SDP_TZ_Mpya
Senior Member
- Jun 21, 2013
- 166
- 77
Swali lako ni sawa na kuuliza 'kwa nini tunajenga daraja la Kigamboni pale kurasini hali kuna kivuko pale ferry na pia barabara ya Kongowe' jibu ni 'Congestion'
Eneo la bandari limekuwa dogo, unalazimika kubomoa nyumba za wananchi kupanua bandari imeshindikana, tufungua Bandari kavu kibao ambazo ni usumbufu na gharama kubwa kwa mteja. ukiachilia mbali msongamano wa malori ya kuhamisha mizigo bandarini kupeleka bandari kavu.
Usichekeshe mkuu. Rudi nyuma halafu chungulia ulichokiandika na usome btwn the lines. Hakuna kitu km hicho. Kigamboni bridge is a different case for we do not have other parallel bridges through to Kigamboni. If we had some like the ports we would not hv needed a third or a fourth bridge.