Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,351
- 38,941
Dunia nzima kwa mujibu wa nani?Ngoja ajilengeshe atwangwe vilivyo! Dunia nzima kwenye hili inamuunga mkono Trump ispokuwa Russia, labda na china na vile vikorea kask.
Dunia nzima kwa mujibu wa nani?Ngoja ajilengeshe atwangwe vilivyo! Dunia nzima kwenye hili inamuunga mkono Trump ispokuwa Russia, labda na china na vile vikorea kask.
Maandiko matukufu hayo.Wacha kuota ndoto kijana bado mchana.
Huwezi kujua unachokiongea .Syria ipo vitani ni mwaka wa 7 huu unaenda kama is ingekuwa urusi siku nyingi sana marekani angekwisha mtoa Assad pale na kuweka utawala wake.action yeyote atakayochukua russia haitasaidia chochote. zaidi sana Russia ni mnafiki. kama syria ni rafiki yao walitakiwa kuwalinda kabla jiji lile nililolipenda, jiji lililokuwepo tangu enzi za mtume paulo, halijasambaratishwa. sasaivi lile jiji na majengo yake mazuri ya kizamani yamebaki magofu tu...kuna faida gani kuwa rais kwenye nchi kama hiyo, kuna faida gani kujifanya rafiki unawatetea wakiwa wameshakufa wakati wakiwa hai ulikuwa umejifungia chumbani na kujifanya unafanya mikutano na wabaya wake? unafiki tu kama wa bashite tu.
Urusi hana vitu,vyombo vyake vingi vilitengenezwa kabla ya haijavunjia.kwa sasa hana vyombo basi tu ni putin ana amini anaweza zuia vita hii sababu syria ni njia mija wapo wa kuelekea mwisho wa dunia.
Yaani uliyoyasema kwenye vichwa vya wengi sema wanaogopa kusema wakihofia usalama wao. Upo nchini kweli. Comment yako iko poa.Kwa jina la baba na la mwana na roho mtatifu, Amen.
Naomba ipitie magogoni pale
Fuatilia World's reaction baada ya US kupiga Syria. Angalia nchi kubwa zimesemaje zikiwemo German, UK,Australia, Turkey, France nk. Zote zinaunga mkono TrumpDunia nzima kwa mujibu wa nani?
Maandiko matakatifu ni kwa ajili yako wewe unaeamini na wenzako.si kila mtu anaamini wale mashoga na wauaji wa Israel wameteuliwa na Mungu.Maandiko matukufu hayo.
Walisema Ni puppet wa Putin. Sasa Ngoja tuone puppet na puppeter wanavyopepetana.Dah, nadhani wote waliomchagua Trump wakidhani ataachana na hii vita watakua disappointed sana
Naam! Katika uzao wa Yuda jamii ya binadamu itabarikiwa.Mwenye Enzi Mungu ingilia kati katika vita hii hao wanao angamiza wenzao nenda kawaangamize kwa zaburi ya 109 na 35 milele yote katika jina la Yahushua ha Mashaich...Amen Ra , Amka Mama Universe tunakuomba utetee dunia yetu na uumbaji wote kwa ujumla milele yote.
hii vita naona wewe umeifuatilia sio muda mrefu. mimi tangu siku ile watu wanaandamana hadi vita inaanza, hadi waasi kupoikea silana uwa naifuatilia syeria. pia huwa nafuatilia sana actions za urusi dhidi ya hilo. walitakiwa palepale mwanzoni kabisaaa wachukue hatua kuilinda syria. binafsi naumia kwanini imebaki magofu vile halafu mnafiki mmmoja anakuja ati anaitetea? anaitetea syria au anamtetea mtu binafsi assad?Huwezi kujua unachokiongea .Syria ipo vitani ni mwaka wa 7 huu unaenda kama is ingekuwa urusi siku nyingi sana marekani angekwisha mtoa Assad pale na kuweka utawala wake.
Ha ha ha. Mashoga wana yao hayanihusu.Maandiko matakatifu ni kwa ajili yako wewe unaeamini na wenzako.si kila mtu anaamini wale mashoga na wauaji wa Israel wameteuliwa na Mungu.
SawaHa ha ha. Mashoga wana yao hayanihusu.
Iko hv, usikute Assad mgumu ku signe mikataba ya kusaidiwa na urusi , anasubr apigwe ndo aweke sahh ya fidiaaction yeyote atakayochukua russia haitasaidia chochote. zaidi sana Russia ni mnafiki. kama syria ni rafiki yao walitakiwa kuwalinda kabla jiji lile nililolipenda, jiji lililokuwepo tangu enzi za mtume paulo, halijasambaratishwa. sasaivi lile jiji na majengo yake mazuri ya kizamani yamebaki magofu tu...kuna faida gani kuwa rais kwenye nchi kama hiyo, kuna faida gani kujifanya rafiki unawatetea wakiwa wameshakufa wakati wakiwa hai ulikuwa umejifungia chumbani na kujifanya unafanya mikutano na wabaya wake? unafiki tu kama wa bashite tu.
Trump ni mpango mzima.Trump "hajaribiwi, anajiamini na hashauriki". Russia wasidhani hako ka mkwara ka kupeleka warship katamtia woga Trump. Infact wameharibu kabisaa. Vita kamili sasa inanukia na watakuja kuumia raia masikini wasio na hatia huko Syria
Huyu anayetoa decrees huku kwetu hayumo huko illuminat?Baada ya Trump kushindwa kuleta machafuko Marekani kama ilivyokuwa imepangwa na Illuminati kwa kutumia Presidential Decrees zake za kijinga chokozi,sasa anajaribu kete nyingine kama pia ilivyopangwa na Illuminati.And that is, confrontation with Russia,ili hatimaye kuleta vita ya Armageddon.Kama atafanikiwa kwa sasa sijui,lets wait and see.Tusisahau kwamba Trump ni senior member of the Illuminati.