Rwanda vs Tanzania: Nipeni Elimu

Rwanda vs Tanzania: Nipeni Elimu

Magehema

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Posts
428
Reaction score
28
Ndugu zangu nimekuwa nikikwazwa sana na hali ya sintofahamu inayopelekea kutokuaminiana kwa nchi zetu hizi za Tanzania na Rwanda. Ni hivi karibuni tu kulikuwa na mzozo wakati tulipopeleka majeshi yetu DRC, pia wenzetu wa Rwanda wakatutuhumu kuhusu operesheni ya kuondoa wahamiaji haramu kwamba ili target warwanda, na sasa kuna hili la tuhuma kwamba kina Dr Rudasingwa na Condo Gervais kuwa wamekuwa na mawasiliano ya siri ambayo wenzetu wanadai tunampango sisi kama nchi kuwasaidia hao waasi.

Je sisi na wenzetu wa Rwanda tulikosana wapi, ni kweli haya mambo yanaibuka tu au kuna jambo nyuma ya pazia ambalo miongoni mwetu (mimi nikiwa mmojawapo) hatuyajui.

Tafadhali nahitaji shule yenu.
 
Ni upepo tu huu utapita.Rwanda na Uganda walishawahi kuwa kwenye tension kama hii.Mmojawapo ni jirani asiyemuamini jirani yake kutokana na siasa za nchini mwake.
 
Ungesema "Kagame (na wafuasi wake) vs Tanzania" kwa sababu sio Wanyarwanda wote wana akili kama za kagame. Wapo wanaopenda amani na wanaojua Tanzania ilichokifanya katika juhudi za kuleta amani katika eneo hili la Maziwa Makuu na pia Kusini mwa Afrika..
 
The War here is between two heads of states and not two states.
Rwanda is a tiny territory but has strong and i may also call him arrogant leader. Tanzania is a large territory but has weak and i may also call him tricky leader. His tricks only helps his political party to stay in power, beg donors for more support, and steal the attention & sympathy of international community.
The Rwandan leader has put strong leadership by transforming the state from ordinary to extra ordinary achievemnts, ending genocide, and use of resources for the benefit of its people tho his arrogance on use of force to end opposition strength, Killing of opposition figures, supporting rebel movements against neighbouring state and unecessary propaganda that rise tention with its Tanzanianian neighbour has been costing himself, the state and its people at large.
The Rwandan leader sees his Tanzanian counterpart as hypocrite, undeserved for the seat, illcapable and a threat.
The Tanzanian leader sees his Rwandan counterpart as a threat (for himself and EA peace), arrogant and stuborn.
There are probably large percent of facts that are only known to themselves (the two), especially when u largely consider that Kagame had happened to be trained by our Intelligence & Security instruments which a Tanzania leader has also been there it is unlikely to have their grievances afresh without any trace.
Having Kagame files in our intelligence Organisation custody makes him too open for quick analysis from our experts something which makes the Tanzanian leader aware of in & out weaknesess of his counterpart which gave him a better chance to steal international support against the later which is what is happening nw.
If u try to put them in the same ring their performance cant be equal, as one cant match another. Paul Kagame has what it takes to be called a leader despite his human faults.
My opinions.
 
Ndugu zangu nimekuwa nikikwazwa sana na hali ya sintofahamu inayopelekea kutokuaminiana kwa nchi zetu hizi za Tanzania na Rwanda. Ni hivi karibuni tu kulikuwa na mzozo wakati tulipopeleka majeshi yetu DRC, pia wenzetu wa Rwanda wakatutuhumu kuhusu operesheni ya kuondoa wahamiaji haramu kwamba ili target warwanda, na sasa kuna hili la tuhuma kwamba kina Dr Rudasingwa na Condo Gervais kuwa wamekuwa na mawasiliano ya siri ambayo wenzetu wanadai tunampango sisi kama nchi kuwasaidia hao waasi.

Je sisi na wenzetu wa Rwanda tulikosana wapi, ni kweli haya mambo yanaibuka tu au kuna jambo nyuma ya pazia ambalo miongoni mwetu (mimi nikiwa mmojawapo) hatuyajui.

Tafadhali nahitaji shule yenu.

Ngoja Niliweke hili Wazi na Nina Uhakika Nalo Kwa Asilimia 100. Watanzania na Waafrika Wenzangu Nina Uhakika Kuwa Hali Ya Kidiplomasia Kati Yetu na Ndugu Zetu wa Rwanda Si Mbaya Kama Inavyoonekana ISIPOKUWA KUNA SECRET AGENDA INAFANYWA NA MAAFISA WENYE ROHO MBAYA NA MASLAHI BINAFSI BAADHI WA MAJESHI YETU YA ULINZI NA USALAMA INAYOHUSISHA VYOMBO HIVI TAJWA VYA HABARI ( MAGAZETI ) JAMBO LEO, MTANZANIA na JAMHURI AMBAYO NI KUHAKIKISHA KILA KUKICHA WANAKUJA NA ARTICLE NEGATIVE YA KUIHUSU RWANDA NA NIA ZAO KUBWA HAPA NI HIZI KUBWA MBILI : 1. KUPANDIKIZA MBEGU YA CHUKI KWA WATANZANIA DHIDI YA RWANDA ILI IWE RAHISI KWETU
KUPATA KUUNGWA MKONO NA KUIVAMIA RWANDA.
2. LENGO KUBWA SIYO KUIPIGA TU RWANDA BALI NI KUTAKA KUPATA MWANYA WA KUPATA TENDA YA KUAGIZA SILAHA ILI WATU HAO NILIOWATAJA HAPO JUU WAPATE 10% YAO NA WAZIDI KUJINEEMESHA KIUTAJIRI na NDICHO KINACHOFANYIKA HATA DRC KWA SASA AMBAPO KUNA WATU FULANI WANATUMIA MWANYA HUO HUO KUIBA na KUAGIZA VIFAA VYA KIJESHI KUTOKA UN KWENDA KWA MONUSCO NA KISHA KUVIUZA KWA WATU na MATAIFA MENGINE NA KUJIPATIA PESA, FAIDA na UTAJIRI.
Narudia tena Nina Uhakika wa Kutosha wa Sababu Zangu Kubwa Tajwa hapo Juu Kwani Nimeshafanya Uchunguzi Wangu Kutokana na Vyanzo Vyangu Nyeti Vya Kiulinzi na Kiusalama Vinavyohusisha Nchi Tatu za Maziwa Makuu.
Watanzania Wenzangu Tukumbuke Kuwa ni Vyombo hivi hivi Vya Habari Ndiyo Vilikuwa Chanzo Cha Rwanda Genocide Ya Mwaka 1994 Kupitia Redio Ya Uchochezi Ya RTLM, Lakini Si hapo tu Angalia Yanayotokea Leo Huko Libya, Tunisia, Egypt, CAR na Sasa Mali Mapigano Yao Mengi Yamekuwa Yakichochewa na Media Agenda. Vyombo Vya Habari Tanzania Yetu ina Changamoto Nyingi Sana za Kijamii Kama Elimu Duni, Mishahara Isiyokidhi Hali Halisi Ya Kimaisha, Uchumi Mbovu, Miundo Mbinu haba na Mibovu, Huduma Mbaya za Afya na Matatizo Ya Upatikanaji Wa Maji Safi na Salama. Kuliko Kila Siku Kuja na Front Headlines za Kuihusu Rwanda Je Kwanini Msiwe Mnakuja na Headlines za Jinsi Wanyama Wetu Wanavyoibiwa na Kutoroshwa tena Mbele Ya Macho Ya Hao Hao Walinzi na Wana Usalama Wetu? au Muandike Jinsi Watanzania Wanavyonyanyasika ktk Nchi Yao Kwa Jeuri Ya Matajiri wa Kigeni? au Muandike Kuhusu Wagonjwa Kulala Chini Wodini na Kukosa Tiba Stahili? au Muandike Jinsi Nyie Nyie Waandishi wa Habari Mnavyotaabika Kupata Ajira za Kudumu ktk Media Outlets Zenu na Mkiishia tu Kuwa Correspondents na Retainers na Hata Mkiajiriwa Mishahara Yenu Haikidhi na Ndiyo Maana Wengi Wenu ni MAHODARI Wa Kuomba Mlungula Kila Mnapokwenda Kuchukua Habari na Wengine Kuishia Kufanya Ufuska tu Na News Sources ili Maisha na Mambo Yaende. Acheni Unafiki Waandishi wa Habari wa Tanzania JAMII INAWAHITAJI SANA KTK KUTATUA MATATIZO YAO LUKUKI na Siyo KUTUMIKA na Watu Fulani Kuharibu Nchi Yetu Kwa Maslahi Yao na KUJITENGENEZEA Mazingira Ya Kuingia IKULU Mwakani. NILIKUWA SITAKI KUMWAMINI RAIS WETU MSTAAFU NDUGU BENJAMIN WILLIAM MKAPA ALIPOWATUSI WAANDISHI WA HABARI KTK MOJA YA PRESS CONFERENCE YAKE MIAKA MIWILI ILIYOPITA AKIWA VIP LOUNGE PALE UWANJA WA NDEGE JKIA KWA KUSEMA KUWA WENGI WAO NI WAJINGA na WAPUMBAVU na KUWATAKA KUONGEZA UWEZO WAO WA KUFANYA UCHAMBUZI WA MASUALA ( Issues ), Kufanya UTAFITI wa Kina na Wa Kutosha Lakini Akawashauri Kusoma Sana Na Watumie KALAMU ZAO KWA MASLAHI MEMA YA NCHI na Si Kuchochea na Ikumbukwe Kuwa Huyo Huyo Che Nkapa ni Mwana Habari Mwenzao tena Senior One ktk Nchi Hii.Enyi Wahariri Wa Magazeti Haya JAMBO LEO, MTANZANIA na JAMHURI Watanzania Wanahitaji Mzungumzie Matatizo Yao na Hawataki na Tena Wamechoka Kila Kukicha Kusikia Habari za Tanzania na Rwanda. Mbona Wengine Hawaandiki na Ni Nyie tu? Igeni Mfano Wa Magazeti haya Machache Ya Kila Siku Ya Mwanachi, Nipashe na Majira Huwezi Kukuta Upuuzi Kama Mlio Nao Ninyi. NIMEMALIZA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
The War here is between two heads of states and not two states.
Rwanda is a tiny territory but has strong and i may also call him arrogant leader. Tanzania is a large territory but has weak and i may also call him tricky leader. His tricks only helps his political party to stay in power, beg donors for more support, and steal the attention & sympathy of international community.
The Rwandan leader has put strong leadership by transforming the state from ordinary to extra ordinary achievemnts, ending genocide, and use of resources for the benefit of its people tho his arrogance on use of force to end opposition strength, Killing of opposition figures, supporting rebel movements against neighbouring state and unecessary propaganda that rise tention with its Tanzanianian neighbour has been costing himself, the state and its people at large.
The Rwandan leader sees his Tanzanian counterpart as hypocrite, undeserved for the seat, illcapable and a threat.
The Tanzanian leader sees his Rwandan counterpart as a threat (for himself and EA peace), arrogant and stuborn.
There are probably large percent of facts that are only known to themselves (the two), especially when u largely consider that Kagame had happened to be trained by our Intelligence & Security instruments which a Tanzania leader has also been there it is unlikely to have their grievances afresh without any trace.
Having Kagame files in our intelligence Organisation custody makes him too open for quick analysis from our experts something which makes the Tanzanian leader aware of in & out weaknesess of his counterpart which gave him a better chance to steal international support against the later which is what is happening nw.
If u try to put them in the same ring their performance cant be equal, as one cant match another. Paul Kagame has what it takes to be called a leader despite his human faults.
My opinions.

I do agree With You and thanks for Your Wonderful Analysis.
 
te!.....te!.....te!.....te!.....te!..... mweee.... kagame bwana sifa zitammaliza, idd amin naye alianza hivyo hivyo.
 
PaKa anaogopa kichapo... ndiyo maana haishi visingizi vya kuandamwa na Tza. Aache kuwakusanya tena M23 ndiyo salama yake....
 
te!.....te!.....te!.....te!.....te!..... mweee.... kagame bwana sifa zitammaliza, idd amin naye alianza hivyo hivyo.

"Mara nyingine mambo ikienda vizuri tutasafisha mpaka Daressalaam"..IDI AMIN
 
Nchi kama wilaya halafu inaleta ubabe.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom