YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Baada ya kuangalia Rwanda na kuona ambavyo imetulia na haijazalisha mkimbizi hata mmoja kuja Tanzania kwa muda mrefu wa utawala wa Kagame. Naiona sasa kama nchi yenye amani na utulivu kama Tanzania inayoweza endana na mila na desturi za amani na utulivu walizonazo watanzania.
Nashauri bunge lao lianze mchakato wa kuomba Rwanda ijiunge na Tanzania tuwe nchi moja.
Yaani Tanzania mpya iwe muungano wa Tanzania bara, Zanzibar na Rwanda.
Nashauri bunge lao lianze mchakato wa kuomba Rwanda ijiunge na Tanzania tuwe nchi moja.
Yaani Tanzania mpya iwe muungano wa Tanzania bara, Zanzibar na Rwanda.