RwandAir named among World's Safest Airlines

Hizo ndege toka zianze kusafiri angani zilishatengeneza faida au ni u-bishow tu wakati zinakula kodi ya wanyarwanda bure tu kwa kutafuta sifa za kuonekana wana ndege zinazoruka angani?

Mwenye published financial statements za Air RWANDA atuwekee hapa kabla ya kuvurumishia matusi Air Tanzania.

financial statements za Air Rwanda ni siri za taifa!!! Hazijawahi kuchapishwa toka shirika lianze!!
 
Hao wafanyabiashara binafsi wanarahizishiwa usafiri kwa gharama ya nani? mlipa kodi maskini wa Rwanda? Ndio maana shirika la ndege la RWANDAIR ni lazima kupata mahesabu yake ndio tutajua kama sio SUCKING GIANT ya walipa kodi masikini wa Rwanda au la.

Porojo zingine za sijui IATA au nani kuwa ndege za Rwanda ni ndege bora zilizo salama sijui nini hizo ni poda tu kwenye uso wa ndege na hina kwenye vidole vya ndani ya ndege.Cha muhimu hilo shirika linazalisha faida au ni mlaji tu wa kodi za wananchi maskini wa Rwanda ili kuliendesha?

EA Eagle.

Unazidi kuthubutisha kutofahamu kwako juu ya mambo na biashara ya airline.
Umekazania financial report wewe ni shareholder??
Wawekezaji kama ni serikali au watu binafsi ndio pekee wenye haki ya kudai na kupata hizo reports.
Tukifuatilia hicho kigezo chako, ni lini Air Tanzania imeweka reports zake hadharani?

Anyway, kwa ufahamu wako, hakuna shirika la ndege jipya linaloweza kutoa faida hata ya senti tano kwa miaka mitano hadi kumi ya mwanzo.
Bei ya ndege na gharama za customer acquisition zinakula mno, na hapo kuna operating costs za ajabu. Bei ya mafuta ambayo ina kunywa kwa maelfu ya lita, spea nk ni hatari mkuu!!
Kumaintain ndege sio sawasawa na daladala.

Waacheni waendelee, sie tubaki na porojo letu tu na kuibiana!
 
Sihitajii kuomba uraia Tanzania nchi ambayo viongozi wanaiba raia wanacheka,labda wakati umefika niukane uraia wa Tanzania

Fanya haraka kuukana Utz tumekuchoka!!
 
Kutokana na mafanikio haya yalio wazi kwani every success kuna kuna mtu nyuma yake na ni jenerali Paul Kagame"there is a line u can not cross_Uki cross unabamizwa".

Wewe unayeringia Kagame badala ya Wanyarwanda. Assume kagame dies tonight. Means no Rwanda??? Please try to separate a person from a country. Remember kagame will perish but Rwanda is there to stay. I understand PaKa has brainwashed you.
 
Kuna watu hamkubali ukweli hivi hujui impact ya kuwa na Rais jembe kweli???!! Kagame ni jembe na ameibadili Rwanda sana sasa msiongee tu kwa chuki na wivu wa kizamani...unadhani mtu mjinga kama Seth Singh anaweza kuiba Rwanda mihela kama hii??!
 
1. Kagame yeye ndie mwizi mkuu, alichofanya ni kuzuia wezi wengine wasiibe, abaki peke yake. Karibu 100% ya private sector yote inayofanya biashara na serikali ni makampuni ya RPF chini ya crystal ventures. Na hilo liko wazi tenda zote kubwa za serikali lazima ziende crystal ventures. Makampuni ya Crystal ventures ndio yalio-bankrupt mfuko wa hifadhi za jamii wa Rwanda (RSSB) na ndio yaliyopelekea wakurugenzi wabadilishwe kila mwaka for the past four years! i.e 4 CEOs for the past 4 years! Imagine hapa bongo kama kila mwaka tufukuze halafu tuteue bosi mwingine wa NSSF, je itamaanisha wote ni vilaza au something is wrong somewhere? RSSB inalazimishwa kutoa fedha kwenda Crystal ventures ambazo hazina biashara yoyote isipokuwa kudanganya dunia kwamba Rwanda iko poa via PR companies, majeshi ya vijana kupitia social networks, makampuni yasio na faida kama RwandaAir etc.
kagame kakalia accounts zote za Crystal ventures hakuna mwanachama mwinginen hata mmoja anayejua chama kinaendeshaje haya makampuni, waliouliza mahesabu walifunguliwa mashtaka na sasa wako ukimbizini ughaibuni, ndio hao waliotoa siri. Mfano mzuri ni kuwa Kagame peke yake ndie anajua mahesabu ya hii RwandaAir inayoongelewa hapa, hata bunge halijui, hata PAC ya Rwanda haijui hesabu za SHIRIKA LA UMMA! Hivi inawezekana hapa bongo ATCL ikawa haikaguliwi na CAG badala yake rais ndio anapelekewa ripoti zote? Fikiri!
Ndege anazotumia kagame kama rais wa Rwanda ni zake mwenyewe anazikodisha kwa serikali kupitia kampuni yake ya SA, nyumba za ubalozi wa Rwanda nchi za nje nyingi ni zake mwenyewe anazikodisha serikali via offshore companies. Rais huyu kapataje utajiri ndani ya miaka 20 na elimu yake ya magumashi? Usiseme Rwanda hakuna wizi, sema Rwanda kuna mwizi mkubwa mmoja!
 
Nchi ya Rwanda imetulia kwa kuona vita, naona wanasiasa wao wameacha siasa muozo na kumakinika kuiendeleza nchi
 
Ah....hata sisi kama Tanzania ingekua ndogo kama Rwanda tungekua na Air Tanzania mikoa yote, sema tu nchi yetu ni kubwa sana.
Shirika la ndege lwa Rwanda linazidi kuimarika na kukua sababu ka nchi kao ni kafogo kama mkoa wa Tabora....(sijui nimeeleweka nilichoandika!)
 
financial statements za Air Rwanda ni siri za taifa!!! Hazijawahi kuchapishwa toka shirika lianze!!

Rwandair is not a listed company you dimwi...onyesha na wewe za hiyo kampuni yako uliyoenda kufunga ofisi kigali ukakosa soko hence your hatred towards rwandese.
 
1. Kagame yeye ndie mwizi mkuu, alichofanya ni kuzuia wezi wengine wasiibe, abaki peke yake. Karibu 100% ya private sector yote inayofanya biashara na serikali ni makampuni ya RPF chini ya crystal ventures. Na hilo liko wazi tenda zote kubwa za serikali lazima ziende crystal ventures. Makampuni ya Crystal ventures ndio yalio-bankrupt mfuko wa hifadhi za jamii wa Rwanda (RSSB) na ndio yaliyopelekea wakurugenzi wabadilishwe kila mwaka for the past four years! i.e 4 CEOs for the past 4 years! Imagine hapa bongo kama kila mwaka tufukuze halafu tuteue bosi mwingine wa NSSF, je itamaanisha wote ni vilaza au something is wrong somewhere? RSSB inalazimishwa kutoa fedha kwenda Crystal ventures ambazo hazina biashara yoyote isipokuwa kudanganya dunia kwamba Rwanda iko poa via PR companies, majeshi ya vijana kupitia social networks, makampuni yasio na faida kama RwandaAir etc.
kagame kakalia accounts zote za Crystal ventures hakuna mwanachama mwinginen hata mmoja anayejua chama kinaendeshaje haya makampuni, waliouliza mahesabu walifunguliwa mashtaka na sasa wako ukimbizini ughaibuni, ndio hao waliotoa siri. Mfano mzuri ni kuwa Kagame peke yake ndie anajua mahesabu ya hii RwandaAir inayoongelewa hapa, hata bunge halijui, hata PAC ya Rwanda haijui hesabu za SHIRIKA LA UMMA! Hivi inawezekana hapa bongo ATCL ikawa haikaguliwi na CAG badala yake rais ndio anapelekewa ripoti zote? Fikiri!
Ndege anazotumia kagame kama rais wa Rwanda ni zake mwenyewe anazikodisha kwa serikali kupitia kampuni yake ya SA, nyumba za ubalozi wa Rwanda nchi za nje nyingi ni zake mwenyewe anazikodisha serikali via offshore companies. Rais huyu kapataje utajiri ndani ya miaka 20 na elimu yake ya magumashi? Usiseme Rwanda hakuna wizi, sema Rwanda kuna mwizi mkubwa mmoja!
Enhe... Nilijuwa tu hii haitakupita!!! Inaonekana kumbe ukweli wote uko nao ila kama kawaida yako kila siku unakosea kwenye analysis zako, hizo sumu zilizojaa kichwani mwako ni balaa...hizo pesa za RPF zinakuumia nini? Kumbuka wakati nyinyi mlikuwa busy kuchinjachinja na kukimbia na hazina ya nchi uhamishoni(ukimbizini) sisi tuliokuwa nje tulichanga pesa kwa hali na mali ili vijana wetu waweze kuwadhibiti ipasavyo! Hata wamasikini waliuza ngombe zao na kujitolea kijana angalau mmoja kwenye familia kuja kuwatimua.
Kwa taarifa yako baada kuikomboa Rwanda, kulikuwa na njaa na ukosefu wa madawa pasipo kifani, pesa iliyo bakia ndiyo iliyotuwezesha kuanza kununua mahitaji ya muhimu kama vile sukari, chumvi, madawa na vinginevyo kutoka nje ya nchi kusudi maisha ya wananchi wetu yaendelee kama kawaida, kutokana na mikakati ya RPF ile strategy ililipa na huo ndio ulikuwa mwanzo wa biashara ambazo leo zimetufikisha hapa, nashangaa kwa nini ujiulizi tumewezaje kuwa na makampuni ambayo ni five stars kama vile Inyange, Rwandair na nyingine na nyingine nanyinge, siku zingine uwe unasikia aibu kujicholesha, ulitaka RPF inunue ndege halafu iziite za serikali? Haiwezekani! Kama serikali haina ndege inaruhusiwa kukodi za RPF, we ulitaka wakodi Air-France? akili za hivyo ndio zinawafanya mpaka leo muendelee kutiwa vidole na wazungu(wafaransa)
RPF ni chama kama vingine vyote, nenda kaulize marekani Democrats au Republicans wanapesa kiasi gani na wanafanya bishara ngapi, au kawaulize waingeleza au falme zote za ulaya na kwingineko ndio utajuwa RPF means business and politics, huwezi kutawala nchi ukiwa maskini, kama huamini angalia hapo bongo ulipo ukimbizini, misaada imekatwa kidogo tu hata panadol zimekosekana, CCM ingekuwa na pesa ingekuwa ya kwanza kuikopa serikali mpaka kitakapo eleweka halafu walipane huko mbeleni, ingesaidia kuitoa serikali katika aibu ya kusimangwa nawatoa misaada ingawa ni wenyewe wamejiletea kutokana na kujibia! Siku nyingine kabla ya kulalamika uwe unarudisha macho nyuma halafu ufananishe na ile serikali yenu ya Genociders labda unaweza ukafunguka macho!!!
 
Kuna watu hamkubali ukweli hivi hujui impact ya kuwa na Rais jembe kweli???!! Kagame ni jembe na ameibadili Rwanda sana sasa msiongee tu kwa chuki na wivu wa kizamani...unadhani mtu mjinga kama Seth Singh anaweza kuiba Rwanda mihela kama hii??!

Huelewi ninachoeleza. Nyie wanyarwanda jaribuni kutofautisha kati ya mtu na taifa. Kagame na Rwanda. Rwanda inahitaji mfumo au taasisi yenye nguvu au madhubuti Bali si mtu imara.... maana mtu atapita lkn nchi itabaki. Kagame atapita lkn Rwanda itabaki.
 
1. Kagame yeye ndie mwizi mkuu, alichofanya ni kuzuia wezi wengine wasiibe, abaki peke yake. Karibu 100% ya private sector yote inayofanya biashara na serikali ni makampuni ya RPF chini ya crystal ventures. Na hilo liko wazi tenda zote kubwa za serikali lazima ziende crystal ventures. Makampuni ya Crystal ventures ndio yalio-bankrupt mfuko wa hifadhi za jamii wa Rwanda (RSSB) na ndio yaliyopelekea wakurugenzi wabadilishwe kila mwaka for the past four years! i.e 4 CEOs for the past 4 years! Imagine hapa bongo kama kila mwaka tufukuze halafu tuteue bosi mwingine wa NSSF, je itamaanisha wote ni vilaza au something is wrong somewhere? RSSB inalazimishwa kutoa fedha kwenda Crystal ventures ambazo hazina biashara yoyote isipokuwa kudanganya dunia kwamba Rwanda iko poa via PR companies, majeshi ya vijana kupitia social networks, makampuni yasio na faida kama RwandaAir etc.
kagame kakalia accounts zote za Crystal ventures hakuna mwanachama mwinginen hata mmoja anayejua chama kinaendeshaje haya makampuni, waliouliza mahesabu walifunguliwa mashtaka na sasa wako ukimbizini ughaibuni, ndio hao waliotoa siri. Mfano mzuri ni kuwa Kagame peke yake ndie anajua mahesabu ya hii RwandaAir inayoongelewa hapa, hata bunge halijui, hata PAC ya Rwanda haijui hesabu za SHIRIKA LA UMMA! Hivi inawezekana hapa bongo ATCL ikawa haikaguliwi na CAG badala yake rais ndio anapelekewa ripoti zote? Fikiri!
Ndege anazotumia kagame kama rais wa Rwanda ni zake mwenyewe anazikodisha kwa serikali kupitia kampuni yake ya SA, nyumba za ubalozi wa Rwanda nchi za nje nyingi ni zake mwenyewe anazikodisha serikali via offshore companies. Rais huyu kapataje utajiri ndani ya miaka 20 na elimu yake ya magumashi? Usiseme Rwanda hakuna wizi, sema Rwanda kuna mwizi mkubwa mmoja!

You are such a hatred idiot and indoctrinated fool.
 
mfumo au taasisi gani ambazo zimekosekana Rwanda? ulishasikia Kagame kamfwata mtu kwake amfunge? yani we mpumbavu kweli, yeye ni Raisi na nilazima ahakikishe taasisi za nchi zinafanya kazi zake ipasavyo na ndio maana tuna mpenda kwa jasili wake, kwani nini kazi ya raisi? kulipwa bure na safari zisizo isha kama huyo muuza unga mwenzenu anayebembelezwa a bunge kufunga waharifu, huo utumbo wenu kama mnauona poa basi bakieni na huko huko, hatuuitaji kwenye nchi ya wenye malengo.
 
Huelewi ninachoeleza. Nyie wanyarwanda jaribuni kutofautisha kati ya mtu na taifa. Kagame na Rwanda. Rwanda inahitaji mfumo au taasisi yenye nguvu au madhubuti Bali si mtu imara.... maana mtu atapita lkn nchi itabaki. Kagame atapita lkn Rwanda itabaki.

Jamani Wabongo...
Kwa hili tusalim amri.
Tunajiaibishaaaaa!

Rwanda ni nchi ndogo sana ki-eneo, population na hata rasilimali. Ilikuwa na matatizo mengine kabisa iliyoiwacha kuwa very poor and unstable.
Wamejitahidi kutoka kwenye shida kwa mda mfupi sana, wanajikwamua na wana mikakati yao ambayo kwa kweli ina matokeo yanayo onekana.
Moja wapo ni hii ya Rwandair.
Tayari ni shirika kubwa kuliko letu, lina mipango inayoeleweka (wameagiza tayari state of the art Boeing 787 mbili mwakani), na mengi tu. Sie tuko wapi?
Acheni ubishi wa kijiweni.
Kama kuna cha kujifunza toka kwao kwa hili, basi tuwe open minded!!

Big up Rwandair!!
 
Rwandair raha sana, hapa mwanza tukitaka kwenda dubai hatuendi tena kupandia nairobi wa dar, sahiz tunapanda hapahapa mwanza rwandair mwanza-kigali-dubai
 
Ah....hata sisi kama Tanzania ingekua ndogo kama Rwanda tungekua na Air Tanzania mikoa yote, sema tu nchi yetu ni kubwa sana.
Shirika la ndege lwa Rwanda linazidi kuimarika na kukua sababu ka nchi kao ni kafogo kama mkoa wa Tabora....(sijui nimeeleweka nilichoandika!)
ah wapi! rudia upya na tena utafute sababu ya kueleweka sio kuleta majibu ya kukisia.
 
Jamani Wabongo...
Kwa hili tusalim amri.
Tunajiaibishaaaaa!

Rwanda ni nchi ndogo sana ki-eneo, population na hata rasilimali. Ilikuwa na matatizo mengine kabisa iliyoiwacha kuwa very poor and unstable.
Wamejitahidi kutoka kwenye shida kwa mda mfupi sana, wanajikwamua na wana mikakati yao ambayo kwa kweli ina matokeo yanayo onekana.
Moja wapo ni hii ya Rwandair.
Tayari ni shirika kubwa kuliko letu, lina mipango inayoeleweka (wameagiza tayari state of the art Boeing 787 mbili mwakani), na mengi tu. Sie tuko wapi?
Acheni ubishi wa kijiweni.
Kama kuna cha kujifunza toka kwao kwa hili, basi tuwe open minded!!

Big up Rwandair!!
ndugu yangu hao wanywa gongo waache tu! wao ni chuki na wivu usiku namchana, 2017 watajinyonga kutuona mamilioni ya wanyaranda tukiingia barabarani kumuomba Kagame aendelee kuongoza timu ya ushindi, ukizingatia umri wake ndio kwanza...
 
Ulianzishe wewe halafu utudai sisi.Onyesheni hesabu zenu tuone.

Basi tukupe vipande sasa.Katika mashirika yanayoendeshwa kifisadi na Kiharamia ni RWANDAIR.

RWANDAIR ni chaka la ufisadi wa viongozi wa rwanda na uharamia wa madini.Ukipanda Rwanda air ukiona inatoka Kigali inaelekea kampala, nairobi,Juba au mataifa ya nje ujue chini kwenye mizigo kuna madini ya wizi toka kongo!!! Zikirudi zinabeba silaha za kuwapa waasi wa Kongo!!!!
Ndege hiyo ni kama gari la majambazi ya Rwanda yaliyoko serikalini.

Your ignorance speaks volumes.
 
Back
Top Bottom