kIKWETE ASIFIWE KWA KUWATANDIKA M23 waliokuwa wakitumika kuiba madini kongo yaliyotumika kuanzisha RWANDAIR ambayo ilipewa jukumu la kusafirisha madini ya wizi ya kongo kupeleka nchi zingine kuyauza kwa maharamia wanunuzi wa madini na hela zake kuwekwa kwenye akaunti za viongozi wa Rwanda.
Wabongo bana ni wivu sana sa wenzenu Rwanda wanapiga hatua nyie mmebaki kupiga kelele tu, hebu nielezeni Tanzania ina ndege:becky:
Ifike hatua Watanzania tuone maendeleo wanayopata ndg zetu na jirani zetu, tuwape pongezi na tuombe viongozi wetu waige mfano. Ni juzi tu Rwanda walikua kwenye civil war (Genocide) uchumi wao ukaporomoka kwa asilimia kubwa sana, lakini hivi sasa wana uvlchumi unaokua kwa kasi, hii ni kwa sababu wameweza ku identify key areas za resources walizonazo na kuzitumia vizuri. Hivi sasa kuna baadhi ya nchi pato lake kubwa linategemea usafiri wa anga, mfano Ethiopia, Holland, Germany, UAE, Malaysia na nyinginezo, vipi kuhusu Tanzania? Sisi ni nchi pekee East Africa tusiokua na kampuni ya ndege inayoeleweka, Kenya, Rwanda, Uganda, Rwanda na sasa hata Burundi wanaanza kuja kwa kasi. WE NEED TO CHANGE. Pongezi za dhati kwa Rwanda na Raisi wake Paul Kagame. Yeye ni mfano kwetu wengine.
dogo hizo ni akili zilizo pitwa na wakati hakuna nchi ikanzisha shirika la ndege bila kula hasara, lazima ufahamu sababu ya kula hasara ni sababu ya kununua ndege mpya. FYI Rwandair will double its fleet in the next five years na kwa speed wanayo kwenda nadhani by 2020 hakuna Airline za east and west africa watawafikia:becky:rwandair has been making loss since ilivyoanzwa ila ni right step in right direction, maana sie hapa bongo tuna abiria kibao lakin tunaleta mashirika ya nje kufanya biashara ya ndege cjui fast jet etc alafu tunashangilia kabisa jiran zetu hawawez kuruhus upuuz wa kuleta wazungu kufanya biashara kama hii inasikitisha hata malawi sasa wana ndege zao cjui sie tumelogwa na nani!!!
Financial statement needed
Ndugu Wapendwa
Labda kabla ya kuongelea oohh atcl ooh rwandair tujiulize nini maana ya word safest airline
Kuanzia hapa tunaanza kuuliza sasa fin statement nk...
Any airline ilioko na IOSA CERTFICATE is among world safest airline in the world
Tujiulize je ATCL INA IOSA CERTFICATE🙂
JIBU NI NDIO.......UNAWEZA KU GOOGLE NA KUPATA HILI
WHAT IS iosa
Iosa
international org safety association
QUOTE]
Pdidy... Usidanganye watu, acronym ya IOSA maana yake ni:-
IATA Operational Safety Audit.
Kimsingi, inamaanisha shirika linafuata mienendo na utekelezaji shughuli zake kwa vigezo vinavyo wekwa na kusimamiwa na IATA.
( International Air Transport Association)
Iosa
international org safety association
QUOTE]
Pdidy... Usidanganye watu, acronym ya IOSA maana yake ni:-
IATA Operational Safety Audit.
Kimsingi, inamaanisha shirika linafuata mienendo na utekelezaji shughuli zake kwa vigezo vinavyo wekwa na kusimamiwa na IATA.
( International Air Transport Association)
NA ATCL NI MOJAWAPO MKUU
Hivi sasa kuna baadhi ya nchi pato lake kubwa linategemea usafiri wa anga, mfano Ethiopia, Holland, Germany, UAE, Malaysia na nyinginezo, vipi kuhusu Tanzania? .
Rwandair is not a listed company you dimwi...onyesha na wewe za hiyo kampuni yako uliyoenda kufunga ofisi kigali ukakosa soko hence your hatred towards rwandese.
We pimbi mashirika ya umma kote duniani yanakaguliwa na CAG na hesabu zake zinakuwa wazi, mfano ATCL, kenya Airways, SAA, ethiopian airlines etc. Rwandair ni mali ya kagame au Rwanda? Kwa nini hakuna statements zozote toka shirika lianzishwe and yet ni mali ya umma?