Hata mimi nasubiri jibu mkuu. Maana ninavyojua mimi asili haipotei. Wacha tusubiri majibu.Leo naweza kujifunza mambo mengi sana humu. Sista, naomba unieleweshe mambo haya:
Unaposema watutsi ni hemitics kiasili, lakini kuoana na wabantu wakapoteza u-hemitics wao, hiyo ilikuwa mwaka gani? Watutsi hao wa asili, idadi yao ilikuwa kiasi gani mpaka kabila zima lipoteze uasili wao kwa kuoana na wabantu? Ina maana hawakuoana wenyewe kwa wenyewe? Na walivyooana lugha yao ya kiasili (ki-hemitics) ilipotea pia?