Rwanda iungane na Tanzania kuwa nchi moja

Baada ya kuangalia Rwanda na kuona ambavyo imetulia na haijazalisha mkimbizi hata mmoja kuja Tanzania kwa muda mrefu wa utawala wa Kagame Naiona sasa kama nchi yenye amani na utulivu kama Tanzania inayoweza endana na mila na desturi za amani na utulivu walizonazo watanzania.
nashauri bunge lao lianze mchakato wa kuomba Rwanda ijiunge na tanzania tuwe nchi moja.Yaani Tanzania mpya iwe muungano wa Tanzania bara,Zanzibar na Rwanda.
Hivi Tanzania iko nchi gani kweli wajameni?
 
Ha ha ha ha haaaaa!! Mmeshaona raha kuvinyonya vinchi vidogo vidogo, Sasa mmeanza kumezea mate Na Rwanda! Hao Jamaa wanaroho Ngumu sana! Shauri yenu! CCM bana! Mnawaza kuongeza tu wigo wa utawala!
 
Baada ya kuangalia Rwanda na kuona ambavyo imetulia na haijazalisha mkimbizi hata mmoja kuja Tanzania kwa muda mrefu wa utawala wa Kagame Naiona sasa kama nchi yenye amani na utulivu kama Tanzania inayoweza endana na mila na desturi za amani na utulivu walizonazo watanzania.
nashauri bunge lao lianze mchakato wa kuomba Rwanda ijiunge na tanzania tuwe nchi moja.Yaani Tanzania mpya iwe muungano wa Tanzania bara,Zanzibar na Rwanda.

lazima uwe ***** ww, una uhakika rwanda haina wakimbizi tz?. Nenda mpakani wa rwanda na tz uje ujionee wanyarwanda hawana hamu ya kukaa kwako wanaingia tz kama wahamiaji au wavamizi haramu. Isitoshe tanzania hatutaki kuungana na nchi ingine hiyo zanzibar tu ni mzigo tosha tunawabeba kwa gharama kubwa na bado hawana shukurani kila siku wanatishia kuvunja muungano. Kuoa wanawake wa kinyarwanda haihiitaji mpaka tuunganishe nchi mbona wapo wanajirahisi tu na hata hivi sasa wanaolewa sana tz wanawake wa kinywarwanda wazuri ila wepesi tu kuwapata huhitaji kuji risk mpaka kuunganisha nchi.
 
Ukiwaambia watutsi hilo hata leo watashangilia lakini nnakuhakikishia miaka 3 tu tutaanza kuuana wenyewe kwa wenyewe humu ndani ya nchi.

Hao ni watu hatari sana ambao kwao ni mwiko kutawaliwa na wahutu aka wabantu. Wakitawaliwa na mbantu ujuwe wapo mbioni kufanya kila hila wamuondoshe hata damu ya mamilioni imwagike kwao si kitu mradi tu mbantu asiwatawale.

Sasa imagine watawaliwe na Magu!

Kasheshe.
Umezungumza kwa akili nyingi sana na kwa sauti kubwa yenye mashiko. Mtoa mada nadhani ni miongoni mwa waliomo kwenye karatasi ya malipo ya Kagame. Wale wanyarwanda wametulia kwa sababu wanatawaliwa kibabe na kidikteta. Paulo kagame aliwahi kumtisha rais wetu mstaafu kuwa atamuua, mnadhani alikuwa anatania ? Muulizeni rais Nkurunziza atawapa taarifa zaidi za kagame, jinsi alivyotaka kumtumia kumdhuru rais wetu. Hivi mnajua kwa nini kagame anamchukia sana Nkurunziza? Leo ndio mnataka tuungane nao, mnayajua madhara yake ? Au wengine ni tamaa ya ngono tu? Mbona tuna watanzania wazuri kuzidi hao wanyarwanda?
 
Baada ya kuangalia Rwanda na kuona ambavyo imetulia na haijazalisha mkimbizi hata mmoja kuja Tanzania kwa muda mrefu wa utawala wa Kagame Naiona sasa kama nchi yenye amani na utulivu kama Tanzania inayoweza endana na mila na desturi za amani na utulivu walizonazo watanzania.
nashauri bunge lao lianze mchakato wa kuomba Rwanda ijiunge na tanzania tuwe nchi moja.Yaani Tanzania mpya iwe muungano wa Tanzania bara,Zanzibar na Rwanda.
Hujui historia ya nchi zinazozunguka maziwa makuu. Ungefahamu usingeweza kuja na wazo hovyo kama hili,kama vile hatuna matatizo ya kutosha
 
Duh hapa nitatulia pembeni nione hii comedy itaisha vipi. Subiri waje ant-Rwanda brigade ndio povu zitaanza.
Pambana na al-shaabab kwanza, acha kushinda mitandaoni unapiga politiki. Ndio maana tumewakwepa kwenye bomba la mafuta. Mmekalia wizi na ufisadi, Mugabe anahofu mtaiba hadi jua, sasa anawasubiri mkifika Zimbabwe anawanyang'anya uanaume.
 
Baada ya kuangalia Rwanda na kuona ambavyo imetulia na haijazalisha mkimbizi hata mmoja kuja Tanzania kwa muda mrefu wa utawala wa Kagame Naiona sasa kama nchi yenye amani na utulivu kama Tanzania inayoweza endana na mila na desturi za amani na utulivu walizonazo watanzania.
nashauri bunge lao lianze mchakato wa kuomba Rwanda ijiunge na tanzania tuwe nchi moja.Yaani Tanzania mpya iwe muungano wa Tanzania bara,Zanzibar na Rwanda.
Hapo ndio watapoanza kugombania Urais.
 
Unawajua wahamiti wewe? Tofautisha kati ya wabantu na wahamiti. Hiyo google yako ina makengeza.
watutsi ni wabantu japo walitokea kuwa na asili ya ukushi/hamiti lakin kutokana na kuoana na wabantu damu ya kihamiti ilopotea na tamadun nazo zikabadilika na kuwa za kibantu
 
Mkuu achana na wajinga wasio elewa wao wanadhani watusi sio waafrika na mbaya zaidi wanao sema haya ni watu walio elimika,Nami nasema watusi ni wabantu kama wabantu wengine tofauti na mnavyodhani
Braza, sijakuelewa hapa. Kwani unataka kusema waafrika wote ni wabantu? Yaani kuwa mbantu ndiyo kuwa mwafrika?! Watutsi wanaweza kuwa siyo wabantu, lakini hilo haliwaondolei uafrika, ama unasemaje?
 
watutsi ni wabantu japo walitokea kuwa na asili ya ukushi/hamiti lakin kutokana na kuoana na wabantu damu ya kihamiti ilopotea na tamadun nazo zikabadilika na kuwa za kibantu
Leo naweza kujifunza mambo mengi sana humu. Sista, naomba unieleweshe mambo haya:
Unaposema watutsi ni hemitics kiasili, lakini kuoana na wabantu wakapoteza u-hemitics wao, hiyo ilikuwa mwaka gani? Watutsi hao wa asili, idadi yao ilikuwa kiasi gani mpaka kabila zima lipoteze uasili wao kwa kuoana na wabantu? Ina maana hawakuoana wenyewe kwa wenyewe? Na walivyooana lugha yao ya kiasili (ki-hemitics) ilipotea pia?
 
inasemekana kuwa watutsi wana damu ya kikushi walikuja maeneo ya maziwa makuu kitambo kidogo wakaingiliana na wabantu kisha wakaoana na tamaduni zao zikapotea ukiangalia hamna lugha inayoitwa kitutsi bali ni koo za watu ndo znasababisha wao kuwa watutsi
 
watutsi ni wabantu japo walitokea kuwa na asili ya ukushi/hamiti lakin kutokana na kuoana na wabantu damu ya kihamiti ilopotea na tamadun nazo zikabadilika na kuwa za kibantu
Aiseee! Wewe ni kiboko! Damu ya kihamiti ilipotea ? Ilipotelea wapi ? Kama hujui kitu, tafadhali uliza ujulishwe.
 
Back
Top Bottom