cyberspace
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 730
- 291
aisee bado hebu ni-pm picha hahaha.
Nitafanya hivyo mkuu teh teh
aisee bado hebu ni-pm picha hahaha.
Ndugu yangu MimiBaba...naomba kuwekwa sawa kidogo...you have been repetedfly pointing out about Tutsis and the genocides they commited...naomba kueleweshwa hapa kidogo niko gizani...Kwa uelewa wangu Genocide ni mauaji yanaoyoandaliwa yenye malengo ya kuua na kutokomeza watu wenye kabila au chimbuko Fulani. Genociode ya Rwanda ya mwaka 1994 iliandaliwa na kufanywa na wahutu kwa ajili ya kutokomeza watusi. Watu zaidi ya milioni moja waliuliwa kwa kuwa tu ni aidha watusi au wahutu wenye mlenmgo wa kati. Sasa ndugu yangu unaposisistiza watusi walifanya genocide unamaanisha walijiua? Au waliuwa watusi wenzao? Unaposisitiza Kagame alifanya Genicide ina maana aliandaa genocide kumaliza watusi wenzie? Hapo umeniacha kidogo. Guys listen...Kila inapofikia karibia na maadhimisho ya kukumbuka mauaji ya kimbari waliyofanyiwa watusi na wahutu wachache wenye msimamo wa kati kama Waziri Agatha (RIP) huko Rwanda, maadhimisho ya KIMATAIFA ambayo hufanyika kila mwaka Aprili, mambo mawili hutokea...kwanza watusi waliofikwa na majanga hayo haswa waliokuwepo Rwanda kipindi hicho wanakuwa traumatized...wewe na mimi ambao tumetokea kupoteza mtu mmoja au wawili katika familia kwa ugonjwa ajali au chochote kisicho mauaji ikifika anniversary ya kifo huwa kumbukumbu zinarudi upya machungu unayapata kama ilikuwa jana, sembuse wengi Rwanda ambao unakuta alibaki peke yake katika familia au hata ukoo...huwa wana uchungu sana sana na wanakuwa very sensitive. Jambo la pili linalotokea huwa ni upande wa wauwaji/ndugu zao au wale wanao support hayo mauaji na wenye chuki dhidi ya watusi wanaodhani watusi hawastahili kuishi. Watu hawa roho zinawauma kuwa hawakufanikiwa kuwamaliza watusi wote! Niwie radhi ndugu yangu MimiBaba ila na wewe nakuweka kundi hili. Wao ikifika kipindi hiki huwa wanakuwa hiper! Wanaongea na kuzungumza kila wawezalo kuondoa international attention from remembering what exactly happened in 1994. Wengine hufanya hivi aidha kwa guilty consciousness au kutaka kufuta historia. Listen mkuu historia iko hivo...mliuwa watusi katika mauaji ya kimbari ya 1994 and this will haunt you for the rest of your lives. And this goes out to anyone who intentionally decides to end another person's life! It haunts you forever. Lucky are those who confess and seek for forgiveness...with readiness to be punished for the wrong done! Kwetu/kwenu nyinyi msiohusika...hapa namanisha wasio wanyarwanda...narudia...tusiingilie mambo ya ideology za watu bila kufanya research...research haimaanishi kusikiliza MimiBaba JMali au Mukamasimba kaongea nini ndipo na wewe useme yako...There is well documented research on Rwanda genocide...kesi hadi leo ziko mahakamani...Haya mengine ya nani kamtembelea nani yako way beyond us unless wewe ni mhusika wa moja kwa moja. Hatujasikia tamko la kagame au Rwanda kulaani hiyo safari na wala ikulu ya hapa sijasikia ikizungumzia mgeni huyo 'rasmi'. Basi mambo hayo tuwaachie baba na mama. Watu/media walipiga domo weeeee wakati wa tension zilizopita...mwisho ulikuwa nini? Mkulu si alituambia tuache ushabiki? Jeshi si lilitoa tamko lenyewe ndo linastahili kutoa updates za vita Kongo? Halafu hii vita ya mtandao ya wahutu na watusi tuwaachie wenyewe, very cautiously maana kama Nyerere alivoasa kuwa ubaguzi ni ugonjwa, tukumbuke unaambukiza! Haya jengeni taifa! Na nyie wenye vita yenu ya mdomo ya wahutu na watusi kwani huko kwenu mitandao hamna? Si naskia mmetandaziwa WIFI hadi vijijini? Si mkalumbane huko mtuache na yetu?
Marekani mume wenu nyinyi sio sisi!
we PRostitute is uhuru under debate here?
Hahaha....last time nakumbuka mnafurahia ujio wa obama halafu mnsema eti CoW wanaonea gere...navojua mimi mwanamke aliyeolewa ndie anaefurahia ujio wa mume wake manake anajua sasa atapata huduma. sasa sijui kati yetu sisi na nyie nani anaonyesha bahavior za kike...hahahaha
Najua unajua lakini sio mbaya kwa sababu ya ID mpya chukua hii:
"The history of the Rwandan Genocide, codified in Rwandas Constitution, is that it was only Hutu extremists Genocide Against the Tutsi.
Before she went to prison, Victoire told KPFA listeners, My party and I have never denied the genocide, by the UN understanding, because the Resolution 955 from UN says that in Rwanda was genocide against the people of Rwanda...
Its difficult to rationally argue with this, because the 1991 Rwandan census, as documented by Ed Herman and David Peterson in The Politics of Genocide, reported a Rwandan population of 7,590,235, including 645,170 Tutsis, more than 300,000 fewer than the million Tutsis commonly reported to have died in the genocide. And because Ibuka, Rwandas Tutsi genocide survivors group, has claimed that some 300,000 of these 645,170 Tutsis survived. President Kagame would therefore seem to have a lot of bones on display in his genocide memorial sites that he cant properly account for as the result of his Constitutionally codified Genocide Against the Tutsi.
I thought so...
Murutongore
Najua unajua lakini sio mbaya kwa sababu ya ID mpya chukua hii:
"The history of the Rwandan Genocide, codified in Rwanda's Constitution, is that it was only Hutu extremists' "Genocide Against the Tutsi."
Before she went to prison, Victoire told KPFA listeners," My party and I have never denied the genocide, by the UN understanding, because the Resolution 955 from UN says that in Rwanda was genocide against the people of Rwanda...
It's difficult to rationally argue with this, because the 1991 Rwandan census, as documented by Ed Herman and David Peterson in The Politics of Genocide, reported a Rwandan population of 7,590,235, including 645,170 Tutsis, more than 300,000 fewer than the million Tutsis commonly reported to have died in the genocide. And because Ibuka, Rwanda's Tutsi genocide survivors group, has claimed that some 300,000 of these 645,170 Tutsis survived. President Kagame would therefore seem to have a lot of bones on display in his genocide memorial sites that he can't properly account for as the result of his Constitutionally codified "Genocide Against the Tutsi."
Mkuu unawapigia mbuzi gita; lakini ni vizuri kuwapiga shule hawa mazuzu.Najua unajua lakini sio mbaya kwa sababu ya ID mpya chukua hii:
"The history of the Rwandan Genocide, codified in Rwanda's Constitution, is that it was only Hutu extremists' "Genocide Against the Tutsi."
Before she went to prison, Victoire told KPFA listeners," My party and I have never denied the genocide, by the UN understanding, because the Resolution 955 from UN says that in Rwanda was genocide against the people of Rwanda...
It's difficult to rationally argue with this, because the 1991 Rwandan census, as documented by Ed Herman and David Peterson in The Politics of Genocide, reported a Rwandan population of 7,590,235, including 645,170 Tutsis, more than 300,000 fewer than the million Tutsis commonly reported to have died in the genocide. And because Ibuka, Rwanda's Tutsi genocide survivors group, has claimed that some 300,000 of these 645,170 Tutsis survived. President Kagame would therefore seem to have a lot of bones on display in his genocide memorial sites that he can't properly account for as the result of his Constitutionally codified "Genocide Against the Tutsi."
Natoa story ndefu ili ku-reveal ulaghai wa PK ambae anataka tumuone amechaguliwa mara mbili huku tukisahau miaka tisa aliyokuwa ame-dodge for a reason na hivyo kumfanya awe mpaka sasa ameshakaa madarakani miaka 20, 9 of which as de facto ruler.NasDaz Mbona story nyingi? mimi nakwambia pk alichaguliwa na wananchi wake marambili na observers wote walikuwepo na walikubaliana na matokeo hayo,sasa wewe mzunguko wa nini bwana.
Although I don't agree with what you are saying but I will defend to death your right of saying it - this is human right, the right of freedom of speech . This is what you lack my friends Rwandese . Ndo maana unajibu kwa emotions , hutaki hoja za watu wengine yaani wewe bozoo kweli!!!! Haya ya kutokutaka mawazo kinzani peleka huko huko Rwanda. This is JF hosted in the cyberspace. Free space where any one is free to write and publish anything. It is a gate without gate keeper. Fu.ck you!!!!

Kama kawaida kwa unafiki tu hamjambo! Wewe hiyo unayosema ni nyingine kabisa. Unayoongelea wewe ni speech aliyotoa katika graduation ya chuo cha jeshi Nyakimana.
Maneno ya 'i will hit you' yako kwenye speech aliyotoa tarehe 30 juni, 2013 katika youth konnect summit iliyoandaliwa na mkewe. Na alikuwa anaongea na vijana. Kitu cha wazi kinachoonekana ni kuwa uko kazini. You can't seriouly say hii issue wewe kwako ni mpya au ni propaganda. Hii ni common tactic kwenu mapropagandist. Mnaposhindwa mjadala mnaaza diversionary tactics kwa kuanza kuuliza vitu ambavyo ni facts na vingine common-sense. Anyway ili nisije nikajishusha kufikia hadhi yako kwa vile wewe 'muungwana' fanya mojawapo kati ya haya vinginevyo sepa tu, tumeshakushtukia, urudi na ID nyingine!:
1. Kataa au kubali kuwa kulikuwa na hiyo event ya youth konnect iliyoandaliwa na Mrs kagame tarehe 30, juni 2013.
2. Pili, kama unakataa hakusema maneno nitayakoandika hapa chini, basi lete wewe ya kwako, vinginevyo tukubaliane kuwa kasema.
NANUKUU:
Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible
kazi ni kwako....
cc: JokaKuu, NasDaz, Mimibaba
Natoa story ndefu ili ku-reveal ulaghai wa PK ambae anataka tumuone amechaguliwa mara mbili huku tukisahau miaka tisa aliyokuwa ame-dodge for a reason na hivyo kumfanya awe mpaka sasa ameshakaa madarakani miaka 20, 9 of which as de facto ruler.
Linamilikiwa na chama tawala cha RPF kupitia kampuni yake ya crystal ventures (which is also the biggest company in Rwanda, lakini hawaishi kutuambia Rwanda inaongoza kwa uwekezaji, wakati makampuni yote manene ni ya chama tawala).
If you go to the 'about us' page right now through here(new times-about) utakuta eti 'page being updated', wakati website yao imeanza toka mwaka 2003! yani miaka yoote hiyo kumi na moja bado wana-update only this specific page!

We facilitated peace talks between Kagame/RPA and Rwanda in 1994 when Kagame was a terrorist who had been attacking a sovereign state of Rwanda for four years! Why is it a sin now to only listen to the political wing of FDLR, who by the way WAS THE GOVERNMENT OF RWANDA in 1994?
I wish this string to be red by all Rwandees.
It has been norms to Governing body to call opposition groups as "Terrorist" organisations irrespective of the way the Governing body took power by shelling blood of innocent civillians....