Somoche
Platinum Member
- Oct 6, 2010
- 7,040
- 9,661
Huelewi ninachoeleza. Nyie wanyarwanda jaribuni kutofautisha kati ya mtu na taifa. Kagame na Rwanda. Rwanda inahitaji mfumo au taasisi yenye nguvu au madhubuti Bali si mtu imara.... maana mtu atapita lkn nchi itabaki. Kagame atapita lkn Rwanda itabaki.
Hapa Tanzania kuna Taasisi imara??!! nitajie moja tu, mfumo hujengwa na watu mfumo wa kuwa na hizo Taasisi imara lazima uandaliwe kwa kuonyesha mfano kwanza, kwa rushwa hizi hapa Afrika usitegemee unaweza kujenga Taasisi imara bila kwanza kuwa na kiongozi imara ni vigumu, kwa kipindi cha nyerere kulikua na Taasisi gani imara, yeye alianza kama yeye na wenzie wakaijenga hii nchi kwa jsho na damu, mpaka hapa tulipo hata ile Mhimbiri ni nyerere kama sio yeye leo hii hatuna hosptali kubwa kama ile ndio ujue mtu pia ni mhimu..kwa Afrika bado sana kutegemea mfumo...