Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,188
tatizo hawakuwepo mawaziri wenye uchungu na nchi boara sasa jembe mwakyembe alivyokuwepo ila wasiwasi wangu ni kwamba hapati support ya kutosha kutoka serikali kuu
Mkuu tuko pamoja, ndio maana nikasema hatuna viongozi wenye uchungu na uchumi na nchi, wao wanajali matumbo yao na kujilimbikizia mali tu. Kama kungekuwa na viongozi makini na wanaojitahidi kama anavyofanya Mwakyembe, I believe hata hizo siasa za Uhuru zisingengefanikiwa. Sasa tumekumbuka shuka wakati kumekucha. Bandari ya Dar ni matatizo tupu.
Tiba