Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
Red tabara wakiwa serious wakafanya uvamizi mmoja wa nguvu saana na kwa kushtukiza wanachukua nchi
'waha' wenyewe Red tabara inawatoa jasho kila Mara mabomu ya hapa na pale hayaishi Mara yanarushwa mtaani,kwny airport,kwny vituo vya mabus [emoji16][emoji16] wako dhoofu bin Khali.