RwandAir named among World's Safest Airlines

Mkuu ukiongea kitu hiki utatukanwa sana na baadhi ya watu ambao ni fundamentalists au wenye mawazo mafupi. I always say Kagame has done great job, but has Rwanda done a great job? NO, is there even a thing as Rwanda without PK, i read doubt. If Kagame goes today i can assure you the administration will be very loose. The nation is badly divided in ethnic lines, it is only PK who maintains those lines in a secured way....all depends on his personal connections. Without him, it is very hard to see Rwanda as we see it now.

He has not been able to build any strong institution, only few weak men who always kowtow to him.


The more reasons that we will give him another term so that he can strengthen our institutions and hence never give a chance for akina jMali to come and destabilize us again. Vuteni pumzi bado mko nae for the foreseeable future. Mtamkubali tu mkiona mambo anayotufanyia hapa kwetu. Huyu ndio raisi kidume. Wakoloni wote wanamkubali na kumheshimu. Raisi gani hapa africa atakuwa na mtu kama Tony Blair, Bill Clinton kama mshauri wake. Naaaani? Kubali msikubali raisi wetu anakubalika duniani kote manake hapepesi macho wala hamung'unyi midomo. Yeye hatafuti sifa bali anafanya na sifa ni kama icing on the cake. Sawa ndugu yangu Bongolander.
 
Last edited by a moderator:
Kama hayatuhusu kwa nini habari zenu za Rwandair mumezileta kwenye jukwaa la watanzania la JAMIIFORUMS huko kwenu Rwanda hamkuona forum ya kupeleka?

hahaaha. hawawezi kuanzisha forum kwa sababu ya hii facility ya kutumia majina bandia (anonymity) ndio maana hakuna forum huru HATA MOJA katika nchi inayojidai kuongoza ICT EAC! wanyarwanda wakiruhusiwa kuongea freely kama sisi tunavyofanya hapa JF kagame atajificha wapi? Forum yote itakuwa na mawazo ya "interahamwe, FDLR, RNC, genocidaires, BBC.....". Hata wakianzisha forum za kuzuga wenye akili hawataweza hata kutembelea humo...unaweza ukawekwa ndani kwa sababu tu umesoma "negative news".
 
The nation is badly divided in ethnic lines, it is only PK who maintains those lines in a secured way....all depends on his personal connections. Without him, it is very hard to see Rwanda as we see it now.

OK so Rwanda is a one man show government like North Korea where all singers including those in Rwanda compose songs to praise only one leader the president!!!!!!!

The problem is that, that kind of leadership is not sustainable and it can lead to the collapse of Rwanda once PK goes!
 
The more reasons that we will give him another term so that he can strengthen our institutions and hence never give a chance for akina jMali to come and destabilize us again. Vuteni pumzi bado mko nae for the foreseeable future. Mtamkubali tu mkiona mambo anayotufanyia hapa kwetu. Huyu ndio raisi kidume. Wakoloni wote wanamkubali na kumheshimu. Raisi gani hapa africa atakuwa na mtu kama Tony Blair, Bill Clinton kama mshauri wake. Naaaani? Kubali msikubali raisi wetu anakubalika duniani kote manake hapepesi macho wala hamung'unyi midomo. Yeye hatafuti sifa bali anafanya na sifa ni kama icing on the cake. Sawa ndugu yangu Bongolander.

Mkuu issue hapa sio kukubali au kutokubali. Kukubalika kimataifa may not mean a thing. Tulikuwa na Rais anayeitwa B Mkapa alikuwa darling wa west, lakini that is not what we cared. We care about what he did here at home. The thing is Bill Cliton haijui rwanda, na Tony Blair haijui Rwanda, wanyarwanda wanaijua Rwanda vizuri kuliko hao jamaa, tena wanaweza kutoa ushairi bila malipo na kwa uzalendo. You can buy Bill Clintons's and Blair's services with a buck.

The problem is watu hawataki kufikiri Rwanda bila Kagame as if Kagame is rwanda and Rwanda is kagame. Is he in possession of anti aging formula, or he will rule for ever and ever? I doubt that. Kwa sasa naona anafanya kazi vizuri, what about Rwanda after him? au Rwanda itakufa akiondoka.
 
Hongereni jirani zetu. Mmewastua hata kina MUNGIKI nimesafir na nyie Mara kadhaa 2 DXB, ACC & JNB mmetisha kama njaa huduma nzuri ajabu (punctuality, ground staff/service, MISOSI ya kutosha tena unarudia utakavyo, tabasamu mujarabu) Plus huduma mubashara cukilala Kigali. Asanteni.
 
Bombardier zingepewa hiyo certificate angeekuipokea nani vile na mitusi juu zaidi ya tetemeko...
 
WATANZANIA NI WANAFIKI WA KIWANGO CHA JUU, WALIIIPONGEZA RWANDAIR LAKINI SASA SERIKALI YAO IMENUNUA NDEGE 6 WANABEZA
 
Back
Top Bottom