Russian invasion on Crimea is underway

Russian invasion on Crimea is underway

kwenye nuclear exchange kati ya marekani na russia hakutakua na mshindi,dunia itabakia majivu,tukiwamo na sisi,sio jambo la kushabikia.

Inaitwa Mutual Assuared Destruction(MAD)

Mhhh yetu macho
 
US presdent obama and putin spoke for 90 minutes with each expressing their concern over the mounting crisis.according to separate statements released by their respective governments.
According to kremlin,putin told obama that,RUSSIA reserve the right to defend its interest in the crimea region and the russian peoples who live there.

Presdent obama made clear that Russia's continued violation of ukraine's soverignity and territory intergrity would negatively impact Russia's standing in the international community ,according to a statement released by the whitehouse.
 
Obama kamwambia Putin atoe majeshi yake ukrain
Na leo viongozi wakuu wa NATO wanakikao cha kuisaidia ukrain
 
And so it began.
Russian army are attacking sevastopol,ukrain pravda confirm,russian attacking the ukrainian 39th naval training unit.
 
I

But mkuu hebu tuwekeni mbali ushabiki,hii kitu ikitimua,mbio nani atashinda the race??
Urusi na marekani??

Mkuu Si USA wala EU wala NATO wala URUSI wanao weza kuingia vitani, Hizi nchi mbili kumbuka wana makombora ya hatari na si kama huko kwa warabu ambako USA huenda kuweka meli zake, kwa URUSI na haiwezekani kwa sababu URUSI ana makombola yote yakuweza kuzamisha zile manowari za USA na hata ULAYA hakuna nchi hata moja inayo weza kukubali, nchi yake iwe kituo cha USA.

ulisha wahi kujiluza ni kwa nini ule mpango wa USA kweka makombola ya kujilinda kule Ulaya mashairiki ulikufa, URUSI alitishia kupiga nchi itakayo kubali na wakina Poland ilibidi wakatae na mwazo walikuwa walisha kubali.
 
Mkuu Si USA wala EU wala NATO wala URUSI wanao weza kuingia vitani, Hizi nchi mbili kumbuka wana makombora ya hatari na si kama huko kwa warabu ambako USA huenda kuweka meli zake, kwa URUSI na haiwezekani kwa sababu URUSI ana makombola yote yakuweza kuzamisha zile manowari za USA na hata ULAYA hakuna nchi hata moja inayo weza kukubali, nchi yake iwe kituo cha USA.

ulisha wahi kujiluza ni kwa nini ule mpango wa USA kweka makombola ya kujilinda kule Ulaya mashairiki ulikufa, URUSI alitishia kupiga nchi itakayo kubali na wakina Poland ilibidi wakatae na mwazo walikuwa walisha kubali.
Mkuu jaribu kuangali kwenye raman u will see military base za marekani zipo poland na Turkey
 
Urusi kuibomoa Ukrain ni kujitakia mamatizo ndani ya Urusi kumbuka waislamu wa Urusi wanataka kujitenga na bbadhi ya majimbo yanaona kila kitu kinaifaidisha Moscow zaidi kuliko majimbo yao kumbuka Moscow au Saint PetersBurg hakuna gas, mafuta wala misitu, Maliasili inayowapa kiburi inatoka majimbo ya mashariki mwa Urusi.
Usisahau kuwa Western mipango yao ya kisiasa huwa endelevu hebu jiulize Putin akitoweka Urusi itakuwaje?


Mkuu wewe huwafahamu Warusi.
They can be pig headed hasa wakati huu ambapo nchi za magharibi zimecheza rafu kando mwa nchi yake.
If anything to go by, Georgia ilibomondwa bila West kufanya lolote.

Katika hili licha ya Urusi kuahidi kuisaidia Ukraine wakaamua kumpindua rais kwa msaada wa West,

Ukraine ndo inavunjika hivo , Urusi imeamua kuisaidia Crimea,yenye warusi wengi.

Warusi ukiwachokoza tegemea kiburi, na West wameipata sasa.
Katika hili the west can only watch and they will do NOTHING.
 
Russia na marekani hawawezi kupigana kamwe kwani wana walitiliana mkataba wa kutokupigana miaka ya nyuma ambao una dumu mpaka leo.
 
John kelly rule out the use of military to counter Russia invansion.
Kerry: Repercussions for Putin 'act of aggression' | Boston Herald
Thanks mkuu!
Nilisema mwamzoni, Marekani kutumia ngucvu kwa Russia hilo hakuna.
Wanajuana kwa vilemba hao jamaa na sasa Putin yuko kwenye overdrive, Obama hama ubavu wa kuingilia hapo.
Putin kasema analinda strategic interest zake kwa hiyo msisogelee hapao Crimea, mradi mlitumika kumwondoa rais aliyepita.

cc Kichuguu , [MENTION]WAWAZO UJENZI[/MENTION]
 
Russia na marekani hawawezi kupigana kamwe kwani wana walitiliana mkataba wa kutokupigana miaka ya nyuma ambao una dumu mpaka leo.

Mkataba gani huo kiongozi?

Unaweza ukatupa jina na mwaka uliosainiwa?
 
Russians are masters of chess

Idadi kubwa ya Chess World Champions na Grandmasters ni Russians. Mfano ni Garry Kasparov

Mchezo wa chess ni wa stratejia sana.Unahitaji akili nyingi.The kremlin wame anticipate western moves na kuzi counter,classic checkmate
 
Admiral Berezovsky head of ukraine Navy resign and order soldier to standdown.
_73317752_73317643.jpg
 
Hapa hakuna vita itakayotokea kati ya East na West. Watakachofanya hapa ni kuongea kikubwa, Marekani na EU kama kawaida watapiga domo katika Media kana kwamba wanatetea Ukraine wakati behind the scene wanaongea vingine na Russia. Afu ikumbukwe hizi nchi zilisaini Treaty kibao ili kuepuka vita vya kijinga miongoni mwao. Hakuna hata mmoja ambaye yupo tayari kujiingiza katika hasara zisizokuwa na mpango hasa katika kipindi hiki cha uchumi unaoteterekatetereka.
 
Admiral Berezovsky head of ukraine Navy resign and order soldier to standdown.
_73317752_73317643.jpg

Dah, hii kitu ni straght out of the "Arab Spring "movie

Tetesi ni kuwa script iliyotumika Tahrir square Egypt wameitumia Maidan square Ukraine
 
Akili ya Putin ni ya kizamani sana. Ni mmoja wa wale wanaojaribu kuandika historia ya zamani upya badala ya kuwa anafanya kazi ya kuweka historia mpya. Mgogoro huu ni mdogo sana lakini unaweza kuwa na madhara makubwa sana kwa dunia ya leo kutokana na ubongo wa Putin kama ilivyokuwa kwamba vita ya pili ya dunia ilisababishwa na ubongo wa Hitler kutaka kuandika upya historia ya zamani kuhusu himaya ya ujerumani.

Hizi ndo akili zetu...sijui umetumia kigezo gani kusema Putin anatumia akili ya zamani sana,in short tutapiga kelele humu ila hatutajua chanzo chake hasa hadi wamefika/amefikia hapo......We are African lets solve our problem 1st before looking outside our boundary ambayo hata tungeachiwa changamoto zao hata robo tu tutakesha miaka mia mbili hatumalizi hata robo ya tatizo.

Kama una akili kuliko huyo Putin tusaidie kuondoa matatizo ya kiuchumi hapa Tanzania au jambo kubwa kuliko hilo dogo la huko Russia la msongamano wa magari Dar-Es-Salaam.
 
Mkuu inaelekea wewe ni mmoja wa waathirika wa propaganda za magharibi kupitia CNN na mashirika mengine.
Siongei kwa jazba wala hisia.

Naongea straight inferences kutokana na matukio yaliyo wazi.

Ukiongea juu juu ya internal politics za Marekani na jinsi zinavyjiinflunce kwenye foreign policy yao, hilo ni tatizo lao.

Kwa Libya, get your facts correct.
Marekani ilitoa kibali kupitia UN ili Libya ipigwe , ila yenyewe ilisema haitopeleka majeshi ila misaada na intllijensia.
Hiyo misaada kwa waasi iliyotolewa kwa kupitia NATO, ambayo Marekani ni mwanachama namba moja, ndio iliyo mwondoa Gadaffi.

Usisahau kuwa ni satelite positioning radars za Marekani ndixo xilizo pin point mtaro alimojificha Gadaffi na hatimaye kuuwawa.
Kwa kuipindua Libya Marekani inahusika kwa 100%.
Wewe unaelekea kuwa anti-western na hivyo ku-distort facts against nchi za magharibi. Kuhusu upigwaji wa Libya, kwanza Obama hakupenda kabisa kuihusisha Marekani mpaka pale umoja wa mataifa ulipoingilia ili kukomesha mauaji ya raia. Ni kweli kuwa Marekani iko visible sana kwa sababu ya ukubwa wake, kulikuwa na majeshi mengi ya kutoka nchi za kiarabu, zaidi ya yale ya nchi za ulaya na Marekani. China yenyewe (ndumila kuwili) nayo ilipeleka meli yake ya kijeshi kule Libya ingawa mara ya kwanza walikuwa wakisita.

Mimi husoma sana habari kutoka vyanzo mbalimbali vya habari, siyo propaganda. After all CNN siyo watu wa propaganda kama unavyodhani, jaribu kulinganisha matangazo ya CNN na yale ya Al Jazeera ndipo ujue iwapo kuna propaganda kutoka CNN. Ni kweli kuwa mambo sensitive kwa security huwa hayatangazwi, lakini kutokuyatangaza ni tofauti kabisa na kupindisha ukweli, yaani propaganda. Vile vile jaribu kuwa unafuatilia taarifa za habari kutoka CTN ya China pia. Ukishaangalia habari kutoka sehemu zote hizo tatu basi utajua ukweli uko wapi.
 
Tuambie sasa walikua wanazungumzia nini?
Zen tupe source maana sijasikia British Broadicasting Corporation wala Caple News Network, wakisema jana hawa jamaa wamebonga!!!

Katika watu ambao si wapendi ni dizain yako.....Kuna aina ya watu humu duniani asipolisikia/kuona jambo yeye kwa masikio/macho yake anahalalisha kuwa jambo linalozungumziwa halipo au halijatokea.
MAWAZO UJENZI sijasikia kuwa hawa watu wameongea chochote coz sipo na media 24hrs ila aliyesema sio mpuuzi na walichoongea haviwezi kuwa wazi sana na mara nyingi habari ambazo huwa zinatolewa kwa wananchi ni zile zisizo kuwa na athari but am sure 85% ya mazungumzo ya aina hiyo huwa zinafichwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom