Wakuu kwenye jamvi hili tukumbuke kuwa kuna kitu kinafukuta DRC, tutake tusitake. Tunatakiwa tutoe maoni ya kusaidia majirani zetu waepuke balaa, na si kuingia kwenye balaa zaidi. This time around Tanzania imetishiwa na Kagame, mpaka Rais, Makamu wake, Rais SMZ, CDF na Mkuu wa TISS wote walitembelea Kagera na kutoa ujumbe mzito, hili si jambo dogo, the worst can happen. Tukumbuke kuwa TZ is not DRC, kuna watusi wengi sana Kigoma na Kagera, lakini wao si watusi kama kina Nkundabwatare, Nataganda. Bizimana karahana, it is possible that watusi na wahutu walioko DRC have no love and respect to the country which hosted them and they are ready to murder the weak of those who hosted them. Those who are here, at least they have respect to our country and our ways of life. kwa hiyo ni bora tusiwavictimize. Kagame may have threatened Museveni and two Kabilas, may have had a hand or not in downing of Habyarimanas jet, may have had a hand in CAR as some try to claim, lakini huku mashariki anakosogea kuna tofauti kiasi, it is very possible that it will not play they way it has in those countries. Mnaomsifia na kumtetea Kagame ni wajinga, kwa kuwa vitendio vyake vinahatarisha sana usalama wa muda mrefu wa wanyarwanda(makabila yote, lakini hasa watusi), hata siku moja siwezi kuamini kama wahutu wote ni Interahamwe, na siamini kama watusi wote ni wahanga au wana mawazo sawa na Kagame.
Na sitaki kuamini kuwa mtusi mkimbizi kutoka Uganda na Tanzania ndio anajua uchungu wa genocide kuliko mtusi aliyekaa Rwanda na kuvumilia ukatili wa Habyarimana, ku-survive chinjachinja ya Interahamwe, na aliyekuwa anakimbia mapanga Kigali na sehemu nyingine za rwanda, na sitaki kuamini kuwa mtanzania ambaye alikuwa anakunywa maji ya maiti mto Kagera, kuopoa miili ya marehemu kwenye mto Kagera na kuizika, na kupokea mamia wa wakimbizi ambao mbali na majeraha ya kimwili pia wana majeraha makubwa ya kiroho, hayuko sahihi anaposema ongea na FLDR. My point here is, version ya mtu mmoja kuhusu RWANDA/DRC, na kutumia genocide kama political capital.....inaleta maswali mengi sana kuhusu ukweli wa mapenzi kwa watusi au tu ni mtaji wa kisiasa.
It is a fact that hutus are currently second class citizens of Rwanda, they may be not de jure but de facto, and that in itself is a time bomb which in the end will bring the back the situation which made Paul kagame and his parents to flee a country in first place, Paul Kagame will not be there in 20 30 years when that bomb will explode.