi maneno for he is a straight talker. Aidha mnataka waasi na wasaliti waachwe wakivuruga amani na utulivu nchini Rwanda na wachekewe tu. The price for treason the world over is DEATH.
 
jMali,

Hivi hizo footages za hao wachumia tumbo wachache ndio unaona ushahidi wa kuleta hapa? Watu sita wameshika mabango wewe unaona ni tija? Nenda Rwanda uone maelfu ya wananchi wanavyofurika popote Rais Kagame anapohutubia ndio uelewe. Who cares about a few dissidents flipping burgers in Toronto? *** em.

unazungumzia watu kujaa within Rwanda mkuu! nani anaweza kuthubutu kuandamana Rwanda eti kumpinga kagame?hiyo ya watu kujaa kila anapozungumza kagame sio kigezo kwamba anapendwa,hapa tanzania enzi za nyerere na chama kimoja ilikua ni lazima wala sio hiari kwenda kujipanga barabarani kumsubiri nyerere na kumpungia mkono kila mkoa anapopita!
 
Nikiwa kama mwana CCM na m-Tanzania naamini Rais Kikwete aidha hakuelewa uzito wa ushauri wake au alipotezwa na washauri wake. Naamini alikuwa na nia nzuri ila hajui ni jinsi gani baadhi ya watanzania viongozi wanavyowahifadhi na kuwasaidia FDLR, RNC na wadhalimu wengine wanaotaka kuiangusha serikali ya Kigali. Kabla hujatoa ushauri ni lazima ufanye utafiti wa kina. Wale FDLR ni masalia ya ex-FAR na interahamwe wenye damu mikononi mwao. Wao nia yao ni moja tu; kumuangusha Kagame na utawala wake. Unaongea nao nini sasa watu ambao kwanza hawakubali kukiri kuhusika kwenye mauaji ya kimbari, pili wanataka kukuua na kuirudisha Rwanda kwenye machafuko. Haingii akili. Watanzania tuamke.
...ni kwanini PaKa asiangushwe kama yeye alivyoungusha utawala wa Habyrimana na hata kumuua yeye na Rais mwenzake wa Burundi?...PaKa mwenyewe pamoja na Mu7 na RPA ni wasababishi wa genocide...hilo hampendi kulikubali. Pia walihusika sana na mauaji ya wakongo wasio na hatia tena ndani ya nchi yao na wahutu waliokimbilia huko DRC baada ya kuanza kuuliwa na watutsi wa RPA kama "kulipiza" kisasi dhidi ya hao interahamwe. Ukubali tu kuwa RPA na Interahamwe wote tabia zao ni sawa; tofauti tu ni kuwa interahamwe ni wahutu na RPA ni watutsi......hakuna anayeshabikia mauaji, lakini ukweli lazima ubaki kuwa, genocide ya wanyarwanda (not "genocide against tutsti" as you want to brand it) ilisababishwa sana na CHUKI ambazo zimekuwepo kati ya wahutu (non tutsis) na watutsi, si rwanda tu bali hata burundi na huku Tanzania pia na hata Uganda!... kwa ujumla kama watutsi msingekuwa na tabia za dharau na kujiona kuwa nyie ni bora zaidi ya watu wengine wote, then hili la mauaji ya kimbari lisingetokea. Let there be LOVE, and PEACE will prevail!...kwa jinsi PaKa anavyoongoza rwanda sasa hivi (uongozi ambao hauna tofauti kabisa na ule wa Habyarimana), kuna shaka kuwa hizi chuki hazitaisha na tusishangae kama yanaweza tokea mauaji mengine (GOD forbid)!
 
Commanche, nikueleze ukweli na ulijue hilo ni kwamba kama TZ ingekuwa inawasaidia wapinzani wa PK kama hao unaosema FDLR na RNC, Am sure, utawala wa Kigali ungekuwa umeshaanguka siku nyingi. Pili, unajaua second genocide iliyoafanyika DRC dhidi ya wakimbizi wa kihutu 1994/95 nani alihusika kama sio PK na Kabarebe?? tena mauji yale yali-surpass fake genocide ya Rwanda. Tatu, watutsi mnafahamika kwa ukatili, niambie kuna nchi yoyote yenye watutsi wengi na nchi hiyo ikawa na amani???? You're very much concern about why neighbor countries failed to intervene during the genocide in Rwanda? the answer is clear, pk was the source, it was like let PK alone face the consequence, can you imagine even m7 remained mute? is like to clear the way for a Satan and his associates to pass. Kama mnampenda pk toeni ushauri kwake aache kuendeleza mauaji lakini kumbuka wote wanaomshauri kuhusu mwenendo wake wanatangaziwa kifo, kama na wewe utamshauri kwanza tafuta hifadhi pale ngara au south Africa au Belgium vinginevyo kichwa chako ni halali yake
You said it very well Mkuu Fugwe.....huyu jamaa anajiita eti Mtanzania na pia mwana - CCM...inawezekana ni kama wale akina ntukamazina, serukamba na wengine wa aina hiyo....ambao inaonekana kama ni wapambe wa kigali. Hivi karibuni kuna gazeti la PataHabari liliandika kuwa "Kagame ameunda mtandao wake kwenye bunge la jamhuri huko Dodoma".. wapo watutsi wengi (wanajiita wahangaza, waha nk) wamejipenyeza hadi kwenye Chama Tawala (CCM) kwa kazi ya kutafuta habari na kumpelekea "bwana" wao PaKa huko kigali.....mwisho wao unakaribia. Hivi karibuni kulitokea habari kuwa, "Kuna wanawake wapelelezi wa kitutsi walikamatwa Dodoma".. Sasa huyu ndugu Commanche anavyojidai "Mtanzania" na mwana CCM, wala sioni ajabu....
 
unazungumzia watu kujaa within Rwanda mkuu! nani anaweza kuthubutu kuandamana Rwanda eti kumpinga kagame?hiyo ya watu kujaa kila anapozungumza kagame sio kigezo kwamba anapendwa,hapa tanzania enzi za nyerere na chama kimoja ilikua ni lazima wala sio hiari kwenda kujipanga barabarani kumsubiri nyerere na kumpungia mkono kila mkoa anapopita!

Kim K Kagame sio Nyerere. Wanyarwanda wanampenda kwa dhati kwa kazi nzuri anayoifanya kwao na nchi yao. Wanaenda kumsikiliza kwa hiari na upendo kwa kiongozi wao na si uoga.
 
Fugwe mimi sina haja ya kutafuta hifadhi mahala popote kwa kuwa mimi ni m-Tanzania nisiyevunja sheria. Sijaituhumu nchi yangu Tanzania kutaka kumpindua Rais Kagame lakini naamini kuna wa-Tanzania wenzi wangu wanataka hilo lifanyike kwa kushirikiana na FDLR. Na kama unafikiri RDF ni wepesi ki-hivyo kaulize jamaa zako wa DRC watakuambia habari yao. Pili, suala la kusema eti genocide ilikuwa ni fake ni nyimbo zenu genocidaires tushazoea. Hivi kweli mtu na akili yako unaweza kudai eti genocide ilikuwa ya kutunga? hukuona mamia ya maelfu ya watu waliouawa? You, your country, the UN did nothing to stop the genocide despite repeated calls to do so from your own peace keeping force under Lt. Gen. R. Dellaire.

Mkuu kama huna uhakika na unachoongea afadhali ukae kimya. Hiyo genocide ya wahutu DRC mbona hakuna documentation yoyote credible inayohusu? Kilichopo ni propaganda za remnants wa FAR na interahamwe to gain legitimacy kwa kusingizia uongo. Hizi conspiracy theories zenu zinawapotosha sana. Hivi mtu mmoja kama Kagame anawatingisha akili ma-nchi makubwa yote yanayomzunguka hamuoni aibu. Msimtumie Rais Kagame kama scapegoat. Tanzania, DRC, Burundi, Kenya, S. Sudan, Uganda kuna matatizo mengi sana. Tumuache Rais Kagame aongoze nchi yake bila kumuingilia. Satan ni hao jamaa zako wauaji wa FDLR wanaojificha msituni.
Khaa!...kagame anamtingisha nani akili? Labda wengine lakini sidhani kama anaweza ifanyia Tanzania hivyo. Mwenyewe anaona aibu hata kukanyaga hapa, hata kwenye matukio yanayoihusisha EAC. Sasa nyie mnaocheza ngoma ya kagame si mrudi huko rwanda? kwanini mnajivisha u-Tanzania??
 
Kim K Kagame sio Nyerere. Wanyarwanda wanampenda kwa dhati kwa kazi nzuri anayoifanya kwao na nchi yao. Wanaenda kumsikiliza kwa hiari na upendo kwa kiongozi wao na si uoga.

Hata nyerere ilikua hivyo hivyo kaka/dada,haya mambo huwezi kuyaona mpaka milango ya demokrasia ya kweli ifunguke,watz tuliaminishwa kama wanavyoaminishwa wanyarwanda now kwamba bila nyerere hakuna tz,tulikuja kuanza kuamka baada nyerere kuondoka madarakani na nchi ikaendelea kuwepo hata sasa hayupo,same to rwandese,time will tell,sasa hivi kila kitu watakachoelezwa na kujazwa vichwani mwao ni no rwanda salama bila kagame but wanasahau kwamba kagame ni binadamu sio mungu,kuna siku for any reason hatakuwepo,they got to think and be prepared.Nikikuuliza nani anaweza kuwa mrithi wa kagame leo kama lolote baya kwake linaweza kumtokea,r u in a position to tell me?if not hilo ni tatizo!
 
Rwanda is a country that is built around institutions. Yes some perceive it as synonymous with Pres Kagame. This is due to his no nonsense approach to running the country. Ameweka utaifa na maslahi ya taifa mbele. This is Kagame's last term remember. Wapo watu wengi tu wenye uwezo ndani ya RPF who can and will take over. Cha msingi ni mfumo na sio mtu. Kagame is a mere mortal like any of us with the only distinction being his unwavering stance in defense of his country and the unquenchable thirst to see his people prosper in a free, secure and united Rwanda.
 
Fugwe mimi sina haja ya kutafuta hifadhi mahala popote kwa kuwa mimi ni m-Tanzania nisiyevunja sheria. Sijaituhumu nchi yangu Tanzania kutaka kumpindua Rais Kagame lakini naamini kuna wa-Tanzania wenzi wangu wanataka hilo lifanyike kwa kushirikiana na FDLR. Na kama unafikiri RDF ni wepesi ki-hivyo kaulize jamaa zako wa DRC watakuambia habari yao. Pili, suala la kusema eti genocide ilikuwa ni fake ni nyimbo zenu genocidaires tushazoea. Hivi kweli mtu na akili yako unaweza kudai eti genocide ilikuwa ya kutunga? hukuona mamia ya maelfu ya watu waliouawa? You, your country, the UN did nothing to stop the genocide despite repeated calls to do so from your own peace keeping force under Lt. Gen. R. Dellaire.

Mkuu kama huna uhakika na unachoongea afadhali ukae kimya. Hiyo genocide ya wahutu DRC mbona hakuna documentation yoyote credible inayohusu? Kilichopo ni propaganda za remnants wa FAR na interahamwe to gain legitimacy kwa kusingizia uongo. Hizi conspiracy theories zenu zinawapotosha sana. Hivi mtu mmoja kama Kagame anawatingisha akili ma-nchi makubwa yote yanayomzunguka hamuoni aibu. Msimtumie Rais Kagame kama scapegoat. Tanzania, DRC, Burundi, Kenya, S. Sudan, Uganda kuna matatizo mengi sana. Tumuache Rais Kagame aongoze nchi yake bila kumuingilia. Satan ni hao jamaa zako wauaji wa FDLR wanaojificha msituni.

wewe ni mtusi wa kigali si mtanzania nyie mamluki wa muuaji kagame ata kwenye maelezo unajchanganya sku za mwzi ni 40 muuaji kagame hana mda mrefu wamarekan waliokua wanamsaidia ili akiiba madin kongo awauzie wameshaside na kabila Jr
 
Rwanda is a country that is built around institutions. Yes some perceive it as synonymous with Pres Kagame. This is due to his no nonsense approach to running the country. Ameweka utaifa na maslahi ya taifa mbele. This is Kagame's last term remember. Wapo watu wengi tu wenye uwezo ndani ya RPF who can and will take over. Cha msingi ni mfumo na sio mtu. Kagame is a mere mortal like any of us with the only distinction being his unwavering stance in defense of his country and the unquenchable thirst to see his people prosper in a free, secure and united Rwanda.

oooh yah?is this his last term?that's good news kwa wapenda demokrasia ya kweli kama mimi,but let us wait and see,ila kama hilo likitokezea kweli wanyarwanda wasifanye makosa ya kuchagua mwanajeshi mungine kuitawala rwanda!
 
wewe ni mtusi wa kigali si mtanzania nyie mamluki wa muuaji kagame ata kwenye maelezo unajchanganya sku za mwzi ni 40 muuaji kagame hana mda mrefu wamarekan waliokua wanamsaidia ili akiiba madin kongo awauzie wameshaside na kabila Jr

Sasa unanilazimisha? Haya suit yourself dude.
 
You said it very well Mkuu Fugwe.....huyu jamaa anajiita eti Mtanzania na pia mwana - CCM...inawezekana ni kama wale akina ntukamazina, serukamba na wengine wa aina hiyo....ambao inaonekana kama ni wapambe wa kigali. Hivi karibuni kuna gazeti la PataHabari liliandika kuwa "Kagame ameunda mtandao wake kwenye bunge la jamhuri huko Dodoma".. wapo watutsi wengi (wanajiita wahangaza, waha nk) wamejipenyeza hadi kwenye Chama Tawala (CCM) kwa kazi ya kutafuta habari na kumpelekea "bwana" wao PaKa huko kigali.....mwisho wao unakaribia. Hivi karibuni kulitokea habari kuwa, "Kuna wanawake wapelelezi wa kitutsi walikamatwa Dodoma".. Sasa huyu ndugu Commanche anavyojidai "Mtanzania" na mwana CCM, wala sioni ajabu....
Watanzania wenye asili ya Tutsi wako hundreds of thousands na wengi wamejaa Western TZ,wewe mtu chuki zako kwa watutsi zitakumaliza,mnakuja na propaganda zenu za kibwege driven by hate thinking watu watakaa kimya,hao wabunge wamefanya nini mpaka uwape hizo ridiculous accusations?you are just an i-diot blood hutu who happen to be in Tanzania now you want to import Tutsi hating culture iliyosababisha genocide,it is dangerous and very stupid idea..huna tofauti na mchawi wewe na wale wenzako kina jmali
 
Irankunda kiongozi wangu naona unaongozwa na hisia zaidi ya hoja. Ukweli ni kuwa DRC has never been stable tokea enzi za m-Beligiji. This nonsense about the so called "Bahima Empire" is just wishful thinking among enemies of Rwanda and Tutsi-hating people the world-over. Hivi nikuulize, how can a people comprising less than 15 percent of the population create an empire in the midst of a multi-ethnic region? For anyone to believe in this hullabaloo is just absurd. Two, the RPA was a liberation force that emancipated a persecuted people from the bowls of a demonic devil worshiping regime in Habyarimana's and his band of criminal cliques and French-backed military. Tatu, mimi ni m-Tanzania.

1. pamoja na kuwa wachache overall, lakini watutsi ndio mnaongoza kwa idadi katika majeshi ya Rwanda, Burundi, na Uganda(banyankole), vile vile wakati wa kabila senior-DRC congo! Unaweza kuelezea hili?

2.Huko DRC watutsi hamkuanza chokochoko juzi with M23, mlianza toka enzi za Mobutu, rejea historia yako. So the unstability you are talking about guess what, you also had to something to do with that even back then!

3. we all know what RPA was a tutsi terrorists group (not even banyarwanda) supported by the US. You only hate the french because mabwana zenu US walikuwa wanacompete nao in DR congo (geo-political war), mmeondoa influence ya wafaransa (Mobutu) na kupachika kabila snr (US). That is why immediately after taking over Rwanda mkaingia kumpindua Mobutu, ni lini wacongo waliwaomba muwasaidie? DRC resources was the plan all along, so don't bullshit us about RPA.
Baada ya hapo kila siku mkajifanya eti mnaingia congo kuwatafuta waasi, miaka yooote hiyo? na bado hadi sasa mnadai bado wako, mliwezaje kupindua nchi nzima mpaka kinshasa halafu mkashindwa kuwapata waasi ambao supposedly wako Kivu tu hapo?
 
Rwanda is a country that is built around institutions. Yes some perceive it as synonymous with Pres Kagame. This is due to his no nonsense approach to running the country. Ameweka utaifa na maslahi ya taifa mbele. This is Kagame's last term remember. Wapo watu wengi tu wenye uwezo ndani ya RPF who can and will take over. Cha msingi ni mfumo na sio mtu. Kagame is a mere mortal like any of us with the only distinction being his unwavering stance in defense of his country and the unquenchable thirst to see his people prosper in a free, secure and united Rwanda.

1. Institution my foot, juzi tu hapa mnasema kizito bila kagame asingekuwa mwanamuziki, nyamwasa bila kagame, karegeya bila kagame, everyone bila kagame, mpaka nikasema kuwa nchini kwenu hata mkeo akipata mimba lazima kagame ashukuriwe! the entire country is built around kagame.

2. Last term? Tayari kagame ameshasema hiyo itategemea "watu wanasemaje", na kwamba eti "sio uamuzi" wake whether aondoke au katiba ibadilishwe ili abaki, usidanganye watu hapa! kagame is not going anywhere. RPF imeshapewa hiyo assignment ya kuhakikisha kuwa kagame anabaki hata ikibidi kwa staili ya putin, ya kujifanya waziri mkuu.

3. united rwanda? ya kuwaambia wahutu waombe msamaha kwa madhambi ya babu zao? some unity indeed? what about tutsis for the sins of their royal families that ruled over hutu for over 400 years?
 
Dude it's "fura" and not fula, it's also not "cobla" but cobra. Anyway back to the lecture at hand; msituletee propaganda na kuzifanya facts. Rais Kagame ni kiongozi makini sana, hawezi kuchukua maamuzi ya kijinga kama mnavyofikiri.

Mkuu, unatakiwa ueleze yuko makini kivipi? siyo kuongea tu bila kushibisha point zako. Of couse, facts are always in Propaganda.
 
Back
Top Bottom