Rwanda kuna Wafanya Biashara wazuri wanao-export value added products

Rwanda kuna Wafanya Biashara wazuri wanao-export value added products

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,065
Reaction score
25,160
Nimewahi kukuta kahawa ya rwanda kwenye maduka ya marekani mara kadhaa sana. Sijawahi kukuta Kahawa ya Tanzania ikuzwa kwenye mduka ya Marekani. Leo nimekuta unga wa ugali kutoka Rwanda kama ionekanavyo kwenye pich hizi. Bei yake ilikuwa ni ghali kidogo ukilinganisha na unga wa kutoka Gana.

1779348313588.png


1779348362364.png
 
Back
Top Bottom