Kila post nitakulipa dola 100 (American)!subiri nitakukusanyia posts zako huku unazokiri wewe ni mtusi mpenda damu za watu(tutsi the blood sucker!)
Kila post nitakulipa dola 100 (American)!subiri nitakukusanyia posts zako huku unazokiri wewe ni mtusi mpenda damu za watu(tutsi the blood sucker!)
peace maker amekurupuka na kutaka vita haraka ,bila ya kuongea mezani na mwenzake.Hahahaha.hapo ndio utajua kuwa hii vita sio ya watanzania na wanyarwanda ila ni ya hawa watu wawili tu.Hatutaki vita.Kama umeandaa pesa ya vita tengeneza madawati nchi nchima na majengo ya shule .weka vifaa vyote muhimu vya shule vijijini mpaka mijini,hii ndio vita watanzania tunaitaka sana hata sasa hivi mimi nitashika bunduki na nitakuwa mstari wa mbele.
Can't you take a joke?acha ushamba kwanini utoe hukumu kwa jambo usilokuwa na uhakika nalo? hii nisawa na unavyomtetea kagame siyo muuaji angali hujui chochote kuhusu rwanda zaidi ya kubeba mabox marekani.
Kila post nitakulipa dola 100 (American)!
Can't you take a joke?
Damn,nyie watu mna chuki mpaka mnatisha.sihitaji hela za damu, nitakukusanyie bure tu iliudhibitishe ulivyo mwongo.
Wewe nani amekuambia Kagame au majeshi yapo Congo? na nani alikuambia Economy ya Rwanda inategemea Congo?nakushauri achana na story za kina rushasha watakuharibu kichwa
Labda wewe ndio hujaendelea,wenzako tumeendelea zamani sana,thats why kila siku nakuambia work hard kama kina Kagame achana na politics of hate!waafrika hatuendelei kwa sababu kila kitu tunachukulia utani utani tu!
basi kama unapinga inelekea kabisa unatetea usichokijua undani wake!Damn,nyie watu mna chuki mpaka mnatisha.
so what?...hata mimi ni Mtanzania 100%!!
Safi sana kama mali ya Congo inajenga Africa sioni tatizo kuliko ikatajirishe Wallstreet,na hiyo dream yenu mliyo export Congo ya kuwamaliza Nyamulenge ndio matatizo yote yanaanzia hapo na msipoangalia watawamaliza nyie kwanza,dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana!!Hatusubiri kuambiwa huo ndo ukweli mmekazania kuiba mali za DRC nyie na waganda hasa mdogo ake na museven yule salehe! Mmejenga nyarutarama kwa mali ya DRC. Majeshi yenu yapo DRC na wengine walikamatwa wakiingia DRC wakiwa wamevaa nguo za kike. Mlivamia rwanda mkitokea uganda mkiwa mmeungana watutsi wote waliopo kongo, TZ, burundi na uganda kwenyewe. Na lengo lenu likiwa sasa muungane tena mvamie Mashariki ya Congo kwasababu mnajisifu kuwa mshaivamia na kuitawala Uganda na Rwanda. Sasa muingie DRC...hapo ndio mmefika mwisho wa reli. Wanyamulenge wote lazima warudishwe rwanda na DRC ibakie na Wakongo wenye nchi yao pawe na amani. Nyie mkaendelee kuchinyana huko rwanda..
labda wewe ndio hujaendelea,wenzako tumeendelea zamani sana,thats why kila siku nakuambia work hard kama kina kagame achana na politics of hate!
Una hasira sana wewe interahamwe,tulia usije ukajipa pressure ya bure.Hamna Mtanzania anayemtetea tyrant kagame. Unaupenda u Tanzania eeh? Utasubiri sana..Hata watoto wadogo wa TZ wanamjua kagame ni muuaji na mtukana matusi anayependa kumwaga damu za watu anayechukia amani...
kweli utumwa ni haramu, kukimbia nchi yako na kuishi marekani kubeba mabox ndiyo kuendea?, sisi tupo nchini kwetu tunajenga nchi SIJUI MJANJA NI NANAI HAPO!labda wewe ndio hujaendelea,wenzako tumeendelea zamani sana,thats why kila siku nakuambia work hard kama kina kagame achana na politics of hate!
ndio Africa hiyo 99% ni maskini wa kutupa so hakuna jipya hapo,hata wewe inawezekana ni njaa kali tuu na wala sikucheki ila ndio hali halisi!sijui hata rwanda ulifika lini wewe, na kama umefika siku za karibuni umeishia kigali kupewa hela za kuendeleza propaganda za kikabila ndani ya jf hujaona watu wanaoishi maisha ya dhiki chini ya robo dola huko rwanda vijijini..
Nina uhakika nachangia pato kubwa hapo TZ kuliko wewe unayeishi hapo,na hakuna ubaya kubeba box kama ningekuwa katika position ya kulibeba ningelibeba tuu 100%.kweli utumwa ni haramu, kukimbia nchi yako na kuishi marekani kubeba mabox ndiyo kuendea?, sisi tupo nchini kwetu tunajenga nchi SIJUI MJANJA NI NANAI HAPO!
Una hasira sana wewe interahamwe,tulia usije ukajipa pressure ya bure.
ndiyo maana umeamua kuolewa marekani ili kuepuka kuwa masikini wa kutupa? Kweli koba wewe ni janga!ndio africa hiyo 99% ni maskini wa kutupa so hakuna jipya hapo,hata wewe inawezekana ni njaa kali tuu na wala sikucheki ila ndio hali halisi!
nina uhakika nachangia pato kubwa hapo tz kuliko wewe unayeishi hapo,na hakuna ubaya kubeba box kama ningekuwa katika position ya kulibeba ningelibeba tuu 100%.