RWANDA REFUGEES IN Tanzania...KAGAME ....

RWANDA REFUGEES IN Tanzania...KAGAME ....

Safi sana kama mali ya Congo inajenga Africa sioni tatizo kuliko ikatajirishe Wallstreet,na hiyo dream yenu mliyo export Congo ya kuwamaliza Nyamulenge ndio matatizo yote yanaanzia hapo na msipoangalia watawamaliza nyie kwanza,dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana!!

Kuwaua wahutu ndo sio kosa kosa ni mtutsi wa kinyamulenge akiguswa? Kama unaona dhambi ya ubaguzi ni mbaya basi muache ubaguzi.. hivi Lawrent Nkunda mmemficha wapi?..
 
Tanzania imekuwa kimbilio la amani kwa mataifa mengi kama Rwanda, Burundi na Congo kwa miaka mingi. ukienda mkoa wa kagera hata kigoma, wakimbizi hadi wamekuwa raia, tumewalisha na kuwapa maeneo hadi ya kulima...lakini utashangaa mtu kama PAUL KAGAME, asiye na shukran, amesahau yote hayo. labda kwasababu tuliwapokea wakimbizi walio wengi wahutu?...mbona wakimbizi wa kitusi wengi tu tumekuwa tukiwapokea tangu miaka ya 1950? tumewapokea, nimezaliwa mimi nikiona wakimbizi wapo hapa tz na kuambiwa wametoka Rwanda na Burundi. tumepokea watusi na wahutu kwa miaka mingi, lakini angalia kagame anavyokuja kututukana sisi watz na rais wetu kana kwamba hatujawahi kuwapatia makazi kipindi wanakimbia kifo.....SHUKRAN YA PUNDA SIKU ZOTE NI MATEKE.
mboa hueleweki...umewapokea wakimbizi mara umezaliwa..tatizo ni nini?
 
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!

asante sana Henge
 
koba the guys are not joking....do away with them st**id interahamwe

Nani interahamwe hapa wewe? Mkiishiwa hoja mnaanza kuwapachika watu majina! Style up you guys.. matusi mkatukanane kwenye page zenu za wanyarwanda. Sio hapa
 
Nani interahamwe hapa wewe? Mkiishiwa hoja mnaanza kuwapachika watu majina! Style up you guys.. matusi mkatukanane kwenye page zenu za wanyarwanda. Sio hapa

hatujaishiwa hoja kaka alafu si kila mwenye mtizamo tofauti na wewe ni mnyarwanda....kwani hii page ni ya serikali?ndo maana kila mtu anaweza kui access....
 
Nani interahamwe hapa wewe? Mkiishiwa hoja mnaanza kuwapachika watu majina! Style up you guys.. matusi mkatukanane kwenye page zenu za wanyarwanda. Sio hapa
No doubt,ni wewe 100% na topic yako inakuja,lazima watu wajue everything about interahamwe and im not joking!!!
 
Nani interahamwe hapa wewe? Mkiishiwa hoja mnaanza kuwapachika watu majina! Style up you guys.. matusi mkatukanane kwenye page zenu za wanyarwanda. Sio hapa

U know my father always told me to be a man and man up when confronted. Wewe rushasha you are a chicken. U are interahamwe but you don't want to admit it. The first step in knowing who you are is admitting who you are and rushasha everything about you is interahamweish. So admit it. YOU ARE INTERAHAMWE.
 
Sindano imewakolea sasa mnabweka km mbwa...vumilia dawa iingie upone. Hivi hao interahamwe unaowazungumzia kila saa ndo watu gani?
 
....and you call yrself a man?!! If you are a man talk like a man then. Style up you blood sucker
 
Sindano imewakolea sasa mnabweka km mbwa...vumilia dawa iingie upone. Hivi hao interahamwe unaowazungumzia kila saa ndo watu gani?
INTERAHAMWE tunayemzungumzia hapa ni wewe rushasha!!
 
Koba, Ruzibiza, rushasha, murutongore,

..Kagame asipokuwa makini ataishia kuwa arrested kama Charles Taylor.

..ripoti zinazomhusisha na mauaji ya wananchi wa Congo zimekuwa nyingi mno.

..hata mataifa yaliyokuwa yanamtetea, mfano Marekani, taratibu yameanza kumtupa mkono.

..sote tunapenda mgogoro wa Congo uishe, lakini Kagame anaonekana ni kikwazo kwa ku-support makundi ya waasi.
 
Last edited by a moderator:

Kinachonishangaza kila siku mnasema kagame anawasaidia M23 na kuiba madini Congo lakini hata siku moja hamjawahi kuleta ushahidi or anything close to prove hizo allegations,yamebaki maneno tuu ya HRW ambao wanajulikana walivyo bias na Kigali,watu wangejua Chinese or west don't give a fukkkc kama Congolese wanakufa or laa,wanachotaka ni resources zao tuu na hawana interest yeyote na amani ya Congo,billion dollar MONUSCO ni ajira za watu tuu hawana msaada wowote,keep blaming Kagame kwa issue za Congo huku mkijua no single soldier wa Rwanda in Congo na hata madini from Congo yalikamatwa Kigali then kagame akawarudishia Kinshasa,these people waachane na Kigali and focus na hizo factions zaidi ya 10 zinazopigana Congo la sivyo mtauana mpaka mwisho wa dunia,ningekuwa mimi Kagame ningefunga border na Congo na kuita surveillance za UN kwenye border then tuone kama vita itaisha.
 
Koba,

..labda Wachina, lakini hayo mataifa mengine kuna watu wenye ubinadamu na ndiyo hao wameanza kumuangalia Kagame kwa jicho tofauti.

..kosa la Kagame ni ku-abuse huruma na aibu ya serikali za nchi za magharibi waliyokuwa nayo kwa Wanyarwanda kutokana na kuwatupa mkono wakati wa genocide.

..Kagame badala ya kutumia huruma na goodwill ya serikali za nchi za magharibi kutenda mambo mazuri kwa wananchi wa Rwanda, pamoja na majirani zake, amegeuka kuwa mfadhili wa makundi ya waasi na kigaidi yanayofanya unyama dhidi ya wananchi wa Congo.

..imefika mahali sasa KAGAME, ambaye ni victim wa genocide, amechokwa to the point kwamba anatajwa ktk sentensi moja na CHARLES TAYLOR.

NB:

..umetoa wazo zuri la kupelekwa kwa surveillance ktk mpaka wa Rwanda na DRC. guess what? Kagame na serikali yake walipinga wazo la kupeleka drones mashariki mwa Congo.

cc😡Jasusi, Ruzibiza, RUTAJUMBUKIRWA, rushasha, murutongore, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Koba,

..this is a little too long, lakini ukiweza soma sehemu nilizo-highlight.

..imefika mahali tuwe na huruma kwa ndugu zetu wa Congo.

[h=1]US support for Rwanda wanes amid concern over violence in Congo[/h]Washington signals shift in policy by cutting aid and rebuking Kagame administration for apparent support for rebels in DRC

The US is retreating from years of solid public support for Rwanda's president, Paul Kagame, in a major shift that suggests Washington's concern at continued bloodletting in the Democratic Republic of Congo now outweighs western guilt over the 1994 Rwandan genocide.

The Rwandan government has hit back at the latest accusations of its support for rebels in the DRC, calling a detailed United Nations report that prompted the US, Britain and other countries to cut aid last week an orchestrated attempt to "cast Rwanda as the villain". But Washington appears unpersuaded after publicly endorsing the report which lays out evidence of Rwanda providing fighters and military equipment to rebels in the eastern DRC where 18 years of conflict have cost the lives of several million people.

The US state department broke with its history of limiting criticism to private communications to say "we have deep concerns about Rwanda's support to the Congolese rebel group that goes by the name M23". Washington cut military aid and its war crimes chief warned that the Rwandan leadership could find itself under investigation by the international criminal court.

Tom Malinowski, a former member of President Bill Clinton's national security staff and now Washington director of Human Rights Watch, said Washington acted in the face of what it regarded as undeniable evidence.
"At no point in the last 18 years has the United States and Rwanda's other allies responded as strongly to evidence of wrongdoing by the Kagame government," he said. "At some point people get sick of being lied to. This administration, like past administrations, has gone out of its way to give the Rwanda government the benefit of the doubt and the ability to respond to critics when they've been charged with this kind of behaviour, and to explain themselves.
"But when the evidence is this clear and the government continues to categorically deny what the US government knows to be true, it's very difficult to maintain patience. What we're seeing now is patience dissolving."

The report also accuses Rwanda of protecting an accused war criminal, Bosco Ntaganda, who heads M23 and was indicted by the international criminal court six years ago.

Malinowski, who was a state department official before working at the White House, said that for many years Kigali was given considerable leeway because western inaction at the beginning of the 1994 genocide had contributed to the slaughter of about 800,000 Tutsis. It also helped that Kagame is admired in Washington and London for leading the reconstruction of Rwanda and overseeing a thriving economy even if doubts crept in about his tight control of politics which left little space for real opposition.

But Malinowski said there was a growing belief within the US administration that Rwanda was using one crime to cover up another.

"We all went through that awful searing experience and the sense of guilt that President Clinton expressed many times about the international community's failure to help Rwanda in that moment of need. Unfortunately Kagame has played on that guilt over the years to mask additional crimes that frankly we should also feel a little bit guilty about not having confronted," he said.

US policy is also guided by a 2006 law sponsored by then-senator Barack Obama which was intended to help Kinshasa protect its mineral resources from plunder and permit Washington to withhold aid from countries destabilising the DRC. There have been several reports over recent years detailing Rwandan military support for rebels in the DRC including one known as the "mapping exercise" which laid out the huge scale of killing and suffering in the late 1990s.

Even as the UN prepared to publish the latest report there was resistance to its acceptance from some in the US administration, led by Washington's ambassador to the UN, Susan Rice. She initially sought to block a crucial annex detailing evidence of Rwandan support for the DRC rebels from being attached to the main report and made public. But that move was undermined when the DRC government in Kinshasa protested and details were leaked.
Kinshasa this week described Rwandan support for the rebels as an open secret.

The US announced it was withdrawing $200,000 in military assistance to Rwanda. Britain, Rwanda's single largest bilateral donor which initially showed no willingness to act over the UN report, followed Washington's lead and said it would delay payment of the latest batch of £16m in aid. The Netherlands and Germany cut assistance too. Germany's development minister, Dirk Niebel, said he had warned Rwanda a month ago.
"Rwanda did not use this time to rebut these serious allegations," he said. "Suspending budget aid is a clear sign to the Rwandan government."

The US war crimes chief, Stephen Rapp, added to the pressure by warning that Rwanda's leaders could face investigation and prosecution by the international criminal court for aiding and abetting crimes against humanity if it could be shown they were arming Congolese rebels responsible for atrocities. Although Rwanda is not a signatory to the Rome statute creating the ICC, the DRC is and Rapp noted that the former Liberian president Charles Taylor was jailed for crimes committed in a neighbouring country.

The Kagame administration has reacted furiously to the shift in US policy, apparently in part because it was unexpected.
Rwanda's foreign minister, Louise Mushikiwabo, accused western governments of treating her country like a child.
"This child-to-parent relationship has to end … there has to be a minimum respect," she said. "As long as countries wave cheque books over our heads, we can never be equal."
RUTAJUMBUKIRWA, murutongore, rushasha, Kabaridi, Geza Ulole, Bukyanagandi,
 
Last edited by a moderator:
Pleeeease Joka kuu achana na HRW,hao watu hawana credibility na wana long History with Kigali na kila mtu anajua,na hiyo news mbona ya zamani na hiyo misaada mbona US walisha reverse na sasa wamerudisha kila kitu na hata Britain wamesha reverse sasa sijui point yako hapo ni nini? anyway zimebaki allegations lakini wauaji wa Congolese wanajulikna na sio Kigali...do your homework acheni politics!!
 
Koba,

..labda Wachina, lakini hayo mataifa mengine kuna watu wenye ubinadamu na ndiyo hao wameanza kumuangalia Kagame kwa jicho tofauti.

..kosa la Kagame ni ku-abuse huruma na aibu ya serikali za nchi za magharibi waliyokuwa nayo kwa Wanyarwanda kutokana na kuwatupa mkono wakati wa genocide.

..Kagame badala ya kutumia huruma na goodwill ya serikali za nchi za magharibi kutenda mambo mazuri kwa wananchi wa Rwanda, pamoja na majirani zake, amegeuka kuwa mfadhili wa makundi ya waasi na kigaidi yanayofanya unyama dhidi ya wananchi wa Congo.

..imefika mahali sasa KAGAME, ambaye ni victim wa genocide, amechokwa to the point kwamba anatajwa ktk sentensi moja na CHARLES TAYLOR.

NB:

..umetoa wazo zuri la kupelekwa kwa surveillance ktk mpaka wa Rwanda na DRC. guess what? Kagame na serikali yake walipinga wazo la kupeleka drones mashariki mwa Congo
Mkuu JokaKuu endapo Rwanda ingeshirikiana na mataifa mengine mgogoro usingefikia hapo ulipo. Hili la surveillance Kagame hataki kulisikia wala la drone.
Fikiria kwanini anapinga uwepo wa majeshi ya kulinda amani nchini Congo. Kwanini adhani kua uwepo wake utaleta taabu.
Koba anasema hakuna ushahidi wa Kagame kuhusika na mtafaruku wa Congo. Labda nimkubushe kuwa Laurent Nkunda ambaye ni mtutsi na mwanajeshi wa zamani wa Rwanda na pia mzaliwa wa Rwanda alitakiwa na mtaifa.
Mkapa, Kofi Annan walimwita Kagame pale Nairobi na kumwambia kama hatamkamata Nkunda atakiona. Ilichukua wiki moja Kagame akamkamata. Guess what, Nkunda hayupo magereza yupo nyumbani mjini Kigali akilindwa na Kagame kwa starehe.

Ndivyo ilivyo kwa Bosco Ntaganda muuaji wa vijana mwenye sifa kama za Nkunda. Naye pia alikuwa mwanajeshi wa Rwanda na mshirika wa Kagame, wote wakileta taabu na wanalelewa na Kagame.

Katika miezi ya karibuni walitoa wazo la kura ya maoni ya kivu kujitenga na DRC ambalo Kagame aliliunga mkono akijua kuwa uwepo wa nchi ya Kivu ni extension ya Rwanda kama anavyotaka. Huyu Kagame nani atamwamini kuwa anataka amani nchini DRC?

Kuhusu kuiba utajiri sijui Koba anataka Kagame akamatwe na vitu kama mwizi wa bara barani.
Nchi zinazofaifika na wizi wa Rwanda zingine zimeanza kuonyesha concern ndio maana utasikia kitu kinaitwa blood diamond.

In short mataifa kama Marekani hayakurupuki tu, watu wameshafanya uchunguzi wa nguvu za M23A na kubaini bila shaka kuwa anayetoa ufadhili ni Paul Kagame wa Rwanda na sasa wanaanza kumshukia. Ni suala la muda tutasikia uharamia wa Kagame hadharani.
 
Unajua kutokujua historia kunachangia watu kama wewe kutoa maoni kama haya. Hivi nikuulize, mfano huo mgogoro tuuhamishe tuupeleke kaskazini mwa tanzania kwenye wamasai. Mfano Kenya inawanyanyasa wamaasai na kuwauwa ikiwaambia kwenu ni tanzania rudini tanzania. Na tanzania haiwakatai ili kutokana na mipaka ya wakoloni wale wamaasai kwao ni kenya. Sasa wanakuja wazungu, hawajui kutofautisha wamaasai wa kenya na wa tanzania. (hata wewe mwenyewe mwenyeji huwezi kutofautisha). halafu unamkamata mmasaai wa kenya unamlazimisha aende kuishi tanzania. are you doing him justice? that is the same with Bosco Ntaganda and Laurent Nkunda. So, what you guys fail to understand is that Those people are congolese geographically but have tutsi ancestry. You can't force them to go to a country that is no theirs! Kagame anawapokea because he know what it is to be persecuted and also he is bound by international laws on refugees.
 
Sorry bro, hukusoma bandiko langu kwa sababu ya prejudice.

Hakuna mahali nimesema warudishwe kwao labda kama utaonyesha ni wapi maana bandiko langu lipo na umelinukuu kuhakikisha hakuna editing. Ukishindwa kuonyesha rudi usome vizuri kwasababu historia unayosema unaijua nadhani umesimuliwa.
Huwezi kushindwa kuelewa jambo rahisi kwa mistari 12 ukaniambia unajua historia yenye kurasa 999.

Tunachosema ni kuwa Kagame anawaunga mkono. Nimekueleza kuwa hata walipotaka kura ya maoni ya kuigawa Congo Kagame amesimama nao. Hilo ni kosa kwasababu Wanyarwanda waliopo Kagera ipo siku wataomba kujitenga kwa mwendo huo huo wa PK kwa kusingizia wamezaliwa hapo na hivyo hawapaswi kurudishwa Rwanda bali kupewa nchi ya 'Kagera'

Nikasema, Kagame kwanini hataki kuridhia uwepo wa majeshi ya kimataifa? Kitu gani anahofia kama majeshi hayo yapo Congo na si nchini kwake?

Tukauliza kwanini Kagame alikuwa na uwezo wa Kumkamata Laurent Nkunda baada ya shinikizo la marais 3 kama alikuwa hana contact nao. Na kwanini yeye amhifadhi Kigali akijua ni muasi wa nchi ya Congo ambayo wewe unasema geographically watutsi wapo tu kama wamasai.

Unapaswa ukabiliane na hoja, vinginevyo historia isiyokuwezesha kukabiliana na hoja haikusaidii.

Back
Top Bottom