Rwanda Vs Uganda nani atashinda Vita?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
6,404
2,000
Vikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?

Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo

Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle

Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?

Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!

Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana

Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120

Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,152

Hata sijui lengo lako ni lipi hasa!! Je, umetumwa kuwatisha Waganda na Watanzania au??
 
chikanu chikali

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
1,090
2,000
Vikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?

Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo

Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle

Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?

Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!

Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana

Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120

Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
israel vs Arabs kwenye 6 days war nani alishinda? Baada ya hapo naleta majibu
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
7,989
2,000
Rwanda aliipiga mara 3 Uganda kwny kisangani war,maelfu ya wanajeshi wa Uganda waliuwawa na mageneral wa jeshi la Uganda walitekwa wakapelekwa Rwanda baadae wakapandishwa ndege from Kanombe to Kampala kwa aibu Sana,Kagame alishakua CMI(Chief of Military Intelligence) wa Jeshi la Uganda anawafahamu Uganda nje ndani yaani kifupi wanajeshi wengi walioko kwny jeshi la Rwanda RDF(Seniors) walilitumikia jeshi la Uganda tangu likiwa Msituni wakiwa waasi wakiitwa NRA mpk Sasa wanaitwa UPDF kwa hio wanalijua nje ndani.

Mwisho wa siku Hawa hawatapigana,watafanyiana vitimbi vya kuchokonoana kiinteligensia then ndo basi tena.
 
MTZ 255Dar

Senior Member
Sep 25, 2018
140
250
Bajeti hua sio kipimo sahihi,angalia Vietnam vs US Nani alishinda na bajeti zao zilikuaje.Hapo nyuma hua Kuna washirika Wana support vita kulingana na interest zao zikoje.
Marekani hakushindwa Vita Vietnam,aliyeshindwa Vita Vietnam Ni Wanasiasa wa Marekani waliorudisha majeshi Nyuma ili waweze kuchaguliwa. Hata Afghanstan tunaambiwa Marekani Kashindwa Vita,Lakini aliyeshindwa Vita Afghanstan Ni Rais Joe Biden na Wala Sio Jeshi la Marekani. Jeshi la Marekani lilikuwa na uwezo wa kuendelea kuikalia Afghanstan hata kwa miaka mingine 20 endapo Wanasiasa wasingeliingiza Jeshi kwenye kampeni zao za Kisiasa za kutafuta Kura. Kwahiyo uwe unatofautisha vitu hivyo.
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
12,027
2,000
Bajeti hua sio kipimo sahihi,angalia Vietnam vs US Nani alishinda na bajeti zao zilikuaje.Hapo nyuma hua Kuna washirika Wana support vita kulingana na interest zao zikoje.
Vietnam Vs US siyo kipimo sahihi kwani hawakuwa wanapigana ana kwa ana, bali US ilikuwa inasafiri umbali mrefu sana kwende kupigana. Ni tofauti na kupigana kutoka Kigali kwenda kampala.

Ninavyojua, kagame amewekza sana kwenye jeshi nadhani kuliko Mseveni, kwa hiyo inawezekana Jeshi la Rwanda ni kubwa sana na lina vifaa sana kuliko Uganda. Rwanda imeneemekea sana na madini ya coltan kutoka Congo, na imekuwa inatumia karibu 40% ya faida hiyo kijeshi, na ile nyingine ndiyo inayojenga miundo mbinu.
 
Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
7,794

Nani kakudanganya mu7 hajawekeza kwenye jeshi!kaangalie ndege zake za kivita tu hamna anaemiliki ukanda wote huu wa nchi za maziwa makuu
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
7,989
2,000
Vietnam Vs US siyo kipimo sahihi kwani hawakuwa wanapigana ana kwa ana, bali US ilikuwa inasafiri umbali mrefu sana kwende kupigana. Ni tofauti na kupigana kutoka Kigali kwenda kampala.

Ninavyojua, kagame amewekza sana kwenye jeshi nadhani kuliko Mseveni, kwa hiyo inawezekana Jeshi la Rwanda ni kubwa sana na lina vifaa sana kuliko Uganda. Rwanda imeneemekea sana na madini ya coltan kutoka Congo, na imekuwa inatumia karibu 40% ya faida hiyo kijeshi, na ile nyingine ndiyo inayojenga miundo mbinu.
Siwezi kubishana Sana khs Hilo,ingawa ukweli Ni kwamba hata Kampuni kubwa kubwa nyingi Rwanda Zina mkono wa jeshi kuanzia za kujenga mabarabara,za Maziwa na ma hotel etc.

BTW Juzi nimeona Rwanda wamenunua 12 drones model ya TB2 kutoka Turkey.Naona Ile vita ya Azerbaijan and Armenia drone za turkey zime prove ufanisi kwny kuleta ushindi kwa Azerbaijan na demand yake imeongezeka sokoni.
 
wilmar

JF-Expert Member
Nov 27, 2018
224
500
Vikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?

Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo

Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle

Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?

Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!

Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana

Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120

Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
Mkuu both teams to score GG inatoa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom