Putin anaweza kuwa anatumia mwanya uliopo kwenye political system ya Marekani kuhusu mgawanyiko wa Republican na Democrats; ila itakapofika kuwa enough is enough na jamaa wakawa Marekani moja kama ilivyokuwa 9/11 utashangaa kuona mabavu ya Marekani dhidi ya Putin na wafuasi wake. Cold War iliyokwishwa zaidi miaka 20 iliiypita na kuacxha superpower mmoja haiwezi kurudi tena leo. Sehemu kubwa sana ya teknolojia inayotumiwa na urusi leo imetoka marekani, na vile vile uchumi wote wa urusi leo unategema sana gesi wanayouza kwenye nchi za NATO.
Mkuu analysis yako ni WRONG!
Mrusi bado ni mrusi, kama kuna somo mrusi amejifunza ni la Iraq na Libya juu ya Intentions za nchi za magharibi.
Checkmate tumeiona Syria, mrusi kasema hatoki mtu pale, na sasa ni stale mate!
Una sahau juu ya Georgia, Marekani walipiga makelele sana lakini mrusi akamwadabisha Georgia kwa kupekeka majeshi NDANI ya nchi hiyo na kufanya kile atakacho.
Nakushangaa kuwashabikia marekani na nchi za magharibi, ama sivyo utuambie Iraq ina jema gani wakati 9/11 muasisi wake ni Bin Laden, Msaudi Arabia.
Na Gaddafi kafanya kosa lipi na wa Libya wako wapi sasa.
Nakuambia katika hili la Ukraine Urusi haija paparika imepiga mahesabu , na utaona pengine Ukraine ikisambaratika.
Crimea kuna warusi wengi na jimbo lenye mamlaka yake.
Magharibi wamechochea migomo na TV za CNN na wengine walikuwa wakichekelea wakati molotov coctails zilikuwa zikirushwa dhidi ya rais halali.
Sasa warusi wamefanya vivyo huko Crimea, sasa CNN na TV za magharibi zinalia lia, tit for tat.
Ninavyomfahamu mrusi, ngoma bado mbichi, na kama unafikiri ati mrusi anamtegemea Mmarekani, stay around to be proved wrong again.