Rwanda iungane na Tanzania kuwa nchi moja

Rwanda iungane na Tanzania kuwa nchi moja

Wewe kuwa "informed" au kutokuwa "informed" kuhusu chochote mimi hainihusu, soma niliyoandika kama huyapendi unaweza andika upendacho. Achana na dhanna ya mimi kuwa au kutokuwa "informed".

Unajuwa Watutsi na Wahutu walivyokuwa wanauana hovyo mpaka makanisani waliosalimika walikimbilia wapi kupata salama yao?
mi naona kama vile bado unabwabwaja tu! kama hauna la kusema basi acha kuharibu uzi wa watu, unafiki sio fani sister!!!
 
mi naona kama vile bado unabwabwaja tu! kama hauna la kusema basi acha kuharibu uzi wa watu, unafiki sio fani sister!!!

Nnaebwabwaja mimi au wewe, uliyeacha mada na kuanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango kuhusu mimi, nimekupa za uso sasa umechemka hauna cha kujibu, mada imekushinda umeona univae mimi? Hapa utatakaa chini tu, kumbuka hilo. Sina u sister na wewe. Koma.

Punguani wahed.
 
Ukiwaambia watutsi hilo hata leo watashangilia lakini nnakuhakikishia miaka 3 tu tutaanza kuuana wenyewe kwa wenyewe humu ndani yoa nchi.

Hao ni watu hatari sana ambao kwao ni mwiko kutawaliwa na wahutu aka wabantu. Wakitawaliwa na mbantu ujuwe wapo mbioni kufanya kila hila wamuondoshe hata damu ya mamilioni imwagike kwao si kitu mradi tu mbantu asiwatawale.

Sasa imagine watawaliwe na Magu!

Kasheshe.
Yap! Well said mama. Sisi watz bahati nzuri tunaendana kwa mambo mengi sana. Ukiachana na matatizo madogo madogo ila Mola katujalia sana
 
Hako ka kipande ka habari ndo source zako ndo maana unakurupuka kama wenzako, sasa Interahamwe ni kina nani?
Tafuta Taarifa sahihi Faiza.

Kumbe hata link haujuwi maana yake ni nini? Pole sana.

Ngoja nikusaidie; "hako ka kipande ka habari" kabofye utafika kwenye habari kamili.

Mnajitia ujanja kumbe hata kutumia mtandao hamuelewi.

Hiyo sio reliable source afu siwezi soma sana kitu ninachokifahamu wewe endelea kumeza huo uchafu wa Google, wewe umeelimika nini mdini mkubwa ww, Extremely Punguani.
 
Nnaebwabwaja mimi au wewe, uliyeacha mada na kuanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango kuhusu mimi, nimekupa za uso sasa umechemka hauna cha kujibu, mada imekushinda umeona univae mimi? Hapa utatakaa chini tu, kumbuka hilo. Sina u sister na wewe. Koma.

Punguani wahed.
hakuna kilichonishinda dada! kinachonishinda kuelewa ni jinsi unavyo lazimisha kutililika hata kwenye mambo ambayo hauyajuwi yanapotoka wala yanapoelekea, najuwa we bingwa wa chuki lakini ningekushauri ujihusishe zaidi na yale mambo ya kidini zaidi kwani ndio fani zako
 
lazima uwe ***** ww, una uhakika rwanda haina wakimbizi tz?. Nenda mpakani wa rwanda na tz uje ujionee wanyarwanda hawana hamu ya kukaa kwako wanaingia tz kama wahamiaji au wavamizi haramu. Isitoshe tanzania hatutaki kuungana na nchi ingine hiyo zanzibar tu ni mzigo tosha tunawabeba kwa gharama kubwa na bado hawana shukurani kila siku wanatishia kuvunja muungano. Kuoa wanawake wa kinyarwanda haihiitaji mpaka tuunganishe nchi mbona wapo wanajirahisi tu na hata hivi sasa wanaolewa sana tz wanawake wa kinywarwanda wazuri ila wepesi tu kuwapata huhitaji kuji risk mpaka kuunganisha nchi.
Hawana uzuri wowote, mi nipo huku biharamulo naona maaskar wengi wanaoa hao wanyarwanda lakini sijaona uzuri wao kwakweli. Mi nabaki kujilia wabongo wenzangu
 
R.I.P REV. CHRISTOPHER MTIKILA

Uliyotutahadharisha kuhusu Rwanda , leo tunataka kuyabariki!
 
hakuna kilichonishinda dada! kinachonishinda kuelewa ni jinsi unavyo lazimisha kutililika hata kwenye mambo ambayo hauyajuwi yanapotoka wala yanapoelekea, najuwa we bingwa wa chuki lakini ningekushauri ujihusishe zaidi na yale mambo ya kidini zaidi kwani ndio fani zako

= kutiririka

Mabingwa wachuki ni wale waliouana kwa mamilioni huko Rwanda na bado wanaendelea kuuana, kwani unafikiri hayajulikani? Pata na hii yakuingie vizuri:
Rwanda genocide 20 years on: 'We live with those who killed our families. We are told they're sorry, but are they?'
 
Watutsi ni wabantu pia.nenda ka google.

Mkuu, Faiza anacho sema ni sahihi kabisa, Watutsi wanazungumza lugha ya kibantu kama an acquired language siyo ya kiasili, nafikiri Kinyarwanda asili yake ni Wahutu - Watutsi walijifunza lugha hiyo ili iwe rahisi kwao ku blendin wanasema walikuja na makundi ya ng'ombe.

Watutsi asili yao ni Ethiopia - ukimuweka Muhabeshi na Mtutsi awe mwanamume au mwanamke watu hawawezi kuwatofautisha.

Niliwahi ku come across manifesto ya Watutsi wanakiri kwamba origin yao ni huko huko Ethiopia wana include na Wamasai lakini ukichunguza kuna ka ukweli ndani yake.

Sikusoma historia sijui hao Wahabeshi, Wasomali na Wamasai wako classified kwenye kundi gani, lakini Watutsi na wa Ethiopia wote wanapenda sana kufuga makundi makubwa ya ng'ombe could that be a coincident I don't think so.
 
Hiyo sio reliable source afu siwezi soma sana kitu ninachokifahamu wewe endelea kumeza huo uchafu wa Google, wewe umeelimika nini mdini mkubwa ww, Extremely Punguani.

The Telegraph, gazeti mashuhuri duniani unasema si reliable source? Ulitaka gazeti la Kitutsi The New Times la Rwanda ndiyo unaloliona kuwa ni reliable source?

Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom