Rwandair kuleta b737/800 dar kgl dar usd 180 tu!!


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,067
Likes
7,891
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,067 7,891 280
Katika kuanza kutangaza ndege mpya ya b737/800
habari nilizozipata hivi punde kampuni ya ndege ya rwandair wanatarajia
kuleta ndege yao tar 19sep2011tanzania katika kuitangaza ukanda wa africa mashariki
habari zaidi zinasema katika kuhakikisha watu wanakuwa na ufahamu wa ndege hii mpya
wameamua kupunguza bei maalum wka siku hiyo tu kwa doller 180 yaani usd return
ukisafiri siku hiyo unatakiwa ndani ya siku 30 uwe umesharudi hii ni wwakati mzuri
kwa wale wanaosafiri mara kwa mara na wakati ndio huu jamani unachotakiwa kufanya
ni kukata tkt na kusafiri tar 19 sep 2011 na kurudi ndan ya siku 30

kwa habari zaidi
wasiliana na 0717 29 49 48

fly with rwandair
 
Aza

Aza

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2010
Messages
1,684
Likes
41
Points
145
Aza

Aza

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2010
1,684 41 145
iyo ndo namba ya ofisi zao au?
VAT inclusive au exlcusive
 

Forum statistics

Threads 1,215,045
Members 463,005
Posts 28,533,390