Russian invasion on Crimea is underway

Russian invasion on Crimea is underway

Nguruvi3,

Mimi sishangilii vita, ninacho kwambia wewe kuwa Empire era zimepitwa, Ukraine na Russia sio Libya. Iraq na Afghanistan zimewatoa kamasi. Marekani hawezi kuwa kijibwa maji wa Myahudi akaleta ujinga wake Russia. Tena huyo Myahudi ashukuru kwa sababu anaoshindana na Putin ni Neo- Nazis wanaotaka kufanya ubaguzi. This time litajulikana la kumenya na kuchinja.

Na wewe unaekaa huko uliko kama una ki green card chako uchwara cha magendo utarudi kwenu Bongo uje kulima mahindi.

Kuna ardhi ya kutosha huku ya kukuendeshea maisha usisubiri Chadema kushika madaraka ndio urudi maana utasubiri sana. Chadema ni Antichrist entity haiwezi kushinda uchaguzi kirahisi rahisi. Kwanza kisu cha kuimaliza Chadema kiko Zanzibar na tutaichinja dakika za mwisho kikose usajili. Teh teh teh
Ndugu yangu uliye m-quote ni Kichuguu, mashambulizi unayaelekeza kwangu. Hebu angalia unachojibu kwanza kabla hujaandika.
Punguza hasira, pata funda tatu za maji ya ukwaju ukiwa kitako.

Ahsante
 
Propaganda ndizo zinazokufanya usiwe na mantiki katika unayoongea. Unapodai kuwa serikali ilifilisika ikashindwa kulipa watu mishahara ni kuonyesha kuwa hujui jinsi fedha za serikali ya Marekani zinavotolewa. Goverenment sutdown uliyosikia ni kuwa Bunge halikuidhinisha matumizi ya fedha siyo kuwa serikali ilikosa fedha; pesa zote zinazotumiw na serikali ya Marekani zinaidhinishwa na bunge.

Majitambo ya kudai umekaa nje ya nchi ukadahani kuwa ndiyo warrant ya kujua mambo ni wewe umeyaleta hapa. Huko ulikokaaa miaka 20 hakukusaidia kujua mambo ya dunia.

Kupigana vita siyo sifa katika dunia ya kisasa, ni kupoteza maisha ya watu bure, tena wengi waowakiwa hawana faida ya mohja kwa moja na vita hiyo kwa pande zote mbili zainazohusika. Huwa hakuna ushindi wa kivita usionedana na kupoteza maisha ya watu. Ninakushangaa wewe wakati Marekani inaingia vitani huko Iraki watu tulipiga kelele sana dhidi ya uvamizi huo pamoja na kuwa walijidai kupeleka kesi yao umoja wa mataifa; halafu eti leo taifa jingine linavamia nchi nyingine unashangilia.

Haya mzee Mr RUSSIA, wewe shangilia vita; nasikia huko kwenu hata wanamuziki wanapoimba mambo yasiyomfurahisha Mtukufu wanafungwa kimya kimya!
serikali ya marekani inafirisika na inatokea,wao maranyingi huwa wanatoa order ya kuprint dollar kwa federal reserve ambayo ni private entity.hiyo bank inaprint then inaipa serikali kwa kuexchange na government bonds.na hawa jamaa wanapata kiburi cha kuchapisha noti kama hawana akili nzuri na kuonekana matajiri kwasababu pesa yao inatumika dunia nzima,siku wakianza kuachana na kutumia dollar,uchumi wa marekani unakufa ndani ya wiki moja.
 
Kufilisika kwwa Marekani siyo tatizo lililoko hapa mbele; tatizo lililoko ni kuhusu Urusi kuvamia nchi ya jirani. Kuna watu wanatetea uvamizi huo kama kuikomoa Marekani. Halafu ndipo mwandishi mmoja anatumia mifano ya Marekani kuwa na madeni, marekani kuwa na sera za zamani, marekani kutokuwa na nguvu za kupigana na Russia na vitu kama hivyo ambavyo havina uhusianao na Uvamizi wa Ukraine. Halafu mbaya zaidi anatoa mifano ambayo siyo ya ukweli kutetea hoja zake; kwa hiyo majibu yangu kuhusu Uchumi wa Marekani hayakuwa na maana ya kutetea kuwa ni imara kuliko zote dunaiani bali ilikuwa ni kusahihisha makosa ya mtoa mada kwa vile imefikia watetezi wote wa sera za Uvamizi za Urusi wanaona kama vile uvamizi huo umefanywa dhidi ya Marekani siyo Ukraine.

Vile vile ni vizuri kufahamu kuwa nusu ya Uchumi wa Urusi unategemea gesi, wakati deposit ya gesi huko Urusi siyo nyingi kama ilivyo kwa Marekani. Halafu gesi imekuwa inagunduliwa sehemu nyingi sana duniani, nadhani unajua kuwa hata Tanzania tuna deposit ya gesi nyingi sana, kwa hiyo future ya soko la gesi siyo imara sana. Ndiyo maana wachumi wanaonya kuwa Urusi inaweza kuua soko lake la gesi huko Ulaya kwa njia hizi za uvamizi na hivyo kuathiri sana uchumi wake siku za mbeleni.
 
Ndugu yangu uliye m-quote ni Kichuguu, mashambulizi unayaelekeza kwangu. Hebu angalia unachojibu kwanza kabla hujaandika.
Punguza hasira, pata funda tatu za maji ya ukwaju ukiwa kitako.

Ahsante

Huyu jamaa sasa hivi anaandika bila kufikiri; lolote la propaganda linalokuja akilini ataliandika halafu baadaye analipinga .
 
Nguruvi3,

Mimi sishangilii vita, ninacho kwambia wewe kuwa Empire era zimepitwa, Ukraine na Russia sio Libya. Iraq na Afghanistan zimewatoa kamasi. Marekani hawezi kuwa kijibwa maji wa Myahudi akaleta ujinga wake Russia. Tena huyo Myahudi ashukuru kwa sababu anaoshindana na Putin ni Neo- Nazis wanaotaka kufanya ubaguzi. This time litajulikana la kumenya na kuchinja.

Na wewe unaekaa huko uliko kama una ki green card chako uchwara cha magendo utarudi kwenu Bongo uje kulima mahindi.

Kuna ardhi ya kutosha huku ya kukuendeshea maisha usisubiri Chadema kushika madaraka ndio urudi maana utasubiri sana. Chadema ni Antichrist entity haiwezi kushinda uchaguzi kirahisi rahisi. Kwanza kisu cha kuimaliza Chadema kiko Zanzibar na tutaichinja dakika za mwisho kikose usajili. Teh teh teh

Kwanza,Umemjibu mtu ambaye sio sahihi

Pili,Umeegemea kwenye personal attack

Tatu,Umetoka nje ya mada.CHADEMA na Zanzibar zinaingiaje kwenye mada hii?
 
Last edited by a moderator:
duh mkuu upo dunia ya wapi.ukraine asimame vita na russia hata mwezi hachukui labda isiwe total war.au ujaona military base za ukraine zilivyo zungukwa na askali wapo ndani kama kuku.ebu search topol m na s-400.utajua kwa nini nasema hivyo.Nini Ukraine hata NATO bila ya msaada wa US awa mdondoshi mrussia.US ndo mwenye uwezo wa kumdondosha russia lakini akubali baada ya vita kuisha super power atakuwa China,uchumi wake utakuwa kama zimbambwe utajaa madeni kibao na heshima yake kwa EU itashuka vibaya ukumbuke US amekuwa super power kwa kuwa hakushiriki wwi na ww 2 alishiriki mwisho baada ya kuguswa na japani.alikuwa akifanya biashara tu kama atakavyo fanya china yeye akijiingiza vita na russia.Ndo mana unaona US afikirii kabisa kujiingiza kwenye vita kubwa kama hiyo labda apunguze machungu kwa kuichapa sirya...
 
Ukraine's government appealed for Western help on Tuesday to stop Moscow annexing Crimea but the Black Sea peninsula, overrun by Russian troops, seemed fixed on a course that could formalize rule from Moscow within days.In parliament, the acting defense minister said that of some 41,000 infantry mobilized last week, Ukraine could field only about 6,000 combat-ready troops, compared to over 200,000 Russians deployed on the country's eastern borders. The prime minister said the air force was outnumbered 100 to one. the country is left defenseless and alone in the face of a nuclear state that is armed to the teeth.

Diplomacy seemed restricted to a war of words. The U.S. and Russian foreign ministers did speak by telephone. But the U.S. State Department said Moscow's position offered no room for negotiation and the Russian Foreign Ministry issued a statement condemning U.S. financial aid to the "illegitimate regime" in Kiev, which it calls ultra-nationalists with "Nazi" links.

The Russian parliament has already approved the accession in principle of Crimea, which was handed to Ukraine by Soviet rulers 60 years ago. Still, it is not clear whether or how soon Putin would formalize such a union as he engages in a complex confrontation with the West for geostrategic advantage.
A Ukrainian officer said there was a fragile understanding between the two fleets not to escalate the situation, but he said nerves were frayed: "The Russians have not troubled us until now," he said. "But all it takes is one order and they will open fire. We won't be able to hold out long".
But Western powers have been careful to note that Ukraine, not being a member of NATO, has no automatic claim on their help and Ukrainian officials gave no details on what they hoped for. The wording of the 1994 treaty indicates that help is only required if Ukraine is threatened by a nuclear attack.

linkhttp://news.yahoo.com/confrontation-ukraine-diplomacy-stalls-011314222.html
 
Ndugu yangu uliye m-quote ni Kichuguu, mashambulizi unayaelekeza kwangu. Hebu angalia unachojibu kwanza kabla hujaandika.
Punguza hasira, pata funda tatu za maji ya ukwaju ukiwa kitako.

Ahsante

Samahani ku quote you wrongly:thumbup:😀
 
As US F-16 land in poland to take part in a military excise there,Russia have just sent 9 SU-27 to belarus after presdent Alexandra Lukashenko asked for them as an answer to poland
 
The Duma, Russia's parliament, is drafting legislation to allow Moscow to freeze assets of Western companies and individuals in the event sanctions are imposed following the Crimea referendum vote on March 16.
 
i dont see Russia attacking Ukreine for real,it is just a kind of cool war not cold war
 
i dont see Russia attacking Ukreine for real,it is just a kind of cool war not cold war
second phase of Russian invansion of ukraine may well be underway.

Multiple reliable reports that Russian is planning to invade ukraine tonight.

Aaaaaand,there is Russian troops movements in the Belgorod region of Russia which boarder kharkiv ukraine.
 
Ukraine convoy of APC heading towards Lugansk where pro russian separatist are holdingup a building.
Bkugg2HCcAATgFF.png
 
Elite Russian paratrooper conducted the initial operation inside sloviansk.Russian invansion of mainland ukraine has begun.
 
A group of russia spertsan taken control of yet another police station.
Fighting going on.
455043739493605376
.
 
Back
Top Bottom