wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,835
Baba aliyewekwa madarakani na watoto wake Muda huo ye Yuko zake Sweden akikata uno.Unaongea pumba.
Kwanza Rwanda hawezi kuchapana na baba yake M7.
Pili huku kwetu anajua shughuli iliyopo .
Baba aliyewekwa madarakani na watoto wake Muda huo ye Yuko zake Sweden akikata uno.Unaongea pumba.
Kwanza Rwanda hawezi kuchapana na baba yake M7.
Pili huku kwetu anajua shughuli iliyopo .
Kagame na M7 wote walikua msituni baada ya kutoka tz,wakizichapa dhidi ya jeshi la Uganda.uko Sweden imekaaje hiyo?Baba aliyewekwa madarakani na watoto wake Muda huo ye Yuko zake Sweden akikata uno.
Familia ya M7 ilikua inaishi Sweden muda huo,so muda mwingi alikua anautumia huko.So hata wkt Kampala inakamatwa hakuwepo, aliyekua boss wa majeshi ya Uganda Gen. Tumwine nae hakuwepo pia alikua Nairobi Kenya kwny matibabu tangu 1983 mpk 1986 Kampala inatwaliwa,nchi ilikamatwa chini ya Deputy Army Commander Rwigyema (Munyarwanda).Kagame na M7 wote walikua msituni baada ya kutoka tz,wakizichapa dhidi ya jeshi la Uganda.uko Sweden imekaaje hiyo?
Rwanda walitokea Uganda kwenda kuchukua nchi. Wamelelewa uko na hii sioni kama inaifanya wawe inferior kwa Uganda. Sisi tuliishikilia Uganda baada ya kumtoa Iddi Amin, bado Museveni huyo alitokea hapa na mafunzo alikuwa anapewa. Hii inatuongezea point gani kwenye medani tukikutana sasa.Jua hivi Kampala ilikamatwa na 1st, 7th, 11th, 13th, 19th, and 35th battalions ambazo hizo zote zilikua chini ya wanyarwanda, Sasa hapo sijui location ya Kampala itakua imebadilika?BTW Kampala ilikamatwa na hao wkt M7 akiwa zake Sweden ilikokua familia yake.
Wanyarwanda kwny jeshi la Uganda wameondoka officially 1995,baada ya hapo Hali ikawa tete huko Entebbe, Jinja na Kampala ikabidi M7 awaombe wanajeshi wa Rwanda(RPA) warudi kumsaidia kutuliza Hali,ikabidi vikosi vitumwe chini ya Maj. Alex Kagame(usimchanganye na Paul Kagame) akiwa na kikosi cha artillery na anti-aircraft wakapigana na kuikamata Entebbe airport,eneo lenye rada la Nsamizi,Owen Falls Dam, Kule Lugazi kwny Viwanda vya sukari etc wakashikilia hayo maeneo kwa miezi 12 Hali ilipotulia wakayakabidhi kwa serikali ya Uganda.
Hata kikosi Cha ulinzi Cha M7 kulikua chini ya wanyarwanda wakina Captain Charles Muhire(OPTO) and Captain Charles Ngoga, the PPU Commander (OC).
Kifupi tu,nimetaka nikuonyeshe RDF Wanaijua Uganda nje ndani.
😁😁😁 Sijaelewa hata ulichokiandika aisee.Rwanda walitokea Uganda kwenda kuchukua nchi. Wamelelewa uko na hii sioni kama inaifanya wawe inferior kwa Uganda. Sisi tuliishikilia Uganda baada ya kumtoa Iddi Amin, bado Museveni huyo alitokea hapa na mafunzo alikuwa anapewa. Hii inatuongezea point gani kwenye medani tukikutana sasa.
Kwani nani hajui viwanja vya jeshi, kambi, viwanda, vituo vya umeme, madaraja, maghala na location muhimu zilipo. Sote tunajua New York, Fort Knocks, Andrews Airbase zilipo. Kwenye mapigano ni habari nyingine
Kitendo cha kukaa kule kwa miaka 20 na kutumia matrilioni ya dola bila ya mafanikio yoyote ndio kushindwa kwenyewe huko mkuu. Kitendo cha kupelekeshwa miaka yote hiyo na kuspend matrilioni kwa nchi ambzo umeziacha mbali mno kiuchumi, kiteknolojia, kijeshi na kiushawishi sasa hiyo ndio defeat yenyewe bro.Don't mess with Afghans and ViatnameseMarekani hakushindwa Vita Vietnam,aliyeshindwa Vita Vietnam Ni Wanasiasa wa Marekani waliorudisha majeshi Nyuma ili waweze kuchaguliwa. Hata Afghanstan tunaambiwa Marekani Kashindwa Vita,Lakini aliyeshindwa Vita Afghanstan Ni Rais Joe Biden na Wala Sio Jeshi la Marekani. Jeshi la Marekani lilikuwa na uwezo wa kuendelea kuikalia Afghanstan hata kwa miaka mingine 20 endapo Wanasiasa wasingeliingiza Jeshi kwenye kampeni zao za Kisiasa za kutafuta Kura. Kwahiyo uwe unatofautisha vitu hivyo.
Watu wanaamuaga kubisha tu ili waonekane wajuaji mkuu.Kitendo cha kukaa kule kwa miaka 20 na kutumia matrilioni ya dola bila ya mafanikio yoyote ndio kushindwa kwenyewe huko mkuu. Kitendo cha kupelekeshwa miaka yote hiyo na kuspend matrilioni kwa nchi ambzo umeziacha mbali mno kiuchumi, kiteknolojia, kijeshi na kiushawishi sasa hiyo ndio defeat yenyewe bro.Don't mess with Afghans and Viatnamese
CMI wa miaka karibu 30 iliyopita... hakuna relevance na leoKagame alishakua CMI(Chief of Military Intelligence) wa Jeshi la Uganda
Hakuna ya msingiVikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?
Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo
Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle
Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?
Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!
Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana
Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120
Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
Bangi nibangue.CMI wa miaka karibu 30 iliyopota... hakuna relevance na leo
Wanatongozwa wanakataa kataa siyo...Wadundane waishie huko huko,, safari hii hatutaki wakimbizi wa kitusi, tunawahifadhi alafu wanatuletea nyodo qumamaae zao,
Waachie wenye uelewa wataelewa. UsilazimisheSijaelewa hata ulichokiandika aisee.
Jamaa anachukulia jeshi kama kiwanja hakibadiliki. Six Days war ilitokea 1967 Israel akashinda within a week akipigana na Waarabu nchi nne, nyingine zilisaidia indirectly.CMI wa miaka karibu 30 iliyopota... hakuna relevance na leo
Watu wanaongea sana.... they dont know the science, theory wala history of war.Jamaa anachukulia jeshi kama kiwanja hakibadiliki. Six Days war ilitokea 1967 Israel akashinda within a week akipigana na Waarabu nchi nne, nyingine zilisaidia indirectly.
Mwaka 1972 Egypt na Syria pekee zikaanzisha vita tena. Hiyo vita ilikuwa tofauti kabisa kabisa ya 1967 wakati Israel inajua kila kitu kuhusu maadui zake. Tofauti ya miaka mitano ilileta mabadiliko makubwa.
Au kama vipi aangalie tofauti kati ya WW1 na WW2 ambazo zilipishana miaka 21. Tofauti kubwa mno hata allies wenyewe walibadilika. Ukitoka WW2 1945 njoo Cold War inaanza rasmi 1961 pale watu washabadilika kabisa. Miaka 30 kijeshi ni mingi kubaki na intelijensia ileile
Umeona, sema kipindi kile na sasa kuna utofauti kidogo. Idd Amin katika ile vita alikuwa kapiga mpaka maeneo ya Bukoba. Pale Kyaka bado kuna gofu la kanisa lilopigwa na wajomba wa UG.Ila kuna jambo ambalo nasikia katika vita inayohusisha taifa na taifa kwamba kabla ya vita kuna mikataba inasainiwa na moja ya mambo mnayokubaliana ni silaha ambazo zitatumika ila kama hili sio kweli basi Rwanda na udogo wao Mganda akizubaa anaweza pigwa kitu kizitoKumbuka vita vya Kagera tuliponea chupuchupu, Rwanda itatandikwa kama mtoto mdogo.
Nachokiona hapa ni Watusi Kujaribu Kujipa ujikoVietnam Vs US siyo kipimo sahihi kwani hawakuwa wanapigana ana kwa ana, bali US ilikuwa inasafiri umbali mrefu sana kwende kupigana. Ni tofauti na kupigana kutoka Kigali kwenda kampala.
Ninavyojua, kagame amewekza sana kwenye jeshi nadhani kuliko Mseveni, kwa hiyo inawezekana Jeshi la Rwanda ni kubwa sana na lina vifaa sana kuliko Uganda. Rwanda imeneemekea sana na madini ya coltan kutoka Congo, na imekuwa inatumia karibu 40% ya faida hiyo kijeshi, na ile nyingine ndiyo inayojenga miundo mbinu.
😄😄😄 Wachambuzi wetu bana.Waachie wenye uelewa wataelewa. Usilazimishe