RwandAir named among World's Safest Airlines

Hizo ndege toka zianze kusafiri angani zilishatengeneza faida au ni u-bishow tu wakati zinakula kodi ya wanyarwanda bure tu kwa kutafuta sifa za kuonekana wana ndege zinazoruka angani?

Mwenye published financial statements za Air RWANDA atuwekee hapa kabla ya kuvurumishia matusi Air Tanzania.

Akili ndogo...unajua maana ya break-even anaysis? Nyie hampendi kuumiza vichwa vyenu...nenda kajisomee halafu urudi hapa kwenye jukwaa la wasomi.
 
Akili ndogo...unajua maana ya break-even anaysis? Nyie hampendi kuumiza vichwa vyenu...nenda kajisomee halafu urudi hapa kwenye jukwaa la wasomi.

Kama ni break even analyisis au la usipate shida.Wewe tuwekee tu hizo audited published accounts za Rwandair hapa tokea Rwandair imeanza kama zipo na kama zilishawahi tolewa hadharani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tutazifanyia kazi wenyewe.

Hizo break even analyisis Tanzania ni somo dogo tu linasomwa na wanafunzi wa sekondari wanaochukua somo la uchumi au hesabu na vyuo vikuu ni topic ndogo tu ya mwaka wa kwanza.Kujua Break even analyisis wala sio kitu cha kuita cha kisomi!!!!!!
 
Lazima niifananishe Tz na Rwanda hawa wenzetu wamemaliza vita vya kuuana wenyewe kwa wenyewe juzi tu,lakini kwasababu wana kiongozi mzuri mambo yao yanakwenda vizuri...

sisi tujiita wabongo tunasaga chuma,ndio kwanza tunasika viongozi wanaiba huju ba kule ....

Bravo Kagame waonyeshe.......vipi mtawala anatawala

Unauhuru wa kuomba uraia
 
Kama ni break even analyisis au la usipate shida.Wewe tuwekee tu hizo audited published accounts za Rwandair hapa tokea Rwandair imeanza kama zipo na kama zilishawahi tolewa hadharani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tutazifanyia kazi wenyewe.

Hizo break even analyisis Tanzania ni somo dogo tu linasomwa na wanafunzi wa sekondari wanaochukua somo la uchumi au hesabu na vyuo vikuu ni topic ndogo tu ya mwaka wa kwanza.Kujua Break even analyisis wala sio kitu cha kuita cha kisomi!!!!!!

Tukuwekee wewe kama nani? Weka kwanza zenu za Air Tanzania (RIP) halafu na sisi tutaweka zetu.
 
Hizo ndege toka zianze kusafiri angani zilishatengeneza faida au ni u-bishow tu wakati zinakula kodi ya wanyarwanda bure tu kwa kutafuta sifa za kuonekana wana ndege zinazoruka angani?

Mwenye published financial statements za Air RWANDA atuwekee hapa kabla ya kuvurumishia matusi Air Tanzania.

Air Tanzania inakula pesa za kodi zetu, na bado ni uozo tu.
Hapo vipi,,???
 
RwandAir named among world's safest airlines - This Is Africa

Sifa zimwende Paul Kagame kathibitisha tukitaka tunaweza

I Salute Paul Kagame...

soldier-paul-kagame.jpg
 
Tukuwekee wewe kama nani? Weka kwanza zenu za Air Tanzania (RIP) halafu na sisi tutaweka zetu.

Ulianzishe wewe halafu utudai sisi.Onyesheni hesabu zenu tuone.

Basi tukupe vipande sasa.Katika mashirika yanayoendeshwa kifisadi na Kiharamia ni RWANDAIR.

RWANDAIR ni chaka la ufisadi wa viongozi wa rwanda na uharamia wa madini.Ukipanda Rwanda air ukiona inatoka Kigali inaelekea kampala, nairobi,Juba au mataifa ya nje ujue chini kwenye mizigo kuna madini ya wizi toka kongo!!! Zikirudi zinabeba silaha za kuwapa waasi wa Kongo!!!!
Ndege hiyo ni kama gari la majambazi ya Rwanda yaliyoko serikalini.
 
Sijaanzisha thread mimi ila nimekukuta wewe ukitokwa na povu kwa masuala ya nchi isiyokuhusu ikabidi nikuweke pahali pako. Yaaani ulivyokuwa na akili ndogo ina maana IATA inatoa tuzo hizo bila kufanya utafiti....wewe d.w.anzi kweli kweli
 
Ulianzishe wewe halafu utudai sisi.Onyesheni hesabu zenu tuone.

Basi tukupe vipande sasa.Katika mashirika yanayoendeshwa kifisadi na Kiharamia ni RWANDAIR.

RWANDAIR ni chaka la ufisadi wa viongozi wa rwanda na uharamia wa madini.Ukipanda Rwanda air ukiona inatoka Kigali inaelekea kampala, nairobi,Juba au mataifa ya nje ujue chini kwenye mizigo kuna madini ya wizi toka kongo!!! Zikirudi zinabeba silaha za kuwapa waasi wa Kongo!!!!
Ndege hiyo ni kama gari la majambazi ya Rwanda yaliyoko serikalini.

Ebwana wee...kweli is mchezo! Kwa hiyo kwa sababu msanii in chief na masela wake wa kichina wamewaingiza mjini na pembe za ndovu kwa kutumia ndege za kichina na vile viumbe hai kwa kutumia ndege za kiarabu basi mmeona hata mafanikio ya Rwandair yatakuwa yanatokana na michezo yenu ya kijanja janja? Hayo mambo yenu yakuponda pasipo, na wivu wakijinga ndio yanayowafanya muishie kulogana au kuuwa mazeluzelu eti kisa utajiri...sio mpaka uroge ndio ufanikiwe! Mikakati ya kueleweka na wema katika utendaji vyaweza kukufikisha mbali bila hata kuuwa zeluzelu!!!
Tena kuna ndugu yako anaitwa jMali naona kachelewa lakini punde atawasili na sumu zake...yeye ndiyo balaa, usije shangaa akianza kusema wahutu hawaruhusiwi kupanda Rwandair, au kuna chumba cha kunyonga wahutu kwenye ndege na kuwatupia hewani kupoteza ushahidi na tena na tena na tena... Yani nyie wanga mna tabu kweli.
Kwa style hii mnayoonyesha (roho ya korosho) mtamalizana kwa uchawi, haibu tupu karne ya 21 yani nyie bado tu? nashauli hata mazeluzelu wote waje kuomba ukimbizi Rwanda.
 
haibu tupu karne ya 21 yani nyie bado tu? nashauli hata mazeluzelu wote waje kuomba ukimbizi Rwanda.

Angalia hapo penye nyekundu.Na wewe ni wale wale wakimbizi haramu toka Rwanda waliojificha vyooni Kagera!!! kaa chonjo operation hamisha wahamiaji haramu haijaisha.Shauri yako.
 
Ulianzishe wewe halafu utudai sisi.Onyesheni hesabu zenu tuone.

Basi tukupe vipande sasa.Katika mashirika yanayoendeshwa kifisadi na Kiharamia ni RWANDAIR.

RWANDAIR ni chaka la ufisadi wa viongozi wa rwanda na uharamia wa madini.Ukipanda Rwanda air ukiona inatoka Kigali inaelekea kampala, nairobi,Juba au mataifa ya nje ujue chini kwenye mizigo kuna madini ya wizi toka kongo!!! Zikirudi zinabeba silaha za kuwapa waasi wa Kongo!!!!
Ndege hiyo ni kama gari la majambazi ya Rwanda yaliyoko serikalini.

East African Eagle, hebu nyamaza unatuaibisha!!
Obviously huna unachokijua kuhusu mambo ya Airline. Unaandika kama vile unatuwakilisha watanzania wote!
Aibu ni kwamba unaandika ----- mtupu.

Hongereni waRwanda kwa kujikukumua. Mtajua mbele ya safari kama dili lenu ni zuri au la. At least mmejaribu. Kwa nchi ilyoanza kujipanga miaka michache tu nyuma, mmevuta hatua.

East African Airways ilikufa 1977.
Kenya wana shirika kenye ndege za kisasa zaidi ya 30. Wanaruka karibu anga zote.....
Je mkuu EA eagle kwetu tuko wapi??

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Nawasifu waRwanda!!
 
East African Eagle, hebu nyamaza unatuaibisha!!
Obviously huna unachokijua kuhusu mambo ya Airline.

Yaani kuomba tupewe financial reports za Rwandair unasema naabisha? Utajuaje Airline inafanya vizuri bila kuwa na financial reports zake? Kama ni kukuaibisha narudia tena tuwekeeni financial reports za Rwandair hapa tuone kama hiyo Airline inayofanya vizuri au inakula hela tu za walipa kodi wa kinyarwanda.Hela ambazo zingeenda fanyia maendeleo miji mingine zaidi ya kigali.

Airline kufanya vizuri si kuonekana tu inaruka uwanja wa kigali na kupaa hewani kama mwanga.Onyesheni reports.

Weka reports zake hapa
 
Hizo ndege toka zianze kusafiri angani zilishatengeneza faida au ni u-bishow tu wakati zinakula kodi ya wanyarwanda bure tu kwa kutafuta sifa za kuonekana wana ndege zinazoruka angani?

Mwenye published financial statements za Air RWANDA atuwekee hapa kabla ya kuvurumishia matusi Air Tanzania.

MCHAMBAWIMA
hebu njooo huku..kuna jmali mwingine huku..hebu ni kuulize we east tanzanian..kilicho ongelewa hapo ni faida au safety??...soma vizuri...hili ndilo tatizo la watu wenye wivu na chuki kwa wanyarwanda yani kwao hakuna kizuri cha wanyarwanda.
 
Kama ni break even analyisis au la usipate shida.Wewe tuwekee tu hizo audited published accounts za Rwandair hapa tokea Rwandair imeanza kama zipo na kama zilishawahi tolewa hadharani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tutazifanyia kazi wenyewe.

Hizo break even analyisis Tanzania ni somo dogo tu linasomwa na wanafunzi wa sekondari wanaochukua somo la uchumi au hesabu na vyuo vikuu ni topic ndogo tu ya mwaka wa kwanza.Kujua Break even analyisis wala sio kitu cha kuita cha kisomi!!!!!!
kutoa audited accounts si lazima..kua imekubaliwa ku fly duniani kote hiyo ni achievement kubwa kwa rwanda ukizingatia ilipotoka ukilinganisha na nchi ambazo hazijawahi kukosa amani kama tanzania nazingine nyingi..hii nayo inaonyesha jinsi rwanda ilivyo na uongozi bora,faida katika airline maranyingi hupatikana in long term siyo short term lakini in short time kuna inderect benefits like..katika sector ya utalii,mahotel,wafanyabiashara binafsi nk..kwani wanarahisishiwa katika usafili tena inatangaza jina la rwanda vizuri,imagine nchi zenye mashirika ya ndege yaliyo kufa..unategemea mtu wa nje anazionaje hizo nchi?mara nyingi inaonyesha poor management na corruption iliyo jaa katika system ya utawala wa nchi nzima,na ndio mwisho wake mna attract watega uchumi majizi,lakini kwa rwanda hao watu hawawezi thubutu. Kutokana na mafanikio haya yalio wazi kwani every success kuna kuna mtu nyuma yake na ni jenerali Paul Kagame"there is a line u can not cross_Uki cross unabamizwa".
 
wafanyabiashara binafsi nk..kwani wanarahisishiwa katika usafili.

Hao wafanyabiashara binafsi wanarahizishiwa usafiri kwa gharama ya nani? mlipa kodi maskini wa Rwanda? Ndio maana shirika la ndege la RWANDAIR ni lazima kupata mahesabu yake ndio tutajua kama sio SUCKING GIANT ya walipa kodi masikini wa Rwanda au la.

Porojo zingine za sijui IATA au nani kuwa ndege za Rwanda ni ndege bora zilizo salama sijui nini hizo ni poda tu kwenye uso wa ndege na hina kwenye vidole vya ndani ya ndege.Cha muhimu hilo shirika linazalisha faida au ni mlaji tu wa kodi za wananchi maskini wa Rwanda ili kuliendesha?
 
Kwenye uzi huu baadhi yetu tunaonesha uj!nga na upumba^u. Hakuna mahali ilipoandikwa Safest....imeandikwa among safest. Kitu ambacho kwa maoni yangu ni jambo zuri sana.

Uj!nga ninaouona ni ule unaonesha kuwa Air Tanzania ni unsafe. Unsafe to whose defination. Jaribu kutafuta takwimu za most unsafe airlines kama ATC ipo.

East Africa so far kuna airline moja tu nayo Kenya Airways, this is airline by all definitions from fleet, destinations, history, expertise etc etc etc. Kuna air operators wengine wenye bahati ya kuwa flag bearers (ATC included ambayo imejaa wezi), wenye ndege moja, mbili au tano wenye three or four destinations, hao wapo wapo tu wanaishi, huwezi hata kuwaweka kwenye rekodi ya usalama kwa kuwa hawajafikia milage inayoweza kuwaingiza kwenye kundi hilo.

I do sense some kind of blind nationalism from some comments..
 
Kwanza kwa uzembe na rushwa iliyojaa bongo sidhani kama hata hizo ndege zinaangaliwa nis siku zitadondoka kwenye mapaa ya watu
 
Back
Top Bottom