wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,832
Kwa lugha nyepesi kwa wasiolewa mikeka mkuu?Mkuu both teams to score GG inatoa
Kwa lugha nyepesi kwa wasiolewa mikeka mkuu?Mkuu both teams to score GG inatoa
Kwa Zana za Anga Basi US,Russia wangekua wanamaliza vita ndani ya dk. 0 tu.Zana za anga za kivita, ni nani anavyo vingi?
😄😄😄 Basi tufanye US ilishinda Vita ya Vietnam,Russia iliwashinda Muhajidina huku USA ikiwashinda Taliban 😄😄Marekani hakushindwa Vita Vietnam,aliyeshindwa Vita Vietnam Ni Wanasiasa wa Marekani waliorudisha majeshi Nyuma ili waweze kuchaguliwa. Hata Afghanstan tunaambiwa Marekani Kashindwa Vita,Lakini aliyeshindwa Vita Afghanstan Ni Rais Joe Biden na Wala Sio Jeshi la Marekani. Jeshi la Marekani lilikuwa na uwezo wa kuendelea kuikalia Afghanstan hata kwa miaka mingine 20 endapo Wanasiasa wasingeliingiza Jeshi kwenye kampeni zao za Kisiasa za kutafuta Kura. Kwahiyo uwe unatofautisha vitu hivyo.
😄😄 Sukhoi su-30s zile zinarushwa na instructors warusi,nje ya hapo waganda hawafanyi kitu na sukhoi.Nani kakudanganya mu7 hajawekeza kwenye jeshi!kaangalie ndege zake za kivita tu hamna anaemiliki ukanda wote huu wa nchi za maziwa makuu
Tunawauzia na Chakula,Magu alisemaga.H
Halafu kunakwenda kutoa huduma ya kwanza
Huyu anayesema Tz vs Rwanda jasho litatutoka hivi haya si matusi mkuu kwa tpdf?Rwanda aliipiga mara 3 Uganda kwny kisangani war,maelfu ya wanajeshi wa Uganda waliuwawa na mageneral wa jeshi la Uganda walitekwa wakapelekwa Rwanda baadae wakapandishwa ndege from Kanombe to Kampala kwa aibu Sana,Kagame alishakua CMI(Chief of Military Intelligence) wa Jeshi la Uganda anawafahamu Uganda nje ndani yaani kifupi wanajeshi wengi walioko kwny jeshi la Rwanda RDF(Seniors) walilitumikia jeshi la Uganda tangu likiwa Msituni wakiwa waasi wakiitwa NRA mpk Sasa wanaitwa UPDF kwa hio wanalijua nje ndani.
Mwisho wa siku Hawa hawatapigana,watafanyiana vitimbi vya kuchokonoana kiinteligensia then ndo basi tena.
Overall Kwa EA TPDF Ni superior mkuu.Huyu anayesema Tz vs Rwanda jacho litatutoka hivi haya si matusi mkuu kwa tpdf?
Au tunajioverrate bure?
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi..kumbe hata Kenya ni kelele tu sio na KDF yao..Overall Kwa EA TPDF Ni superior mkuu.
Wanajeshi wa tangu 1980s ndio unasema wanajulikana na siri zao zinajulikana. Ukishajua Uganda wana Su-30 fighters na Mil Mi-24 attack helicopters ndio unashinda vita bure?Rwanda aliipiga mara 3 Uganda kwny kisangani war,maelfu ya wanajeshi wa Uganda waliuwawa na mageneral wa jeshi la Uganda walitekwa wakapelekwa Rwanda baadae wakapandishwa ndege from Kanombe to Kampala kwa aibu Sana,Kagame alishakua CMI(Chief of Military Intelligence) wa Jeshi la Uganda anawafahamu Uganda nje ndani yaani kifupi wanajeshi wengi walioko kwny jeshi la Rwanda RDF(Seniors) walilitumikia jeshi la Uganda tangu likiwa Msituni wakiwa waasi wakiitwa NRA mpk Sasa wanaitwa UPDF kwa hio wanalijua nje ndani.
Mwisho wa siku Hawa hawatapigana,watafanyiana vitimbi vya kuchokonoana kiinteligensia then ndo basi tena.
Kwanza Kenya ktk majeshi yako very indiscipline kwa East Africa nadhani la kwanza Ni Jeshi la Burundi then linafuata La Kenya,hata wapewe vifaa gani pale Ni bure kabisa.Safi..kumbe hata Kenya ni kelele tu sio na KDF yao..
No wonder operations nyingi za kimataifa mkono wa tpdf unakuwa na umuhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point yako ni Nini?Wanajeshi wa tangu 1980s ndio unasema wanajulikana na siri zao zinajulikana. Ukishajua Uganda wana Su-30 fighters na Mil Mi-24 attack helicopters ndio unashinda vita bure?
Rwanda sio wazembe ila hii sio point. Ni sawa na kusema Tanzania itaishinda Angola kwa kuwa tuliwahi toa support kwenye vita yao na makaburu
Hizo Bairaktar TB2 zinauzwa bei ndogo sijui kama Turkey hawatazipandia bei maradufu. Zina bei ndogo kiasi kwamba vichaa wa procurement kama Egypt wakinunua wanaweza chukua units hata 200 kwenye planned budget ileile. Na hazina masharti magumu kwa wanunuzi, unless supplier wa components kama Canada waweke vizuiziSiwezi kubishana Sana khs Hilo,ingawa ukweli Ni kwamba hata Kampuni kubwa kubwa nyingi Rwanda Zina mkono wa jeshi kuanzia za kujenga mabarabara,za Maziwa na ma hotel etc.
BTW Juzi nimeona Rwanda wamenunua 12 drones model ya TB2 kutoka Turkey.Naona Ile vita ya Azerbaijan and Armenia drone za turkey zime prove ufanisi kwny kuleta ushindi kwa Azerbaijan na demand yake imeongezeka sokoni.
Rwanda haiifahamu Uganda kisa Kagame aliwahi kuwa CMI. Mambo mengi yamebadilika tangu miaka Kagame yuko Uganda. Hapo kuna seniors kibao wamestaafu na wamebadilishwa majukumu. Hata hivyo ukijua taarifa na huna namna ya kuzichakata hazikufai kitu. Rwanda itajua airbase za Uganda zilipo, ishambulie sasa kwa kutumia nini?Point yako ni Nini?
Jua hivi Kampala ilikamatwa na 1st, 7th, 11th, 13th, 19th, and 35th battalions ambazo hizo zote zilikua chini ya wanyarwanda, Sasa hapo sijui location ya Kampala itakua imebadilika?BTW Kampala ilikamatwa na hao wkt M7 akiwa zake Sweden ilikokua familia yake.Rwanda haiifahamu Uganda kisa Kagame aliwahi kuwa CMI. Mambo mengi yamebadilika tangu miaka Kagame yuko Uganda. Hapo kuna seniors kibao wamestaafu na wamebadilishwa majukumu. Hata hivyo ukijua taarifa na huna namna ya kuzichakata hazikufai kitu. U
Rwanda itajua airbase za Ugandana zilipo, ishambulie sasa kwa kutumia nini?
So far Morocco wanazo 13,Ethiopia nao wameagiza kadhaa,Rwanda wameagiza 12 etc hizi nyingine Ni story za kanyabazongo.Hizo Bairaktar TB2 zinauzwa bei ndogo sijui kama Turkey hawatazipandia bei maradufu. Zina bei ndogo kiasi kwamba vichaa wa procurement kama Egypt wakinunua wanaweza chukua units hata 200 kwenye planned budget ileile. Na hazina masharti magumu kwa wanunuzi, unless supplier wa components kama Canada waweke vizuizi
'waha' wenyewe Red tabara inawatoa jasho kila Mara mabomu ya hapa na pale hayaishi Mara yanarushwa mtaani,kwny airport,kwny vituo vya mabus 😁😁 wako dhoofu bin Khali.Ya Rwanda na Uganda, watajuana wenyewe. Ila ikitokea Rwanda wakajichanganya kwa TZ, wataenda kusimuliana huko Jehanam.
Tutapeleka vifaa kadhaa hapo Kigoma, then tunawaachia ndugu zetu "Waha" kazi ya kumnyoosha Kagame, huku mikoa yetu mingine ikiendelea na shughuli mbalimbali za ujenzi wa taifa!
Na tunavyozitamani pisi zao, wajichanganye tu!
Unaongea pumba.Vikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?
Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo
Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle
Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?
Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!
Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana
Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120
Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?