RWANDA REFUGEES IN Tanzania...KAGAME ....

Sorry bro, hukusoma bandiko langu kwa sababu ya prejudice.

Hakuna mahali nimesema warudishwe kwao labda kama utaonyesha ni wapi maana bandiko langu lipo na umelinukuu kuhakikisha hakuna editing. Ukishindwa kuonyesha rudi usome vizuri kwasababu historia unayosema unaijua nadhani umesimuliwa.
Huwezi kushindwa kuelewa jambo rahisi kwa mistari 12 ukaniambia unajua historia yenye kurasa 999.

Tunachosema ni kuwa Kagame anawaunga mkono. Nimekueleza kuwa hata walipotaka kura ya maoni ya kuigawa Congo Kagame amesimama nao. Hilo ni kosa kwasababu Wanyarwanda waliopo Kagera ipo siku wataomba kujitenga kwa mwendo huo huo wa PK kwa kusingizia wamezaliwa hapo na hivyo hawapaswi kurudishwa Rwanda bali kupewa nchi ya 'Kagera'

Nikasema, Kagame kwanini hataki kuridhia uwepo wa majeshi ya kimataifa? Kitu gani anahofia kama majeshi hayo yapo Congo na si nchini kwake?

Tukauliza kwanini Kagame alikuwa na uwezo wa Kumkamata Laurent Nkunda baada ya shinikizo la marais 3 kama alikuwa hana contact nao. Na kwanini yeye amhifadhi Kigali akijua ni muasi wa nchi ya Congo ambayo wewe unasema geographically watutsi wapo tu kama wamasai.

Unapaswa ukabiliane na hoja, vinginevyo historia isiyokuwezesha kukabiliana na hoja haikusaidii.

Bado hoja yako haina mantiki hata kidogo. Hivi hebu nikuulize? MONUSCO ni nini? Ipo Congo tangu lini? What have they done? Nothing. You know why? Because they are FDLR bedfellows. Halafu, hilo la Laurent Nkunda, hakuna aliyemshinikiza Kagame amkamate Nkunda. No one can force Kagame to do anything. Waulize Wafaransa. Walijaribu kesho yake akamfukuza balozi na akafunga ubalozi. Sarkosy alirudi akapiga magoti akaomba waanze upya bila kudharauliana. Can Tanzania do that? Can tanzania close UK High Commission? Naaaah! Don't think so? Hamna ubavu huo? What I want to say is that in Kagame you have a strong leader with a clear vision of what he wants to do for his people sasa wazungu hawati kiongozi kama huyo. Wanataka viongozi legelege ili waweze kuwa control and hence plunder your resources ili mendelee kuwa maskini omba omba. Kagame aliwaambia wazungu simamisheni misaada yenu sisi tutaenda shambani tule mihogo kuliko kunyanyaswa eti kwa sababu mnatupa misaada. Hapo hapo alianzisha mfuko wa Agaciro Foundation na ndani ya mwezi mmoja wananchi walikuwa wamechanga karibia dola milioni arubaini. This just shows how we believe in him. Hayo maneno ya nje hayamnyimi usingizi.
 
Bado hujajibu hoja, je, si kweli kuwa Kagame anawaunga mkono Ntaganda na Nkunda ambao ni watutsi?

Pili, nimekueleza kuwa Kofi Annan, Benjamin Mkapa na Olusegunu Obasanjo walimwita Kagame Nairobi na kumwambi amkamate Nkunda. Nkunda alikamatwa na Kagame in less tha seven days, hapo unabisha kitu gani? Je, si kweli kuwa Nkunda yupo Kigali under 'house arrest'? hapo unakataa nini. Kama unakataa tuambie Nkunda yupo wapi.

Tatu, kwanini Kagame wa Rwanda anaunga mkono Congo kugawanywa chini ya M23? What does he has to do with Congo!!!

Kuhusu kuvunja mahusiano ya ubalozi sijui kama unaijua historia ya Tanzania. Unakumbuka mwaka 1965,Uingereza na Ian Smith vs Tanzania. Historia ipi unayoijua kama hujui hili?

Kama Kagame ni shujaa ni kwanini ametafuta audience na John Kerry?
Yes you believe in Kagame because you're the beneficiary of his evil act i.e killings and ethic cleansing.

Kama maneno hayamnyimi usingizi,PK asingekuwa anazungumza hovyo ikiwa ni pamoja na kupinga uwepo wa majeshi nje ya mipaka yake. This time around the world has rallied against him and no more sympathy!

Mkuu JokaKuu endapo Rwanda ingeshirikiana na mataifa mengine mgogoro usingefikia hapo ulipo. Hili la surveillance Kagame hataki kulisikia wala la drone.
Fikiria kwanini anapinga uwepo wa majeshi ya kulinda amani nchini Congo. Kwanini adhani kua uwepo wake utaleta taabu.
Koba anasema hakuna ushahidi wa Kagame kuhusika na mtafaruku wa Congo. Labda nimkubushe kuwa Laurent Nkunda ambaye ni mtutsi na mwanajeshi wa zamani wa Rwanda na pia mzaliwa wa Rwanda alitakiwa na mtaifa.
Mkapa, Kofi Annan walimwita Kagame pale Nairobi na kumwambia kama hatamkamata Nkunda atakiona. Ilichukua wiki moja Kagame akamkamata. Guess what, Nkunda hayupo magereza yupo nyumbani mjini Kigali akilindwa na Kagame kwa starehe.

Ndivyo ilivyo kwa Bosco Ntaganda muuaji wa vijana mwenye sifa kama za Nkunda. Naye pia alikuwa mwanajeshi wa Rwanda na mshirika wa Kagame, wote wakileta taabu na wanalelewa na Kagame.

Katika miezi ya karibuni walitoa wazo la kura ya maoni ya kivu kujitenga na DRC ambalo Kagame aliliunga mkono akijua kuwa uwepo wa nchi ya Kivu ni extension ya Rwanda kama anavyotaka. Huyu Kagame nani atamwamini kuwa anataka amani nchini DRC?

Kuhusu kuiba utajiri sijui Koba anataka Kagame akamatwe na vitu kama mwizi wa bara barani.
Nchi zinazofaifika na wizi wa Rwanda zingine zimeanza kuonyesha concern ndio maana utasikia kitu kinaitwa blood diamond.

In short mataifa kama Marekani hayakurupuki tu, watu wameshafanya uchunguzi wa nguvu za M23A na kubaini bila shaka kuwa anayetoa ufadhili ni Paul Kagame wa Rwanda na sasa wanaanza kumshukia. Ni suala la muda tutasikia uharamia wa Kagame hadharani.
Sitaki kukuita muongo ila almost kila kitu ulichoandika is wrong,first Nkunda ni Congolese na kazaliwa Congo na kusomea Kisangani,kukamatwa Nkunda na Rwanda ilikuwa deal ya nipe nikupe btn Kagame na kabila and has nothing to do with Mkapa,na huyo Koffi hakuna mtu anadhaurika kama huyo Kigali ambaye alikataa hata kupeleka majeshi ya UN wakati watu walikuwa wanachinjwa mtaani kama kuku lakini akatuma ndege kuokoa wazungu tuu hakuna mtu anasikiliza bozo huyo Kigali..mengine go educate yourself!!
 
Ngoja nikujibu kwa point

.1 Nkunda alipinduliwa na Ntaganda akakimbilia Kigali hakukamatwa na Kagame. Soma vizuri. He is a non player kwenye politics za DRC.

2. Ntaganda yuko the Hague sijui kama unafahamu hilo. Na yeye alipinduliwa na Sultan Makenga akakimbilia Kigali hakukamatwa na Kagame. Soma vizuri. So now is a non-player kwenye politics za DRC. Unakubaliana na hilo?

3. Nimekuambia kuwa Kagame haitwi na mtu. Obviously hiyo taarifa ya kuitwa kwa Kagame iko public. Show us where it is written.

4. Kuhusu kuvunja mahusiano. hahahaha let me laugh. Una compare Rhodesia na Ufaransa. hahahaha!

5. Kagame ametafuta audience na John Kerry? Show me
 
Kwanini wawe wanakimbilia Kigali tu? Na kwanini Kagame aliunga mkono kugawanywa kwa Congo?
 
Slim boy akamatwe achapwe viboko, hivi vijinchi kama vichuguu vina matatizo sana, watu wabishii wakati hawana uwezo...lol:A S-key:
 
Duuuhh! Kwa sababu ni karibu...hivi wewe uko arusha halafu kuna machafuko utakimbilia zambia au kenya? kweli wewe ni mkuu wa chuo!! Na wasiwasi chuo chako wote ni failures
 
just by reading your signature tells me a lot about your thinking capacity
 
Duuuhh! Kwa sababu ni karibu...hivi wewe uko arusha halafu kuna machafuko utakimbilia zambia au kenya? kweli wewe ni mkuu wa chuo!! Na wasiwasi chuo chako wote ni failures
kumbe tupo tunajadiliana na mtu mwenye akili kama ya Panzi, sasa hayo machafuko ni nani aliyesababisha? yaani unavyojibu utafikiri Nkunda alikuwa ni mtu mwema sana!

vipi kuhusiana na Kagame kuunga mkono kugawanywa Congo...
 
Sitaki kukuita muongo ila almost kila kitu ulichoandika is wrong,first Nkunda ni Congolese na kazaliwa Congo na kusomea Kisangani,kukamatwa Nkunda na Rwanda ilikuwa deal ya nipe nikupe btn Kagame na kabila and has nothing to do with Mkapa,na huyo Koffi hakuna mtu anadhaurika kama huyo Kigali ambaye alikataa hata kupeleka majeshi ya UN wakati watu walikuwa wanachinjwa mtaani kama kuku lakini akatuma ndege kuokoa wazungu tuu hakuna mtu anasikiliza bozo huyo Kigali..mengine go educate yourself!!
Koba, Nguruvi3,

..kama Kagame ana uwezo wa kumkamata kiongozi wa waasi wa DRC, basi inawezekana yeye ndiye godfather wa kundi hilo.

..kwa upande mwingine, kwanini anayeandamwa na kutuhumiwa ni Kagame na genge lake, na siyo maraisi wengine wa nchi majirani na DRC??

..Kagame amefanya mambo makubwa sana kwa Rwanda, lakini sidhani hiyo inahalalisha unyama aliowatendea na anaoendelea kuwatendea wananchi wa DRC.

cc: murutongore
 
Last edited by a moderator:
Mkuu JokaKuu endapo Rwanda ingeshirikiana na mataifa mengine mgogoro usingefikia hapo ulipo. Hili la surveillance Kagame hataki kulisikia wala la drone.
Fikiria kwanini anapinga uwepo wa majeshi ya kulinda amani nchini Congo. Kwanini adhani kua uwepo wake utaleta taabu.
Koba anasema hakuna ushahidi wa Kagame kuhusika na mtafaruku wa Congo. Labda nimkubushe kuwa Laurent Nkunda ambaye ni mtutsi na mwanajeshi wa zamani wa Rwanda na pia mzaliwa wa Rwanda alitakiwa na mtaifa.
Mkapa, Kofi Annan walimwita Kagame pale Nairobi na kumwambia kama hatamkamata Nkunda atakiona. Ilichukua wiki moja Kagame akamkamata. Guess what, Nkunda hayupo magereza yupo nyumbani mjini Kigali akilindwa na Kagame kwa starehe.

Ndivyo ilivyo kwa Bosco Ntaganda muuaji wa vijana mwenye sifa kama za Nkunda. Naye pia alikuwa mwanajeshi wa Rwanda na mshirika wa Kagame, wote wakileta taabu na wanalelewa na Kagame.

Katika miezi ya karibuni walitoa wazo la kura ya maoni ya kivu kujitenga na DRC ambalo Kagame aliliunga mkono akijua kuwa uwepo wa nchi ya Kivu ni extension ya Rwanda kama anavyotaka. Huyu Kagame nani atamwamini kuwa anataka amani nchini DRC?

Kuhusu kuiba utajiri sijui Koba anataka Kagame akamatwe na vitu kama mwizi wa bara barani.
Nchi zinazofaifika na wizi wa Rwanda zingine zimeanza kuonyesha concern ndio maana utasikia kitu kinaitwa blood diamond.

In short mataifa kama Marekani hayakurupuki tu, watu wameshafanya uchunguzi wa nguvu za M23A na kubaini bila shaka kuwa anayetoa ufadhili ni Paul Kagame wa Rwanda na sasa wanaanza kumshukia. Ni suala la muda tutasikia uharamia wa Kagame hadharani.

Well said Mkuu..ila hao kina murutongere, koba na wenzao watakuita interahamwe kwa sababu kwao yeyote anayeweka ukweli bayana kuhusu kagame ni interahamwe. The truth about you tutsi has all along be put in broad day light. Najua koba na kundi lake wataanza matusi km kawaida yao.
 
Wakuu kwenye jamvi hili tukumbuke kuwa kuna kitu kinafukuta DRC, tutake tusitake. Tunatakiwa tutoe maoni ya kusaidia majirani zetu waepuke balaa, na si kuingia kwenye balaa zaidi. This time around Tanzania imetishiwa na Kagame, mpaka Rais, Makamu wake, Rais SMZ, CDF na Mkuu wa TISS wote walitembelea Kagera na kutoa ujumbe mzito, hili si jambo dogo, the worst can happen. Tukumbuke kuwa TZ is not DRC, kuna watusi wengi sana Kigoma na Kagera, lakini wao si watusi kama kina Nkundabwatare, Nataganda. Bizimana karahana, it is possible that watusi na wahutu walioko DRC have no love and respect to the country which hosted them and they are ready to murder the weak of those who hosted them. Those who are here, at least they have respect to our country and our ways of life. kwa hiyo ni bora tusiwavictimize. Kagame may have threatened Museveni and two Kabilas, may have had a hand or not in downing of Habyarimanas jet, may have had a hand in CAR as some try to claim, lakini huku mashariki anakosogea kuna tofauti kiasi, it is very possible that it will not play they way it has in those countries. Mnaomsifia na kumtetea Kagame ni wajinga, kwa kuwa vitendio vyake vinahatarisha sana usalama wa muda mrefu wa wanyarwanda(makabila yote, lakini hasa watusi), hata siku moja siwezi kuamini kama wahutu wote ni Interahamwe, na siamini kama watusi wote ni wahanga au wana mawazo sawa na Kagame.

Na sitaki kuamini kuwa mtusi mkimbizi kutoka Uganda na Tanzania ndio anajua uchungu wa genocide kuliko mtusi aliyekaa Rwanda na kuvumilia ukatili wa Habyarimana, ku-survive chinjachinja ya Interahamwe, na aliyekuwa anakimbia mapanga Kigali na sehemu nyingine za rwanda, na sitaki kuamini kuwa mtanzania ambaye alikuwa anakunywa maji ya maiti mto Kagera, kuopoa miili ya marehemu kwenye mto Kagera na kuizika, na kupokea mamia wa wakimbizi ambao mbali na majeraha ya kimwili pia wana majeraha makubwa ya kiroho, hayuko sahihi anaposema ongea na FLDR. My point here is, version ya mtu mmoja kuhusu RWANDA/DRC, na kutumia genocide kama political capital.....inaleta maswali mengi sana kuhusu ukweli wa mapenzi kwa watusi au tu ni mtaji wa kisiasa.

It is a fact that hutus are currently second class citizens of Rwanda, they may be not de jure but de facto, and that in itself is a time bomb which in the end will bring the back the situation which made Paul kagame and his parents to flee a country in first place, Paul Kagame will not be there in 20 30 years when that bomb will explode.
 
Bado hoja yako haina mantiki hata kidogo. Hivi hebu nikuulize? MONUSCO ni nini? Ipo Congo tangu lini? What have they done? Nothing. You know why? Because they are FDLR bedfellows. Halafu, hilo la Laurent Nkunda, hakuna aliyemshinikiza Kagame amkamate Nkunda. No one can force Kagame to do anything. Waulize Wafaransa. Walijaribu kesho yake akamfukuza balozi na akafunga ubalozi. Sarkosy alirudi akapiga magoti akaomba waanze upya bila kudharauliana. Can Tanzania do that? Can tanzania close UK High Commission? Naaaah! Don't think so? Hamna ubavu huo? What I want to say is that in Kagame you have a strong leader with a clear vision of what he wants to do for his people sasa wazungu hawati kiongozi kama huyo. Wanataka viongozi legelege ili waweze kuwa control and hence plunder your resources ili mendelee kuwa maskini omba omba. Kagame aliwaambia wazungu simamisheni misaada yenu sisi tutaenda shambani tule mihogo kuliko kunyanyaswa eti kwa sababu mnatupa misaada. Hapo hapo alianzisha mfuko wa Agaciro Foundation na ndani ya mwezi mmoja wananchi walikuwa wamechanga karibia dola milioni arubaini. This just shows how we believe in him. Hayo maneno ya nje hayamnyimi usingizi.

We Mkuu hivi Rwanda ni Kagame tu na haina watu wengine? Do Rwandans believe in him or God? Tanzania tuwewahi kuwafukuza hao unaosema, not UK, tuliwahi kuwafukuza Ujerumani na kuwaambia waondoe na misaada yao, so we did it and we can definately do it again, kufunga ubalozi ni kitu kidogo sana. are you sure Sarkozy alikuja kupiga magoti, unajua lengo lake hasa lilikuwa ni nini kurudisha uhusiano na Rwanda?

By the way do you know that going to bed with FDLR is not different from going to bed with M23. Muuaji ni muuaji tu, awe mtanzania, mtusi au mhutu. M23 to me are equally as bad as FDLR. why should we demonize a rwandese hutu murderer, and defend, support and protect a congolese tutsi murderer, are these people really different? au muuaji mtusi ni bora kuliko muuaji mhutu? if there is any person with this view atakuwa eediot kabisa.

Kumhifadhi Nkundabwatare Kigali na kumhifadhi Interhamwe DRC ni kitu kilekile, we need to be objective in this.
 
kumbe tupo tunajadiliana na mtu mwenye akili kama ya Panzi, sasa hayo machafuko ni nani aliyesababisha? yaani unavyojibu utafikiri Nkunda alikuwa ni mtu mwema sana!

vipi kuhusiana na Kagame kuunga mkono kugawanywa Congo...

Evidence??
 
Honestly I think PK need to do the following:
1. Ask the High level meeting with SADC and make his case
2. consider the implementation of the Arusha agreement of 1994 prior to genocide
3. consider making Rwanda a Switzeland of Africa and so should advocate for the demilitarization of Rwanda, and all groups with arms to put down their arms, the International community can help on this.
4. Advocate for the Intermarriage between the Hutu and Tutsi.
5. Make laws that will punish anyone who descrimnate anybody based on ethnicity
6. Create a Security assembly in Rwanda that is made of Hutu Elders, Tutsi Elders, Hutu professional, Tutsi Professionals, Eminent people who will work to ensure that tribal hatred is removed, to ensure that no tribal clashes
7. If all those fail, then PK should handle Rwanda to the trusteeship of Nations, that will ensure equality and peace in Rwanda
 
Ngoja nikujibu kwa point

.1 Nkunda alipinduliwa na Ntaganda akakimbilia Kigali hakukamatwa na Kagame. Soma vizuri. He is a non player kwenye politics za DRC.

2. Ntaganda yuko the Hague sijui kama unafahamu hilo. Na yeye alipinduliwa na Sultan Makenga akakimbilia Kigali hakukamatwa na Kagame. Soma vizuri. So now is a non-player kwenye politics za DRC. Unakubaliana na hilo?

3. Nimekuambia kuwa Kagame haitwi na mtu. Obviously hiyo taarifa ya kuitwa kwa Kagame iko public. Show us where it is written.

4. Kuhusu kuvunja mahusiano. hahahaha let me laugh. Una compare Rhodesia na Ufaransa. hahahaha!

5. Kagame ametafuta audience na John Kerry? Show me
Kwanza nikuambie kuwa nina uhakika hamfuatili habari za dunia au mnafuatilia na mnajifanya hamnazo.
Taarifa ya Nkunda kukamatwa na Kagame ilifuatia mkutano wa Nairobi kati ya Kagame, Kofi, Obasanjo na Mkapa. Habari zote zipo wazi. Acheni ubishi wa kipuuzi muulizeni Kagame

Pili kuhusu kuvunja mahusiano hapa pia napata taabu sana kujadiliana nanyi.
Nilichogundua ni kuwa ima hamjui au ni wadogo sana kiasi kwamba habari nyepesi hamzijui. Nilipoandika Uingereza na Ian Smith Vs Tanzania sikumaanisha Tanzania ilivunja uhusiano na Rhodesia. Nilichotaka kukuonyesha na ulichoshindwa kuelewa ni kuwa Tanzania ilivunja uhusiano na Uingereza kuanzia mwaka 1965 hadi 1974 kutokana na Uingereza kuitambua Rhosesia ya Ian Smith.
Tanzania ilifanya hivyo wakati Kagame akiwa amevaa Nepi na Diaper. Wakati Kagame hajui utamu wa damu ya Wahutu. Wakati Kagame hajui kuuza watoto na kunajisi wasichana kwa kutumia majeshi yake yanayojiita M23 kule Congo.

Sasa kama habari za wiki iliyopita huzijui ambako waziri Membe alisema ni muhimu kwa SADC kushirikishwa katika mazungumzo na kama hujui statement ya Marekani ilitokana na nini hilo siwezi kukusadia.

Nilichogundua ni kuwa wewe na mwenzako Koba ni weupe sana, busara ni kuacha kujadiliana nanyi.
Sijui hata kama mnajua kuwa Kagame alikulia Uganda or you're arguing for the sake of Tutsi

Sisi hatupo hapa kutetea Ututsi or Uhutu kwasababu mlipomalizana mwaka 1994 tuliwakaribisha mkaishi Tanzania kwa raha. Wasomi wengi walioko katika serikali ya Kagame wamesomea Tanzania kabla ya kwenda kwingine.
Hamkuchukua ukimbizi ufaransa mlikuwa Tanzania kwahiyo Tanzania ni bora sana kuliko kuwa na uhusiano na ufaransa.

Tunachokemea ni tabia ya arrogance ya Kagame isiyojadili utu, tabia ya kutamani kugegeda mifupa ya wanadamu na tabia yakuwa na kiu ya damu ya wanadamu licha ya ukweli ana kila kinywaji katika friji.

I am done with you bro, you're white in upper chamber, not worth having conversation with
 
Last edited by a moderator:
Sitaki kukuita muongo ila almost kila kitu ulichoandika is wrong,first Nkunda ni Congolese na kazaliwa Congo na kusomea Kisangani,kukamatwa Nkunda na Rwanda ilikuwa deal ya nipe nikupe btn Kagame na kabila and has nothing to do with Mkapa,na huyo Koffi hakuna mtu anadhaurika kama huyo Kigali ambaye alikataa hata kupeleka majeshi ya UN wakati watu walikuwa wanachinjwa mtaani kama kuku lakini akatuma ndege kuokoa wazungu tuu hakuna mtu anasikiliza bozo huyo Kigali..mengine go educate yourself!!
JokaKuu, hapa hakuna majadiliano na watu wanaoelewa nadhani huu ni ushaidi wa kutosha.

Koba hajui mauaji ya Rwanda yalitokea lini, hajui Kofi Atta Anna alikuwa katibu mkuu wa UN lini, sasa huyu anajua nini anachoweza kueleza masikini ya mungu?
Koba I am done with you Bro. I don't have time to discuss matter with Nincompoop! go back to the library and make sure you start by singing ABCDEFG....HIJK. For the time being you know nothing.

I apologize for wasting my time with you.
 
Honestly I think PK need to do the following:
1. Ask the High level meeting with SADC and make his case
2. consider the implementation of the Arusha agreement of 1994 prior to genocide
3. consider making Rwanda a Switzeland of Africa and so should advocate for the demilitarization of Rwanda, and all groups with arms to put down their arms, the International community can help on this.
4. Advocate for the Intermarriage between the Hutu and Tutsi.
5. Make laws that will punish anyone who descrimnate anybody based on ethnicity
6. Create a Security assembly in Rwanda that is made of Hutu Elders, Tutsi Elders, Hutu professional, Tutsi Professionals, Eminent people who will work to ensure that tribal hatred is removed, to ensure that no tribal clashes
7. If all those fail, then PK should handle Rwanda to the trusteeship of Nations, that will ensure equality and peace in Rwanda
Gamba una mix mambo hapa,Rwanda hawana matatizo hayo unayofikiria na hawahitaji msaada wa UN or any nation kuwasaidia and probably more peaceful and prosperous kuliko hata TZ for now,ofcourse wana matatizo yao kama nchi nyingine tuu lakini not catastrophic na solvable through their legal/politics/insititution etc issue ni Congo ambayo wengi humu kwa kutokujua or politics zao wanaamini matatizo ya Congo ni kagame,ila one thing for sure matatizo ya Congo ni Congolese wenyewe and has nothing to do with Rwanda na wakiendelea kuamini hivyo wataendelea kuchinjana mpaka wote waishe.
 
Kwanza nikuambie kuwa nina uhakika hamfuatili habari za dunia au mnafuatilia na mnajifanya hamnazo.
Taarifa ya Nkunda kukamatwa na Kagame ilifuatia mkutano wa Nairobi kati ya Kagame, Kofi, Obasanjo na Mkapa. Habari zote zipo wazi. Acheni ubishi wa kipuuzi muulizeni Kagame

Pili kuhusu kuvunja mahusiano hapa pia napata taabu sana kujadiliana nanyi.
Nilichogundua ni kuwa ima hamjui au ni wadogo sana kiasi kwamba habari nyepesi hamzijui. Nilipoandika Uingereza na Ian Smith Vs Tanzania sikumaanisha Tanzania ilivunja uhusiano na Rhodesia. Nilichotaka kukuonyesha na ulichoshindwa kuelewa ni kuwa Tanzania ilivunja uhusiano na Uingereza kuanzia mwaka 1965 hadi 1974 kutokana na Uingereza kuitambua Rhosesia ya Ian Smith.
Tanzania ilifanya hivyo wakati Kagame akiwa amevaa Nepi na Diaper. Wakati Kagame hajui utamu wa damu ya Wahutu. Wakati Kagame hajui kuuza watoto na kunajisi wasichana kwa kutumia majeshi yake yanayojiita M23 kule Congo.

Sasa kama habari za wiki iliyopita huzijui ambako waziri Membe alisema ni muhimu kwa SADC kushirikishwa katika mazungumzo na kama hujui statement ya Marekani ilitokana na nini hilo siwezi kukusadia.

Nilichogundua ni kuwa wewe na mwenzako Koba ni weupe sana, busara ni kuacha kujadiliana nanyi.
Sijui hata kama mnajua kuwa Kagame alikulia Uganda or you're arguing for the sake of Tutsi

Sisi hatupo hapa kutetea Ututsi or Uhutu kwasababu mlipomalizana mwaka 1994 tuliwakaribisha mkaishi Tanzania kwa raha. Wasomi wengi walioko katika serikali ya Kagame wamesomea Tanzania kabla ya kwenda kwingine.
Hamkuchukua ukimbizi ufaransa mlikuwa Tanzania kwahiyo Tanzania ni bora sana kuliko kuwa na uhusiano na ufaransa.

Tunachokemea ni tabia ya arrogance ya Kagame isiyojadili utu, tabia ya kutamani kugegeda mifupa ya wanadamu na tabia yakuwa na kiu ya damu ya wanadamu licha ya ukweli ana kila kinywaji katika friji.

I am done with you bro, you're white in upper chamber, not worth having conversation with

Don't chicken out. Stay there and defend your comments. Ngoja nikuvutie pumzi
 
JokaKuu, hapa hakuna majadiliano na watu wanaoelewa nadhani huu ni ushaidi wa kutosha.

Koba hajui mauaji ya Rwanda yalitokea lini, hajui Kofi Atta Anna alikuwa katibu mkuu wa UN lini, sasa huyu anajua nini anachoweza kueleza masikini ya mungu?
Koba I am done with you Bro. I don't have time to discuss matter with Nincompoop! go back to the library and make sure you start by singing ABCDEFG....HIJK. For the time being you know nothing.

I apologize for wasting my time with you.
LOL,unakuja humu unatuambia Nkunda is Rwandese na kazaliwa Rwanda tukikuambia ukweli unaishia I'M DONE,endelea kuwadanganya Congolese matatizo yao ni Kagame ila kuna siku watagundua watu kama wewe ndio matatizo yao yanapoanzia...good riddance anyway!!!
 
Back
Top Bottom