Russian invasion on Crimea is underway

Russian invasion on Crimea is underway

Watu wanaoilaumu Russia inawezekana hawajui lengo la huu mgogoro

Russia simply ana act on self defence. Nato inataka kuichukua Crimea ku cutt off access ya russia mediterranean pia kuizunguka moscow na Missile Defence Shield.Ikitokea vita kati ya hizi pande mbili Nato iwe na uwezo wa kuipiga Russia bila nuclear retaliation

Maandamano ya Kiev yalifanyawa na vikundi vyenye msimamo mkali kwa msaada wa kifedha wa George Soros(agent wa CIA).Kitendo cha West kuipindua serikali halali ya Kiev na Russia kujihami eti tunamlaumu Putin.Double Standards.Kama Mexico ingekuwa katika hali hii sekunde tu majeshi ya marekani yangevamia
 
Mkuu naomba tembelea web hii www.businessinsider.com
Cheki wajomba vifaa vya kijeshi walovyonanavyo, na budget yao
Us is the superpower country in the world both in military,agents and economically status,unakumbuka ule ugomvi wa china na japan kuhusu kisiwa,sikumbuki jina la kisiwa
China alipiga mkwara hakuna kurusha ndege kwenye anga lile pale,ambaye angekaidi wangeidungua ile ndege
But wajomba kesho yake walipeleka B52 na hawakufanya lolote
Unakumbuka mkwara wa bwana mdogo king jong?? Yule rais wa korea kasikazini kuhusu kuichapa south Korea? Wajomba waliposogeza meli zao,dogo akaingia mitini
 
Rais wa marekani obama akiöngea na rais wa russia putin,jana tarehe 1 march.
12864176923_e7906e894e_m.jpg

Mkuu uhusiano wa russia na marekani uko kwenye mgogoro mkubwa Sana
Kwanza am sure Obama hawezi ongea na putin kwenye simu
Mbili kumbuka obama alikua na mazunguzo na putin last year ilikua September but walisitisha kutokana na yule bwana mdogo Edward snowden kukimbilia Russia na Putin akampa hifadhi
Pia mwaka jana kulikua na mkutano wa G20 ulifanyika St Petersburg russia, je uliona obama na Putin walivyosalimiana?? Hapakua na nyuso za furaha halafu leo useme eti Obama kaongea na Putin??
 
Mkuu naomba tembelea web hii www.businessinsider.com
Cheki wajomba vifaa vya kijeshi walovyonanavyo, na budget yao
Us is the superpower country in the world both in military,agents and economically status,unakumbuka ule ugomvi wa china na japan kuhusu kisiwa,sikumbuki jina la kisiwa
China alipiga mkwara hakuna kurusha ndege kwenye anga lile pale,ambaye angekaidi wangeidungua ile ndege
But wajomba kesho yake walipeleka B52 na hawakufanya lolote
Unakumbuka mkwara wa bwana mdogo king jong?? Yule rais wa korea kasikazini kuhusu kuichapa south Korea? Wajomba waliposogeza meli zao,dogo akaingia mitini

Mkuu kuwa super power sio kigezo pekee cha kushinda vita.Angali hapo chini maneno wa Sun Tzu the greatest military strategist

3. The art of war, then, is governed by five constant factors, to be taken into account in one's
deliberations, when seeking to determine the conditions obtaining in the field.
4. These are: (1) The Moral Law; (2) Heaven; (3) Earth; (4) The Commander; (5) Method and
discipline
 
jamani humu inaonekana kuna ubishi wa kishabiki usioendana na hali halisi,jamani sio nato wala marekani ambaye anaweza kuivamia urusi tukumbuke hiv karibuni marekani ilipereka meli zake za kijeshi pare syria hiv unajua gharama ya kuendesha meli kutoka ktk base yao hadi pale then zisifanye kazi?hiv unajua kwanini uingereza ilikataa kumuunga mkono marekani ktk dakika za mwisho kuivamia syria wakati sio kawaida yao kumpinga marekani?ukijiuriza hayo utajua marekani hawezi kuitisha urusi wala urusi hawezi kuitisha marekani hao wote wanajuana vizuri sana na kama itatokea wakapigana basi jua hapo vita itakua ni ya dunia ndio maana huwa ugonvi wao unaishia ktk maneno tu,
 
Mrusi anachofanya ni kujirinda na kumsogeza adui mbali ambae anaemtishia na kutaka kumkaribia kwa dhana nzito kinyemela! Kwa Hiyo Russia wameshituka na ndio Maana wao wamepeleka jeshi kabisa ili kuwadhibiti mamluki na hao wamaghalibi waliojipenyeza Ukraine! Wamaghalibi itabidi wabadilshe mbinu, Vinginevyo waamue vita Au km hawawezi basi, Warusi watakaa pale mpk Hali ya Ukraine itakapotulia na Warusi kuweka viongozi Wa ktk serikali ya Ukraine!
 
China signed a nuclear defence pact with ukraine,china is obliged under this pact to help protect ukraine from aggression by nuclear power.
Sijui hapa wachina watachukua hatua gani,ukraine ndo iliiuzia china aircraftcarrier admiral kuze ambayo wachina wameikarabati na kuwa aircraftcarrier yao ya kwanza kabisa ikiitwa Lioning.
Ukraine na china zina uhusiano wa kijeshi hasa katika utengenezaji wa injini za ndege za kijeshi,helcopter etc.
Mchina nae yumo kwenye hii showdown.
 
Mkuu uhusiano wa russia na marekani uko kwenye mgogoro mkubwa Sana
Kwanza am sure Obama hawezi ongea na putin kwenye simu
Mbili kumbuka obama alikua na mazunguzo na putin last year ilikua September but walisitisha kutokana na yule bwana mdogo Edward snowden kukimbilia Russia na Putin akampa hifadhi
Pia mwaka jana kulikua na mkutano wa G20 ulifanyika St Petersburg russia, je uliona obama na Putin walivyosalimiana?? Hapakua na nyuso za furaha halafu leo useme eti Obama kaongea na Putin??

Mkuu MAWAZO UJENZI unaongea kwa kuhisi.?n kweli jana Obama na Putin wameongeza kwa simu kwa dk.90..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MAWAZO UJENZI unaongea kwa kuhisi.?n kweli jana Obama na Putin wameongeza kwa simu kwa dk.90..

Tuambie sasa walikua wanazungumzia nini?
Zen tupe source maana sijasikia British Broadicasting Corporation wala Caple News Network, wakisema jana hawa jamaa wamebonga!!!
 
Last edited by a moderator:
Tuambie sasa walikua wanazungumzia nini?
Zen tupe source maana sijasikia British Broadicasting Corporation wala Caple News Network, wakisema jana hawa jamaa wamebonga!!!
mkuu ni kweli kwasaa za huku usiku wa kuamkia leo obama kaongea na putin.ila walichoongea hakijasemwa na hiyo picha ni ya jana kweli,waweza google.
 
mkuu ni kweli kwasaa za huku usiku wa kuamkia leo obama kaongea na putin.ila walichoongea hakijasemwa na hiyo picha ni ya jana kweli,waweza google.

Si ungesema sasa kama uko mbali na Jakaya land??
But am sure watasema tu ni nini wamekisema
 
Unconfirmed report of a large number of russian troops and military vehicle on the boarder of russia and ukraine.

Sunday march 2.
08:30-ukraine armed force dispatched to crimea have started to switch side on a massive scale,turning themselves over to the new crimea government.weapons have been abandoned and takenover by crimean defence force.

Foxweekly.com -is reporting a video of S-400 Russian air defence weapons that look like nuke heading towards ukraine.
Things are really heatingup.
 
I

But mkuu hebu tuwekeni mbali ushabiki,hii kitu ikitimua,mbio nani atashinda the race??
Urusi na marekani??
kwenye nuclear exchange kati ya marekani na russia hakutakua na mshindi,dunia itabakia majivu,tukiwamo na sisi,sio jambo la kushabikia.

Inaitwa Mutual Assuared Destruction(MAD)
 
Unconfirmed report of a large number of russian troops and military vehicle on the boarder of russia and ukraine.

Sunday march 2.
08:30-ukraine armed force dispatched to crimea have started to switch side on a massive scale,turning themselves over to the new crimea government.weapons have been abandoned and takenover by crimean defence force.

Foxweekly.com -is reporting a video of S-400 Russian air defence weapons that look like nuke heading towards ukraine.
Things are really heatingup.
Vitu vimeisha fika na hapo marekani alie tu, Putin sio Yelsen.
 
Tuambie sasa walikua wanazungumzia nini?
Zen tupe source maana sijasikia British Broadicasting Corporation wala Caple News Network, wakisema jana hawa jamaa wamebonga!!!

Ni kweli waliongea, usiku kulikuwa na taarifa hiyo nilikuwa naangalia ITV sijui walikuwa wamejiunga na kituo kipi.
 
Kama sikosei, mpaka usiku wa kuamkia leo, ilotangazwa wanajeshi 15,000 waliluwa wameingia cremea.
 
Back
Top Bottom